Ktk jamii nyingi kumekuwa na malalamiko mengi juu wapenzi wengi kutokuwa waaminifu kwa wenzi wao juu mahusiana ya kimapenzi, hii inatokea kwa wapenzi, wachumba na hata wanandoa. Wengi wamekuwa...
Nimeikuta mahali hii nikaona tushee japo mimi hainiingii akilini sana kuna K inajisafisha yenyewe.
Habari zenu kina dada, mama na wadogo zetu.
Tungependa ku-share nanyi kuhusiana na jambo moja...
heshima kwenu wakuu, ushauri wangu ni kuhusu mapishi na mapochopocho mnayotupikia hasa kwa sisi watu wa hali ya kati na chini. wanawake wengi hawana ubunifu katika sekta nyeti ya mambo ya jikoni...
Msemo huu ukiuangalia kwa upande mmoja ni kweli tupu ila ukiangalia maumivu wanayopata waliopoteza lovers wao unaona una walakini...
Mfano ni kama mtu alikuwa amezoea kula nyama mbichi, huyu...
Picha hii haihusiani na habari hii.............
Ni kidonda kikubwa cha hisia, lakini nimemudu kukiponyesha na sasa limebaki kovu tu ambalo halina mauamivu kwangu. Kidonda hiki cha kihisia...
jaman mwenzenu nahisi nimesingiziwa mtoto maana nafanana nae vidole tu, nahisi hio ni coincidence.... Mana huyu mama yake hakuwa mtulivu sna... People!!!!!!! DNA ya bei rahisi ni sh. Ngapi?
WIFE:
I wrote your nameon sand it got washed.
Iwrote your name in air, it was blown away.
ThenI wrote your name on my heart & I got Heart Attack.
HUSBAND:
God saw me hungry, he created pizza.
He...
Nimeolewa miaka saba iliyopita, ila mpaka leo sina hakika kama mume wangu ananipenda kweli au la. Amebadilika mno. Kwa miaka 5 hivi hajawahi kuniambia 'i love you' au kunitajia kitu chochote...
kuna jamaa namfahamu ameshaoa, kaniambia kuwa ni kawaida ya wanandoa kucheat. Nimepatwa na mshangao kwa hiyo hata mie nikingia kwenye ndo mume wangu akicheat nione ni kawaida tu
Kuna jamaa yangu/rafiki yangu kipenzi ana hali ngumu nyumbani kwake ikanibidi niamue kuingia JF kusaka msaada wa ki-mawazo,ijumaa jioni jamaa alipotoka kazini alipitia sehemu akapata Bia zake tatu...
Ndugu, Utafanya nini ili kumfanya mpenzi wako ajione the only girl/boy in this world na pia akuone wewe ndo the best guy he/she had in this world, If umepewa masaa 24 tu! ya mwisho afta that...
Kunajamaa yangu kamuazima rafiki yake gari,jamaa kamchukua g/f wakaenda kuvinjari nyumba ya wageni,mbeya mmoja kapita yale maeno kaliona gari analifahamu kampigia simu yule mke wa mwenye gari uko...
nimejikuta najiuliza hivi urafiki na mapenzi vinahusiana?
Unaweza muomba mtu awe mpenzi, je unaweza omba mtu awe rafiki?
Au urafiki ni kitu kinakuja chenyewe tu kutokana na vionjo/tabia...
Ilikuwa ni siku moja Kibaha na mimba ikatungwa sawia.
Mama akaiba redio nikimwona, asubuhi akasema ni binti.
Picha ikaletwa kimzaha, lakini hali ikabadilika ghafla sana...
Mabinti muwe mnauliza! Unapopigwa chini na usichunguze kujua sababu then ukakimbilia kwenye mahusiono mengine....
Jumapili mi bachela, sipiki, nikitoka church hupendelea kutafuta sehemu nzuri ya...
Nimfanyaje uyu demu? Maana pamoja na awazachu mtu, ushauri una nafasi jamani. Je; nikumuambia hiyo tabia sipendiiii au utafanyaje kuondoa hii kero. Eti ''nataka nikuone ninashida kuna kitu nataka...
Kuna dada nafanya nae kazi na mtu wa nyumbani, kuna kipindi aliniambia amepata mchumba na aliomba ruhusa kwenda kujitambulisha kwa wazazi wake. sasa ni miaka miwili, jana nilimuuliza vipi mnafunga...