SMS01:
"Sipigi simu na wala sijishughulishi na huyo mamako. Hata ukisafiri simpeleki hospital nisingekuwa mimi ungejua kama mama yako ana tatizo hilo. Hilo la mzigo umeona nalo neno la...
Of course, sex is necessary forthe propagation of the race. But while we are to "be fruitful and increasein number" (Genesis 1:28), sex is not merely limited to the procreation ofthe human...
Jamani wana jamii naomba munisaidie ni vipi vigezo muhimu ambavyo mwanamke wa kuwekwa ndani anatakiwa kuwa navyo?Najua kila m2 anavyo vyake bt vile unique kwa kila m2.
ONYO:
Wadada wenzangu desperate, tafadhalini muwe waangalifu sana. MANGE KIMAVI ameweka posting feki ambayo ameandika yeye akidanganya watu kwamba ni mtu anatafuta mke. Wanawake huyu dada...
Ni mtazamo wangu kwa sababu naona vijana wengi wanaokua sasa hivi
wakiwa kwenye mikakati mizito ya jinsi ya kupata mijimama au wanawake
wenye pesa.
1.Ni wavivu
2. Wanatumia muda mwingi kujiremba...
Inasemekana kuwa wanawake walio wengi wamekuwa wakitembea na wanaume zaidi ya kumi kabla ya kuolewa. Idadi ya wanaume imekua ikiongeza siku hadi siku. Takwimu zinaonyesha hadi kufikia hatua ya...
Msije mkadhani nimekufa jaman,ni maandalizi tu ya UE ndo yanayonfanya niadimike kiasi hki..hope by mwezi ujao mwishon ntakua active member wa hili jukwaa la MMU.
Kunawatu wanameza waschokula, wapo katka makundi haya. 1. Anaangalia chakula huku akijshbsha kwa mawazo. 2. Anaangalia mtu anaekula chakula huku yeye anashba...hivi faida kubwa hasa n nin? Ni...
>atapunguza mahaba na wewe,sina maana ya ngono namaanisha mambo ya kimapenzi mfano kukujali,kukuheshimu na kukuthamini..
>anakua mgumu kupokea simu yako,hata akipokea hazungumzi maneno ya mahaba...
Ndugu wana JF,
Nakuwa najiuliza mara kwa mara juu ya nini cha kufanya na kubaki in dilema, nimekuwa na mama wa kambo ambae hakuwa na upendo hata chembe mbali na manyanyaso ya kila aina kwa...
Wanajamvi...Hope all is fine with you!
Hivi katika ndoa kwa nini wanaume kati ya wengi siku hizi wamekuwa wabinafsi hivyo...
Hii imetokea sana na pia rafiki yangu kanieleza nimpe ushauri kwani...
Alexander O'Neal Criticize - YouTube
Can't you find something else to talk about?
Is this song the only one you sins?
Makes you look better when you put things down?
Value your opinion...
UTAJUAJE UNAMPENDA?1.Catch your attention due to her/his attractiveness2.Filing of your heart Vacancy and always thinking about her/his3.To be with her/him all the time, there is no bussy...
Kuna kaka nilikutana naye facebook, tukapeana namba za simu tukawa tunawasiliana vizuri mpaka sasa tumefikisha mwaka mmoja. Wakati nikitafakari undani wa upendo wetu ikaonesha ya kuwa mkaka hana...
Haya ni maneno ya Biblia.
Naona malalamiko mengi kwenye mapenzi ni ..ooo ananichuna... oooo mme ka mwanamke.
Pia na nyie wote mnaopenda kupokea tu sio vizuri jamani. Biblia imekataza.
Ni hayo tu...
Ndio ninayo ishi Erotica. Ingekua sio ndoto zangu na strangers, ama kushtulia hapa na pale na
wadau wa hapa na pale ningeganda. Sababu ni mrembo na mzuri, nikiwa na maisha mazuri
ya hali ya juu...
Mods, pse muuache hapa hapa MMU, niko siriaz, sitaki kuchitchat
Kama kichwa habari kinavyohusika
Hivi huu wimbo una maana gani?
Ni fasihi imetumika au ndo kama ulivyo?
Na naweza udedicate katika...