Naomba kuwauliza!hivi tuchukulie kwamba katika kipindi cha nyuma wakati bado labda uko shule au chuon kuna dada ambae uliwahi kumpenda lakini kutokana na hali yako duni akakukataa,ila sasa baada...
wanawake wanao waruhusu wanaume wao kumalizia ndani upata raha ya tendo la ndoa kwa asilimia 30 zaidi ya wale wanaofanya huku mwanaume amevaa condom. hii hutokana na kwamba sperm ni...
Hivi kwa nini lakini wewe? Kwa nini unanipigia simu kutoka namba ambayo ni "unavailable" halafu nikipokea husemi kitu, unakaa hewani kwa sekunde 10 halafu unakata simu?
Tatizo lako ni nini hasa...
Jirani yangu alinikabili na kuniuliza!
Ilibidi nimuulize imekuwaje tena?
"Kuna wakati mke wangu ananipenda nami huwa najuwa hasa kama ananipenda lakini wakati mwengine huwa hanithamini hadi...
"baada ya kumuhoji midwife wangu maswali nimejifunza kuwa kumbe mamba ya miezi mitatu ni katoto kabisa kenye kenye hisia,kanakosikia maumivu Kama Mimi,kenye kimono na miguu na anaonekana Kama...
Mimi sio mdau mkubwa sana wa jukwaa hili.Ila leo imenibidi.Nataka nimfikishie kaujumbe ka mapenzi mpenzi wangu pale alipo.Nimenukuu mistari michache toka katika Track kali ya Mwanamuziki wa...
siku hizi kuna kaulimbiu hii kwa vijana, ikimaanisha kwamba mimba kwanza ndoa baadae. Imekuwa ni hali ya kawaida kiasi kwamba karib 80% ya ndoa zinazofungwa hapa daslam you find the bride is...
Huu umekua ni msimamo wangu kama MWANAUME.Yeyote anetoa haki ya mke wake kwa mwanamke mwingine hafai kuitwa mume.Haiwezekani Mungu akuumbe na kukupa sifa nyingi na mamlaka yote ya kuisimamia jamii...
Jaman mim niko in a relationship na mtu flan hv,ambaye mara nying huwa hatupo pamoja (long distance relationship)sasa jana nimesafir kuja kwake bahat mbaya sa hz nilikuwa natafuta cmu yngu ciion...
Binti mtaa wa 10 hivi toka hapa napoishi...mzuri na akili mkichwa si haba................Nimemuona mara kadhaa na kumtamani ingawa najua kidogokidogo naelekea kumpenda.
Hayo yote tisa, kumi...
Heshima kwenu brothers and sisters,Ninaomba tushauriane kuhusu sehemu nzuri kwa vacation hapa Tanzania ambaye bei yake ni reasonable kwa kipato cha kati, this year is kind of worst year of my...
Ilikuwa ni mwaka 1998 na ninaukumbuka vizuri sana huo mwaka, kwani ndio mwaka niliovunja ungo, ni kipindi hicho ambapo nilianza kushangaa maumbile yangu jinsi yalivyobadilika na nilikuwa nahisi...
Jamani kuna malalamiko toka kwa baadhi ya wanaume wa kitanzania kwamba wanawake/wasichana wengi wa kibongo hawajui maana ya kuolewa. Eti wanadhani ni kupata mahali pa ku-deposit matatizo yao...
Mimi ni kijana, umri miaka 34, nafanya kazi Dar es Salaam, Mkristo, natafuta mwanamke atakayekuwa mke wangu napenda awe umri kuanzia miaka 28 na kuendelea, mwenye hofu ya MUNGU, mkristo, na...