Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

nusu saa iliyopita nikiwa na rafiki yangu maeneo ya magomeni makuti kumetokea tokio ambalo limeniacha mdomo wazi.Ni kijana smart umri 20-25 moja kwa moja alimfuata rafiki yangu na kumpapasa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwanza naanza kwa kuwapa wanajamvi salamu zangu leo nawapasha mambo yanatupata mitaa ya kawngu Mwenzenu nilipopanga kuna gesti bubu jiarani yangu Napambana na majaribu makubwa acheni tu ndugu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari ya kazi wa JF?mimi ni mwanamke wa miaka 28 nimeolewa na nina watoto wawili wa kike wa kwanza ana miaka 6 na anaemfuta ana miaka 4,juzi nimegundua mume angu kazaa mtoto mwingine na mwanamke...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Mwanaume kimaumbile hataki kuona aina ya mashindano na mke. Anapogundua kuwepo kwa aina ya mashindano, huwa anajitahidi sana kuhakikisha kwamba, anashinda. Katika juhudi yake ya kutaka kushinda...
8 Reactions
45 Replies
6K Views
habari zenyu bhana! Hii ni story ya kweli na wala si ya kutunga.... Kwanza naomba niwape majina hawa wahusika ili twende pamoja. Kuna mkaka anaitwa Juma na mdada anaitwa Fatu na pia kuna mdada...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Wanajf naomba msaada wenu! Eti ni goli ngapi natakiwa kufunga kwa siku? Napata shida maana ndo kwanza nimeanza hizi mechi baada ya kuwa bize sana na kitabu. Nina miaka 28 ila sina uzoefu na huyu...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
EAST AFRICA HERALD: Mass wedding excites Serere residents Imekaaje hii wanajamvi...? ungependa na yako iwe hivi...?
0 Reactions
0 Replies
629 Views
poleni na majukumu yooote, habari za masiku tele, naombeni msaada wapi naweza kwenda ( dar) kwa mashindano kama ya kuogelea, cycling, or running event, please like kila week or mwezi, au kama...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Natumai muwazima wanajamii. Ila kuna kitui kimoja nipo nacho chuo sikielewi kihivi. Nikiwa mbali nacho kinanitafuta kwenye cm na kina tuma sms nyingi sana pia twaweza kujadili mambo mengi hata...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
duuuuuuuuuuuuuuuuu, hivi ni kwanini wavulana na wasichana walio soma seminari huwa wanacharukia mapenzi baada ya kujichanganya na wanajamii, mfano, wanapo jiunga vyuo vikuu huwa vicheche sana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Msaada wajameni Mwenzenu NIKIONA mr&Mrs wameongozana hapo hapo naanza kutamani Mrs wa mtu, Yaani sasa hv nawatamani sana alafu nahisi kupigika. Msaada wenu jaman
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Duuuuu... Hiki kisa cha maisha yangu ya MMU nikikaa pekee yangu, naishia kuchekaa!!! Kweli wanawake wanaweza, nawaheshimuuuu bana, kongosho, smile, mwali,.... Mko wapi??? 2007 nilikuwa na gf...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
EAST AFRICA HERALD: 16 years without a child, but we are happy
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Anatambulika kwa jina la ukoo wake mashau wengi hupenda kumwita mashauzi kutokana na yake maringo,sura ya mviringo yenye kuambatana na vishimo mashavuni na macho ya kusinzia akikuangalia waweza...
2 Reactions
68 Replies
6K Views
Ni best angu leo tulikuwa tunapiga nae story hapa dah sasa ndipo aka anza kuniambia kutongoza mwana mke mpaka awe kwenye lini ni kaz kubwa na ndio maana ikawekwa kwa wanaume jasiri coz ukichek...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
moja haikai mbili haikwendi, tatu ndo kabisaaaaaa................, chief tete imegoma, popo kaning'inia haitaki, za kichapego hazikwendi.....wife anakitambi, mimi nna kitambi...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna jambo ambalo huwa linanisikitisha sana ninapohudhuria baadhi ya misiba, jambo hilo hunifanya hata nitokwe na machozi hata kama wahusika wa msiba si wa2 wa karibu. Jambo hilo nimekutana nalo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Guys!!i have been talking to this chick for the last couple of mounths and i talk to her every single day,she knows that i love her and would seriously do anythng she asked me to do if i could do...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Tulikuwa kwenye kikao kidogo cha wazee kijijini na tukawa tunazungumza mambo mengi. Kama kawaida mambo ya watu kucheat yakajitokeza mara moja kwanza ilikuwa hoja ya "kina nani wanacheat zaidi kati...
8 Reactions
62 Replies
7K Views
wana jamvi wenzangu, kuna jirani yangu hapa anamtafutia mwanae wa kiume mchumba. Kijana mwenyewe ni taahira but kwa tetesi hali hii aliipata ukubwani tena baada ya wazazi wake kutaka utajiri hivyo...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom