Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habari Za Jioni wana JF. Naomba mawazo yenu ktk hili. Hivi, katika mahusiano mwanaume kumpa mwanamke hela ina maana gani???? hasa wanaume naomba mnisaidie. Je ukiwa kama mwanaume, una girlfriend...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Kwa takribani miaka 21 kuacha kuwa na mahusiana naye kwasababu maneno machafu na yanayochafua roho na kutojali kwake,nilidhani naweza msahau na tukawa marafiki but kiukweli namchukia baba yangu as...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Heshima kwenu wandugu, nimekuja na maada inanihusu mimi nitajaribu kuifafanua ili mpata uelewa zaidi na muweze kunipa ushauri wenu, najua wapo watako kebehi lakini mungu anajua nini nia yangu...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Jamaa alipomfumania mtu anaiba mkewe akakimbia kwa mganga, mganga by remote powers akawagandisha permanently kwenye ngono, jamaa akarudi akasema ili kuwabandua Mchawi anaitisha (anadai, Kiswahili...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mara kwa mara nasikia mnasema 'kuolewa ni bahati',hivi mnamaanisha nini hasa?
0 Reactions
66 Replies
5K Views
Wenye hekima wa zamani walisema msafiri akianza kuona njia aipitayo imekaa ndivyo sivyo sharti kuomba msaada kwa waliokwishapita ati! Hivi karibuni Mimi Petcash was with mtu mmoja mahali...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Wanaume wengi wanaotoka nje ya ndoa kwa sababu nyingi wanazo zifahamu mara nyingi wao hukosa hamu ya Tendo la ndo kwa wake zao na hii hutokana na Miili yao kuchoka na kushindwa kuitumikisha Kwenye...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
ndoa za aina hii 1. ndoa hii mwanamke anapewa kila kitu mpaka kiberiti,haijalishi kama mke ana pesa au la ...ukija suala la mapenzi anapewa A anajua njia zote za kucheza na akili za wanawake...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Heshima kwenu brothers and poleni na majukumu, Nahitaji kushare mawazo na wenzangu naomba wapondaji wakae kimya is only ushauri needed, Mi ni kijana wa 25 yrs graduate and working somewhere in...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Love can neither be created nor destroyed but it can just be transfered from one gf/bf to another. I will come for the proof and equation maana najua wanasayansi mtaanza kuuliza kuhusu kuprove.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kaumia sana moyoni,kwa kashfa nilizotoa,binafsi hata moja sikumaanisha! . Jana kaniambia tuachane,imeniuma,nakumbembeleza ! Nimemwambia nastop pombe kwa 2years. . . Ni mchumba wangu,tuna malengo...
1 Reactions
98 Replies
7K Views
FOR OUR COTTON (SECOND) WEDDING ANNIVERSARY (MARIE A. MAKULILO & ERNEST B. MAKULILO) My Intimate Letter to my lovely wife, Marie Anna Makulilo My Dearest Marie, It was on Saturday May...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika utafiti wa hivi karibuni, watafiti wamegundua kwamba, wanawake wanawapenda wanaume wasio waoga na mashujaa kuliko wale waoga. Ushujaa wa wanaume ni kigezo kikubwa kwa wanawake kuwapenda...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
A man from Bulawayo High Density suburb of Tshabalala will think twice before cheating again after his embittered wife took revenge on him on Monday by feeding him beef stew mixed with chunks of...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Wanabodi JF. Mie sio mwenyeji sana huku nimeona nije nipate michango yenu kutoka kwenu wadau wa MMU. Kuna rafiki yangu wa karibu mke wake anafanya kazi benki mmoja maeneo ya posta mpya, mara...
1 Reactions
85 Replies
7K Views
Mwanajamvi mwenzetu Amefiwa na mama yake mzazi jioni ya leo huko Tabora tumuombee ndugu yetu Mungu amfanyie wepesi katika tukio hili zito nawasilisha
0 Reactions
9 Replies
1K Views
[PHOTO:STANDARD/COURTESY] Pulse Cover Girl Huyu binti ni mateso kwani kauli yake ni matope! Mie kupenda yeye sasa kanigeuzia kibao kijumla! Nimemfungulia...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
1. Touch her waist. 2. Actually talk to her. 3. Share secrets with her. 4. Give her your jacket. 5. Kiss her slowly.6. Hug her. 7. Hold her. 8. Laugh with her. 9. Invite her somewhere. 10. Hangout...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Hivi..is that statement true??mtu akikwambia hivo utajisikiaje??can you say its over without breaking someone's heart?? i have been with this guy for 4 years now-very nice guy.ila ndo ivo tena...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Kwanza nampa pole kijana Sajuki pamoja na familia yake kwa ugonjwa unaomsumbu.Nilisikia uchungu sana jana nilipomsikia mke wa Sajuki,Wastara akiomba msaada redioni ili mumewe akatibiwe...
11 Reactions
36 Replies
5K Views
Back
Top Bottom