Wadau mimi nna mchumba wangu nampenda kupita maelezo. Imetokea kila tunapofanya mapenzi nnajitaidi nismamie show nimridhishe kabisa kabisa. Sasa kila anapofika pick/kileleni basi nnaeza nkawa...
hi guys,,nataka mchumba wa ukweli ,me ni real person na nina hitaji kweli awe wa kike, miaka 19 mpaka 29, cause mie ni 26, niko zenji and my number hii hap
a kwa atakaye taka...
Habari za Asubuhi Wanajamii
Heading nimeichukulia kwa pictorial purposes Ila point ni hii;
Nimekuwa nikisikia sana kuhusu kuwa na experience kwenye mambo ya chumbani kabla ya kuoa/kuolewa. Hata...
Jamaa kampenda binti....Bila shaka kwenye macho ya wengi ilionekana wanapendana. Siku zikaenda na miezi kadhaa.
Sijui nini kilimpata binti, akaanza kupungunza mapenzi kwa Boyfriend wake...
Baba mmoja wa nchini Australia amejikuta akiingia matatani kwa hatua yake ya kumruhusu binti yake mwenye umri wa miaka 14 kufanya mapenzi na mpenzi wake mwenye umri wa miaka 26 ndani ya nyumbani...
Yeyote mwenye picha hasa zinazo relate na topic please njoo nayo ili tujadili maana kila mtu utakaye muliza nani mkali kati ya mzungu na mwafrika hasa garls atakwambia mwafrika a.k.a Bantu...
Hodi hodi tena wanjf!
Nimeona niwaletee kisa cha dereva tax mmoja aliyekuwa akipewa maelekezo
na mmoja wa mwanaume mkware hapa dodoma aliyekuwa akihitaji demu
wa kutumia naye jioni ya leo...
I hoped for impossibilities. Just when I started to think that all stresses from you are gone, i realized that it's not true. When I started giving myself hopes that this is the right time to make...
Jana limezuka tafrani mtaani kwetu Jamaa (Mr stephano) akimtuhumu mke wake si mwaminifu katika ndoa.Akieleza kinaga ubaga kilichompelekea kuzua taflani hilo ni kwamba Mke tangu amemuoa ni MIAKA 10...
Wakuu wa jukwaa heshima kwenu...naomba kukaribia humu, akina Kaunga, Kongosho, Preta The Boss, Babu Dark City na wengineo mnikaribishe.. lol nahisi nshakaribishwa..Asanteni.
Napenda kutumia...
Jamani wanajamii forum kwanza habari za asubuhi bila shaka mu wazima na kama kuna ambaye anaumwa basi ni mapenzi ya mwenyezi mungu .
Jamani nina demu ambaye tulisoma naye shule moja ya msingi...
hii ni sala yangu ya kila siku kwa Mungu ,ampe maisha marefu na ulinzi utoao kwake aweze kuzishinda tamaa za huu ulimwengu kwani akianguka na mimi nitaanguka,sijui kama yeye nae huniombea ila mimi...
Kabla sijaoa nilikuta na msichana mmoja ambaye tulianza mahusiano na kabla hatujajuana vizuri, namaanisha kabla hatuaelezena historia zetu za maisha ikiwa kuna mmoja kati yetu ni mwana ndoa au ana...
1)murudiane
2) kukudhuru
3) akurudishie vi2 vyako ulivyompa km zawadi
4)akushukuru kwa kuachana nae na pia akutambulishe kwa m2 wake mpya
5)anashida anaomba msaada
kuwa huru useme...
hivi kama ikitokea ukisingiziwa mtoto na mwanamke halafu ukamlea, kumsomesha na kumpa kila kitu kwa kujua huyu ni mwanao, ikaja siku mtoto amekuwa yuko chuo kikuu anajitokeza mtu ambae ni baba ake...
Heshima kwenu brothers, sisters and marafiki zangu wote wa MMU.
Msaada wa maombi kidogo ni muhimu as nipo kwenye kipindi kigumu, b mkubwa anafanyiwa serious operation and by now nipo nae Apollo...
BINTI ULIYETAYARI NJOO UWE MCHUMBA WANGU HATIMAYE MKE!!
Sifa stahiki:
1. Elimu ya chuo ngazi yoyote.
2. Mcha Mungu Dini Yoyote.
3. Msikivu.
4. Asiyependa Kujikweza kwa matumizi yasiyo ya lazima...
Sorry kwa inayo muhusu bali huu ni mtazamo wangu kwani naamini wanafanya hivyo? kwa mtazamo wangu hawa watu hadi wamefikia hapo ni kwa sababu hizi
1.Tamaa ya pesa
2.Kupenda kuiga mambo kwa watu...