Sikuzote kumuita msichana Demu huwa siwezi, na hili neno kulitamka kwenye kinywa changu ni zito sana kwakweli. Na kwa nilivyokuwa nikidhani hapo awali nilikuwa najua kama kunmuita msichana demu ni...
Wapenzi wana mmu najitokeza mara ya kwanza hapa jukwaani nikiwa kama memba baada ta kuingia kama mgeni ka siku nyingi sana.
leo hii kilichonifanya nitamani kuingia humu ni hiki hapa, niko...
Jamani ninaye mpenz wangu, nampenda sana na naamin na yy ananipenda pia. Najitahd kumpenda na kuwa mkweli na muwazi tena pasipokumsaliti ingawa mm na yeye tunaishi mbali kwa zaidi ya kilometa...
Naandika habari hii nikiwa na masikitiko yaliyochanganyikana na hasira zilizopitiliza.Leo asubuhi baada ya kupata kifungua kinywa, nilanza kujiandaa kufua nguo zangu kama mnavyojua leo siku ya...
Umewahi kujiuliza hili
umewahi kujua nan anakupenda nani akupendi..............,hivi kwa nini watu wanafurahia sana
waakati wanapooana lakini wakiwa wanaachana unakuta wengi wanafurahia kimoyo...
Utakuta mkeo kawaagiza mashosti na ndugu zake anatafuta binti wa kazi wa ndani wakiletwa zaidi ya mmoja anachagua asiye na mvuto kuliko wengine eti ili asije akamuibia mumewe.Yaan hawa viumbe...
Kama unatamani kufanikiwa katika uhusiano wa kijamii, ni muhimu ukakubali ukweli kwamba si kila mtu atakupenda, si kila mtu atavutiwa na ujio wako na hasa kwa mara ya kwanza. Kila mtu anacho...
eti unakuta wakaka wanatambiana mie tangu nianze mahucano ya kimapenz na mabinti hadi sasa naweza jaza coasta mbili mwingne anasema ww coasta mbili tu mie najaza mohamed trans tatu..,wat z ths?
Kuna kitu kimoja kinantatiza sana wanawake wengi kama si wote wakifika stage wakawa na conflict na mpenzi wake wana revenge kwa kutembea na mtu/ watu wengine na mara nyingi kipindi hicho ndo...
nipo naye kwenye uhusiono yapata mienzi sita.kiukwel nampenda tena sana na nina malengo nae mazur tu ya kuwa mume na mke.tatizo ambalo linanikera ni wivu wake.kwa siku hunipigia simu zaidi ya mara...
Kwenye Biblia,Mw 2:18 imeandikwa;"BWANA Mungu akasema,Si vema huyo mtu awe peke yake,nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae".Ndipo akamletea wanyama kibao lakini hakuonekana wa kufanana nae,Mw...
Wakuu maji yamenifika shingoni,mwaka jana mwshoni,nlikutana na binti mmoja,mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo kikuu kimoja dodoma,baada ya siku kadhaa,nikatembea nae,lakini sikuwa na mapenzi...
Swala sio kupata mtoto swala ni ile damu uliomwaga ama ulishiriki ama ulijaribu kutoa msada
ukisoma somo la damu ya yesu utaona kumbe damu inaongea ...na sishangai hata haya matatizo ya madk...
helo my dearests...
basi bwana nilikuwa kwenye kikundi tulikuwa na semina ya kujifunza ujasiriamali maledies mjini hapa...
si mnajua maisha magumu mishahara yenyewe kidogo wanaume wenyewe...
Ukisikiliza watu weengi wanavyowazungumzia wazazi wao
ni nadra sana kusikia wakizungumza in a negative way
mara nyingi utakuta wanawasifia sana wazazi wao
hata kwa vitu ambavyo hao wazazi walikuwa...
Siku za hivi karibuni kumekua na migomo ya sekta nyeti sana inayohusu uhai wa bindamu,Udaktri.Wapo waliounga mkono wapo waliopinga migomo hiyo iliyotokea kwa nyakati tofauti.Lakini pia wapo...
Someni hii nimeinyaka toka gazeti la leo la 'mwananchi' uk wa 20:
Mtoto amtundika ujauzito mama mzazi:
Kijana mmoja huko zimbabwe ameripotiwa kuwa na mahusiano na mama yake mzazi na amemtia...
Huyu Kijana ni fundi ujenzi, anasimamia project yangu moja ya nyumba, sasa jana nimefika home nikakuta yuko nyumbani na mke wake, eti kaja kuniaga amepata safari ya ghafla anakwenda Mwanza kuna...
Hivi Bisek anafikiriaje kutunga thread kama hizi in just 2 days?
Thread ya kwanza "natafuta mke": Awe muislam kwa sababu mimi nina mke mmoja tu,awe maji ya chungwa mnene kdogo na hips za...