Nilihudhuria harusi moja, wakati naingia nikakuta upande wa familia ya mwanaharusi mmoja wanacheza ngoma ya kikwao.. Japo walionekana kujitutumua na kuonyesha furaha, niliweza kusoma sense ya...
Kwa wale ambao bado hawajaolewa hua hawaishi kuonyesha na kuelezea namna gani wanaume walivyo wabaya hata kufanya swala zima la kuingia ndoani kuwa gumu. Walioolewa hawaishi kulalama namna waume...
suppose una mpenzi wako but hajakutambulisha kwa ndugu yake yeyote then mkaachana..ameoa kabisa
miaka imepita umekutana na ndugu yake kabisa kabisa baba mmoja mama mmoja yupo serias kabisa...
sory nimekosea heading...ni rafiki wa jinsia yeyote please..nitakuwa likizo from tar 30 kwa wiki mbili...
natafuta rafiki jinsia yeyote
mimi napenda sana nature....so nataka twende sehemu kama...
Wanajf,mimi nina rafiki yangu mmoja alikuwa na tabia ya kuiba waume za watu nimemkanya mara nyingi lakini akawa hanisikii sasa kakutana na kiboko yake kafanywa chizi kabisa anakimbia ovyo mitaani...
Wapenzi natumaini wote mu wazima.
Nimekuwa nikisoma mawazo yenu hapa jamvini juu ya mahusiano na kujikuta nachanganyikiwa zaidi ya kuwaelewa. Picha niliyoipata kwa muda ni kutomfanya mpenzio...
Wana-JF,nikiri kuwa ni mara yangu ya kwanza kuandika kwenye jukwaa hili.Suala hili linamhusu rafiki yangu wa karibu aitwaye Eddock.Eddock alikuwa na mahusiano na msichana mmoja hapa jijini Dar es...
Je unampenda uliyenaeye??..........au unaendeleakumtafuta umpendae kwasasa??..........je utakuwa umemtendea haki huyo uliyenaye???.................au upokwake kwa sababu fulani?funguka......>>>>
habari wanajamvini,
mimi ni mke wa mtu ambaye nina mtoto mmoja, kuna kaka mmoja tulimiti muda mrefu kabla yahata mimi kukutana na mume wangu ila tulikuwa marafiki wa karibu sana, mpaka nikawa...
Hii imetoka Redio One: NI hivi: Msichana mrembo ambae alikuwa akifuatwa na wanaume wengi aliamuwa kukubali kuanguka kwa kijana alieonekana amenona. Mapenzi yakanawiri na Kijana akitowa vyake ikiwa...
Namshukuru Mungu kwa kuiona siku nyingine tena nikiwa mwenye afya njema..ila hili nililoliona leo asubuhi limenifanya kujadili njia nzia nikiwa naelekea kwenye mishe zangu..sijui ni ukali wa...
Mimi ni kijana wa kiume (39) niliye anza kuoa miaka tisa iliyopita. Mpaka sas nina wake wawili na kwakuwa inmani yangu inaruhusu basi sikuona kwanini niwe na mmoja ili hali dunia imejaa wanawake...
Wakuu, nilikuwa na mchumba wangu kutoka nchini kenya, lakini kwa yale niliyoyaona kwenye video hii, sina mpango tena naye. Fuatilia upate kufahamu nilichokiogopa.
Mume apigwa na bibi Nyeri - YouTube
jaman nahtaji mawazo yenu nifanyeje...nilibahatka kuwa na girl friend nkampenda tena sana kumbe mwenzangu ana ttzo la maumbile yaan sehem zake za siri hazna penetration hole....mwanzoni nilzan...
Salaam wanajamvi. Kama kawaida yangu nikitingwa na jambo nakimbilia Great Thinkers!
Nimekuwa nikisoma malalamiko mengi humu jamvini kuhusu kuvunjika kwa mahusiano baina ya wapenzi au...