Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Pauline Potter was last year’s heaviest woman in the world, tipping the scales at 643 pounds. Now she has lost about 98 pounds, and she credits her weight loss to having marathon sex sessions...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ennis Cosby Ennis na baba yake Bill Cosby Mikael Markhasev Picha ya kuchora ya Mikail Markhasev iliyopelekea kutambulika na kukamatwa Hadi kufikia Januari mosi 1996, Bill Cosby muigizaji...
13 Reactions
22 Replies
6K Views
Naomba ushauri jemeni....
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Kuna jamaa mmoja alikuwa akitusimulia yanayomsibu katika ndoa yake, ati mkewe ni mja mzito kwa mara ya kwanza na wanaishi wawili katika nyumba ya kupanga. Jamaa anahuzunishwa na tabia ya mkewe...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
SALAAM wanaJMF!! mimi ni mgeni hapa, lakini kutokana na post nyingi nilizosoma humu moyo wangu umeridhia kwamba nitaweza kupata ushauri ambao unaweza kuniondoa kwenye msongo wa mawazo...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Najaribu kuzitazama nyumba hizi mbili ya Enginia Jerome ambaye mke wake ameajiriwa halmashauri kama mgavi na Enginia Shaban ambaye mke wake ni mama wa nyumbani.. Mrs Jerome akiondoka sa moja...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Jaman umalaya mbaya jana nimekamata binti mzuri nikaenda nae geto aisee nilichokiona nimeogopa duu Binti ana kisimi kirefu kama uume nimeogopa jamani.Nikaanza kujuta kwa nin hata nimethubutu...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Kijana Priva Elian wa Rombo mkoani Kilimanjaro, amefyeka sehemu zake za siri na kuziondoa, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kugombaniwa na wanawake wawili. Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo...
7 Reactions
48 Replies
4K Views
UFAFANUZI KUHUS FAO LA KUJITOA KATIKA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII. Ufuatao ni ufafanuzi mfupi kuhusu marekebisho ya Sheria za Mifuko hasa kuhusu fao la kujitoa. 1. Kama...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Dada na Mama tafadhali fungua link hiyo hapo chini ujifunze kitu muhimu. Connect Part 4 of 5 (18th June) - YouTube
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naombeni maushauri,najua binadamu tunatofautia uwezo wa kifikra,akili,ujasiri na mambo mengi.mi nampenda manzi mmoja hivi ni dada wa miaka kama 27 ofice zetu zinatizamana,huyu dada nimefanya...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Helo wana jf, mm n mgeni humu ila nataka kufikisha tu kinachonikera kwa wanaume, Unakuta Mwanaume huna nia a dhati kwa mdada fulani ila unamfuata na kudai kuwa unampenda na pia unahitaj awe mkewe...
3 Reactions
55 Replies
4K Views
jamani yaani saa hizi ni saa nane na nusu usiku na nashindwa hata kulala kutokana na haya yaliyonikuta dakika chache sana zilizopita. nina girfriend ambaye kwa sasa anasoma chuo kimoja cha...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hivi ni kwa nini watu hupenda sana kujisifia..Wakati naanza mahusiano nilijua labda ni kwa baadhi ya wadada...hata nilipopata mchumba,ambaye kwa sasa ni mke wangu,hii tabia naiona..utasikia yaani...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Am sorry kwanza kwa maana ya Ashukuma si matusi ila am greatly driven from inside to break it down right here; Itc like dic guys inajulikana kabisa kua tunaweza kua na hisia,mitazamo,mawazo na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wengine kutwa kwenye TV na wala hawawajibiki na majukumu ya nyumbani Inaelezwa kwamba kuna uhusiano kati ya wanawake waliofanikiwa kwenye ajira kwa kuwa na kipato kikubwa zaidi ya waume zao na...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Matiti ni chakula cha mtoto!Linapokuja suala la matiti wanaume wengi (si wote) hunyang'anyana hati miliki ya matiti na watoto wanaonyonya hata hivyo wanawake nao kila mmoja ana mtazamo wake...
0 Reactions
89 Replies
16K Views
Siku hizi kuna hali ambayo nimeibuka na kushika kasi mara mwanamke anapopata mimba , kama alikua hajavalishwa pete anavalishwa pete na kinachofatia ni kutangaza ndoa, imekua ni kawaida kwa bibi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
For all well wishers and friends online,finally the Mtakatifu has graduated, lets please share the joy
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Inawezekana labda natakiwa nikaishi sayari ya Mars.Hivi ni lazima ukiwa na mahusiano na mwanamke umhudumie kama mwanao(sizungumzii ndoa).Leo nimekasirikiwa na dada mmoja baada ya kunilalamikia...
16 Reactions
186 Replies
13K Views
Back
Top Bottom