Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wa kwanza ni tajiri yuko bize sana nyumbani anapatikana mara 2 tu kwa mwezi na utapata mahitaji yako yote. . . . . . Wa pili,tajiri yuko bize kiasi na anapatikana nyumbani kwa wiki mara 3 lakini...
2 Reactions
55 Replies
5K Views
Je, mwanamke anahitaji mume dhaifu au mume dikteta? Chagua jibu moja tu! Eleza.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimempa pesa nyingi sana.. Nimemlipia ada ya chuo.. Nimeingia chumvini... Ufundi mwingi nimetumia... Zawadi nyingi sana nimemnunulia... Sehemu za starehe nyingi nimempeleka.. Na mambo...
0 Reactions
62 Replies
25K Views
Naomba ushauri jamani. wasichana woote niliowapa mambo kabla sijaoa wanataka niendelee kuwapa mambo flani.Simu zao zimekuwa chungu kwangu na ndoa yangu. nabadilisha namba nashangaa kuona wanajua...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Please nisaidie Dada! .ni kauli ya Meggy hiyo Kwangu. Jamani mie namsaidiaje huyu rafiki ? M & N Wamekuwa wapenzi for more than 5 years sasa long distance na wakikutana kila mmoja ana hamu...
16 Reactions
127 Replies
9K Views
Naombeni hongera zangu loh! Mtoto ana miezi 3 sasa.
2 Reactions
16 Replies
2K Views
When without money, wife becomes secretary When have money, secretary becomes wife.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
natafuta msichana ambaye atakua anatumia facebook ili nipate kuchati nae, awe na sifa yoyote ile mi nipo tayari kuwa nae my facebook profile is www.facebook.com/mtaalam18
0 Reactions
5 Replies
10K Views
have you ever woken up so.. satisfied with the action you had in your dream and felt terribly embarrassed, guilty or scared??were you dreaming that you wre having sex or did you just wake up to...
4 Reactions
136 Replies
20K Views
Habari zenu wapenzi wa kona hii, Nimekumbwa na na mkasa huu miaka sita sasa, nilimpenda dada huyu sana wakati nasoma pale udsm, yeye alikuwa famasist ubungo, nilikuwa nilitoka hosteli naishia...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Wanajamii mpo? Wameniozesha Dada wa mchumba niliemchaguwa! Baada ya kukaidi wazee na kuowa mwanamke ambaye walihisi hakutulia,nilimfumania na bwana mwengine hivyo tukaachana. Kwa kufuata...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
jamani nimepokea simu ya rafiki yangu akaniambia anatamani afanye maamuzi magumu lakini yuko kwenye dilemma anataka aachane na mume wake dilema iko kwenye mwanaye bado hajaweza kujitegemea...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
ni kwamba nipo nje ya nchi kimasomo yapata miaka miwili sasa na nimeoa.huwa narudi kila baada ya mda fulani ili kutoa huduma kwa familia na kuepusha vishawishi kuingilia ndoa yetu. Mara ya mwisho...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Jamani la mgambo,''binti wa sauti apotea katika mazingira ya kutatanisha,chanzo ni facebook.''kisa kilikuwa hivi binti alikuwa anachat na mkaka wa naijeria mpaka kufikia hatua ya kuwa wachumba...
4 Reactions
65 Replies
6K Views
Habari zenyu Doctors and patience, nimeona hii article somewhere nikaona nije tushee pamoja, baadhi mnaweza kuwa mshaisoma, lakini si mbaya kama utairudia tena. A doctor entered the hospital in...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani habari zenu?mwenzenu yamenikuta jumamosi iliyopita,MY X kampiga jamaa yangu kisa anadai mimi bado wake..Ilikuwa hvi huyu x aliondoka Tz mwaka 2003 kwenda Italy akaniaga anaenda South Africa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nilishawahi sikia juu juu kuhusu kashfa iliyomuangusha John Edwards kisiasa huko Marekani. Leo nikiwa nimewasha TV yangu huku napiga kazi nimejikuta navutiwa kusikiliza mahojiano kati ya huyu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Sasa mimi sipendi kabsa, Hadi najikuta nasimuliaaaa, mara najisahauu na kujiachia kabsa!!! Mind you leo mwezi wa 6 sijaona ile KITU , yupo seriaz!!!!!!!!!!!
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Yaani waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele ya hadhira kweli!!! Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo? Jamani nimesikitishwa sana na...
17 Reactions
147 Replies
21K Views
lets see how we prepare food for the people we love.....
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…