Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Ukitaka kujua kuwa wewe ni mwenye kijicho dhidi ya mafanikio au jitihada za wenzio, jiulize maswali machache yafuatayo: Je unaposikia jirani kanunua gari, kajenga nyumba, kafungua biashara kubwa...
2 Reactions
40 Replies
7K Views
MY LOVE ONE PLEASE I NEED YOUR ASSISTANCE PLEASE Dearest one, firstly i thank you for your response to my email. How is everything over there, i believe that you are in good...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimejikuta nikijiuliza swali hili leo baada ya kupokea simu ya shemeji yangu(mke wa rafiki yangu)akiniambia ametengana na mume wake!. . . . . .Swali lenyewe ni kwamba kati ya jamii yetu(ya sasa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
wana jukwaa nachukua fursa hii kuwakaribisha katika mkutano wa injili uafanyika katika vivanja vya biafra kinondoni, Kutokana na vijana wengi kupata changa moto ya wenzi wa maisha ,kuna program...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wadau...Jamani nani mwenye kujua hii kitu inafanyika lini?maana nimepata msg kuwa ni kesho ...naskia ni nzuri kuna yeyote aliyewahi shiriki kati yetu? Asanteni
0 Reactions
11 Replies
2K Views
"For all the time they spend talking about us, you'd think they'd know us better," The dating habits of single men are a hot topic for many single women across the world. There's much debate and...
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Nimekuwa mtumwa wa mapenzi yaani nimwonapo mpenzi wangu moyo wanguunalipuka na kuanza kwenda mbio hali inayonifanya kumtii kwa jambo atakalonitamkia, nifanyeje?
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Jamani mimi niko ndani ya ndoa, ni miaka Tisa sasa na sijawahi ishi na mke wangu, tunakutana wiki mwezi ni mkubwa sana, kwa sababu ya umbali kikazi, wakati mwingine niliwaza kumwachisha kazi akili...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Guys my day has been spoiled by my beloved wife. Jana jioni nili mdrop home then mimi nikageuza kwenda Club kupiga story kidogo japokuwa nimesimama pombe sababu za kiafya. Dont think if this could...
2 Reactions
130 Replies
10K Views
habarii wakuu wa mji huu, ma greater thinker ngoja nitiririkee moja kwa moja kwenye point... Mienzi kama miwili iliopita nikiwa kwenye pilika pilika zangu nilikutana na binti kweli ni mrembo na...
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Hellow, help me here please! Nimekuwa na changanywa hapa. Wengne nataka mume mweupe, oh nataka mke mwembamba, nataka niolewe na kipanga . . Mara hivi mara vile. Sasa swali ni je una~identified...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
labda mmoja ambaye yupo serious atakwepo
0 Reactions
48 Replies
3K Views
Ni miongoni mwa wapangaji jijini dsm, ninachumba kimoja tu kwenye nyumba ya familia, tunaheshimiana sana, na asilimia 100 ya wakazi wa nyumba hii wanaonja, si wanywaji sana, ila binti wa miaka...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Si jambo la kawaida au lililozoeleka hasa kwenye jamii zetu za kiafrika hususan Tanzania kumuona mwanamke akimuanza/akimtongoza mwanaume. Hali hii nimekua nikikutana nayo na mara nyingine kuisikia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina msichana wangu fulani ametembea na anko wangu tena amemwambia iwe siri sasa anko kaniambia,je nimlaumu nani?.
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Hebu jionee mwenyewe hapa: Man Cured of AIDS: 'I Feel Good' - Yahoo! News
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zenu waja JF. Naombeni ushauri wenu wa haraka haraka. Nilikuwa na camera ya mpenzi wangu, of course nilikuwa natumia kupiga picha za harusi ya my sis. Sasa ikatokea ile camera card ina...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Hali zenu wana JF... Naomba ushauri wenu tafadhali maana niko njia panda. kuna huyu m-baba, sitamuita kaka maana ni mtu mzima. tulifahamiana miaka kama 7 iliyopita. Alinipenda sana, mpaka sasa...
4 Reactions
116 Replies
7K Views
Habari za saa hizi ndugu wanaharakati wa jf nafikiri bado mnaendelea kukuna vichwa vyenu ili muweze kutukusanyia na kutuletea habari mbalimbali zinazotokea kila kukicha. Shida yangu ni kwamba ni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…