Mimi najiuliza hasa, hiki kizazi cha sasa vipi ? Kwa maana wanauchukulia uchumba kama ni kitu gani ?
Wewe umeshavishwa pete mara kibao, ndoa hatuioni.Lakini haukomi , bado tu unaendelea na mipete...
Waacheni watoto waje kwangu wala msiwazuie kwani ufalme wa MUNGU ni wao.
awe mke au dada au msichana wa kazi, anyone ambaye anaishi na wewe wakati wa kulea malaika hawa unampa nafasi gani na wewe...
Hivi inakuaje kijana wa kiume ulikuwa na mahusiano na msichana fulani baadae unamucha tena kwa kejeli nyingi,baada ya kuona dada wa watu kapata jamaa mwingine anayemjali na kumpenda unaanza...
mambo mmu,
jaman kuna ka mkasa kametokea kwa jiran yangu kamenipa maswali kidogo
Jana jirani yangu ni Mnijeria, ameniita akaanza kulalamika kwamba binti wa kazi kampa mwanae nyonyo...
Ohoooooooooo, i am in trouble..plzz heeellllppp!! Tumekuchagulia mabinti wawili..uje uangalie yupi anakufaa uoe..mabinti wa huko mjini wahuni na matapeli tu...Ohoo..nifanyaje wadau??
Rafiki yangu mmoja jana tukiwa mahali alinipa kisa kinachohitaji mchango wa mawazo yako.
Kuna mrembo mmoja ambaye jamaa alijuana naye kupitia kaka yake(ie kaka wa huyu mrembo na huyu rafiki yangu...
Sijui hata nianzie wapi..... Ni takribani mwaka wa pili sasa nipo nae, na ni mwezi wa pili mwaka huu nilimtambulisha kwa wazazi wangu na ndugu kadhaa kuwa huyu ni "mchumba wangu mpendwa...
Eti wadau tujuzane, hivi mambo kama haya bado yapo?
Nimempata mdada mmoja lakini anadai simvui hadi nimwoe, siku ya harusi ndo ataanza kutoa.
Kakiri kuwa yeye sio bikra lakini anadai hataki...
NAITWA FRANK (sio jina halisi) nimetokea kumpenda binti Jane(sio jina halisi) tulisha do mara moja tu tukapanga kuchumbiana na tukakubaliana sasa jambo moja limejitokeza nilikuwa simjui ni mtoto...
Haya jamani nawatakieni usiku mwema walle tunaoshare mstari wa saa sijui unaitwaje siku zimepita geograph ya latano nimesahau.Muote ndoto zenye baraka.
Watu wakiwa na pesa basi wanajiona wanaweza kuwa na mwanamke yeyote wamtakaye. Huyu mdada alikuwa actress Nigeria... Leo nikasema ngoja ni google amepotelea wapi simuoni kwenye gemu. Kumbe kuna...
Habari zenu,
naombeni ushauri hasa kutoka kwa wanaume waliooa au walio kwenye mahusiano ya muda mrefu, pia wadada.
NB: NIKO SERIOUS TAFADHALI.
Ni hivi, nataka nimfanyie surprise mumewangu siku ya...
Poleni na majukumu yanayowakabili,
Mm ni msichana mwenye umri wa miaka 26,kwa mara ya kwanza najiunga na jf nikiomba ushauri wenu
Nina mpenzi wangu nampenda sana na hatuna mda mrefu, tuna...
*** Wakuu, nimepokea email to kwa Bwn Joachim wa Magu, Mwanza anaomba ushauri kwa kisa hiki ***
Miaka michache nyumba nilipata msichana ambaye tulipenda sana na kukubaliana kuoana. Kabla ya...
kama mnavyokumbuka ile thread ya rafiki yangu anayetaka kufanya maamuzi magumu leo tena kanipigia simu analia eti alikua na mme wake wanacheka mume wake akamuuliza lini unaondoka halafu kamtajia...
Nampenda sana huyu msichana <mwanamke> lakini kila ninachofanya naona yeye hana imani na mimi............nimemvisha pete,lakini bado anahsi nitamuacha.....tatizo ni kuwa ANAHISI IPO SIKU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.