Baadhi ya wanawake huamini kwamba wanaume wote ni waongo (cheaters) kwa kuwa ndicho ameona wanaume wanafanya au familia aliyokulia na kulelewa wanaume/mwanaume aliyekuwepo alikuwa hivyo.
Pia wapo...
Nimependana na mwanaume kupitia mtandao mmoja hv na muda mfupi baada ya kupendana aliniomba nimsaidie pesa nikamwahidi kumpatia lakini nikawa nimepata tatizo kidogo hivyo ckufanikiwa kumpa kiasi...
Eti jamani huu ni ugonjwa au ni nini mana sijawahi penda mwanamke, hua nasikia tu mapenzi yanaumiza bt me sijui hiyo kitu ipo vipi. Me ni single boy ukinipenda namaliza.leoleo túu. Je nitaweza...
Posted by queenkami | May 15, 2012
Hello wapendwa wangu.
Kuna ndugu yangu wa damu alinifanyia jambo ambalo kawaida ndugu hawezi kumfanyia ndugu yake,ni kitendo cha laana,abomination,kwa jinsi...
Ndoa ni furaha Binadamu peyote aliyezaliwa na mwanamke mara nyingi maisha yake huathiriwa sana na muamuzi yake na uchaguzi anaofanya, na moja ya uchaguzi na maamuzi ni suala la ndoa.
Tangu wawili...
Nilianza siku nyingitu kuzipenda hizi nyimbo.
Ingawa ukweli ni kua kwa kipindi kile nilizipendea midundo yake
na sio kilichokua kinaimbwa. Ilikua ni kila jumapili, nikijiandaa kwenda sunday...
Hapa hakuna kitu kinaitwa "kufanya makosa" Kuna msemo wa kingereza kwamba someone is better than No one ni uwongo kwani No One is better than a relationship that lack respect
Wapo watu...
Habari ndugu zangu wana jf,
nina rafiki yangu wa kike tumekuwa wapenzi miezi 8 sasa, kiumri tupo sawa.ana watoto wawili mapacha alizaa akiwa na miaka 19. Mimi sijawahi panga kumuoa huyu binti...
1---umeamua kutupia kinguo chako cha kimtego....then unakutana na mwanaume ambae huwa anakumendea na wewe humtaki kabisa kabisa...daaah anakufaidi tu bure kukuangalia mpuuzi huyo----unafanyeje...
Hello guys!
I have a simple question which lingers in my mind evry now and again, whenever I walk in the streets of Dar es Salaam I get so embarassed and even ashamed when I see how our...
My best friend is counting day towards the big day on Saturday next week. I feel the pressures and all the dramas evolving the preparation of his best day in this life. I shared the same...
Habarini wanajamvi!!!
Nimeisoma hii mahali nikaona niwaletee na huku tuhabarishana
Je, mwanaume anayetoka kwenye nje (cheating, affair, astray) humpata wapi mwanamke ambaye anatembea naye...
I hope your all fine
I just wanted to say am heart broken and I dont know what to do next
Nilitokea kumpenda mkaka mmoja sana kupitiliza ingawa sijawai kumuona ila ni kwakuchat...
Hbr wanaJF: nina mpenz wangu NAMPENDA sana ila kwa muda wa wiki 3 sasa tupo ktk mzozo mkubwa unaotishia uhusiano wetu,tulipanga twende tukajitambulishe kwa wazazi lkn yeye alimpa kama dokezo tu...
Heshima kwenu wadau..mimi nimekua mgeni kwa mda mrf bila kua na account ila kwa sasa nimeamua kua mdau naombeni malezi yenu na ninapokosea mnikosoe na sio kunitukana kwa kua watu wengine ni wakali...
Habari za asubuhi. kuna kaka aliniapproach ukweli sikumfeel kwa muda ule. lakini muda umepita tukiendelea kuwasiliana kwa simu na sasa najiona nimetokea kumpenda kidhati kabisa. nikamueleza how i...
Craig Robinowitz
Stefanie Robinowitz
Shannon Reinhart "Sammer" kahaba mcheza uchi aliyesimama mbele kabisa
Craig Robinowitz na mkewe Stefanie
Majira ya usiku wa manane siku ya Jumanne...
Hebu Jamani kwenye Mapenzi hatushindanii medali na wala hatushindani na mtu!..Mara nyingi ni wewe na moyo wako tu..na mwisho wa siku ukishinda ni wewe na ukishindwa ni wewe pia..
Sasa inakuwaje...
Going by the results of a recent Ipsos Synovate survey in Kenya, one would be forgiven for assuming that men would tolerate unfaithfulness in their wives/girlfriends over having them wear...
Naomba mawazo yenu/wazo lako binafsi je wewe unaweza kuoa mke mwenye watoto wawili.umempenda huyo dada na umemkuta anaishi na watoto wake .na hakuna mahusiano yahuko alikowapata !je will you be...