Wanawake wa TKibongo wengi wao nyuso zao hazina mvuto wa kike wapo kama vile wanaume ukinagalia nywelezao wengi ni choko chore kinacho wasaidia ni hizo nywele za bandia isipokuwa ukiangalia...
Habarini ndugu wanajf,tatizo hili sio langu ila la rafiki yangu.Nimelileta apa maana naamini ni mahali anapoweza kupata ushauri.Mwaka 2010 mwanzoni kuna binti nilimpa ujauzito,naweza sema ni...
Naomba kuuliza hivi kupiga puli kila siku kuna madhara?na kama yapo ni yepi maana mimi daily lazima nikamue walau mara2 na nipo fit tu!ila sina demu na sina mpango kabisa wakuwa nae!
I remember one Day my Friend Told me That "I wish I knew this 5 years ago" for him it was to let but ni ndoa ngapi au Kwa wapenzi walio kwenye Mahusioni yanavunjika kwa sababu ya watu ambao...
Tangia tuachane na niliye kuwa nae awali sijisiki kumpenda mrembo yeyote. Naomba mnishauri nifanyeje? Ni heri niendelee hivi hivi kuwa mpweke au nijilazimishe kupenda? Sina mda tena na wasichana...
Wakuu habari za leo? Mara nyingi nimekuwa nikikumbana na hilo jibu "nina mtu"...
Hii hutokea baada ya kufanya juhudi nyinginezo za kumuweka mtu karibu, nimekuwa mtu wa kukata tamaa sana...licha...
An intelligent wife
''An Intelligent Wife Is One Who Makes Sure She Spends So Much
That Her Husband Can't Afford Another Women"
New SIM to surprise her husband
Woman Buys A New Sim Card Puts It...
Msukuma- mama masanja twende tukakutanishe makojoleo.
Mhaya- infwakt mama koku hebu twende tukaperfom.
Mkurya- wee mama bhoke hebu njoo nikurenge.
Masai- mama yeyoo hebu nipe ile kitu namesa...
10 things a girl probably doesn't
know about
a guy :
1. Guys are more emotional then
they think,
if they loved them truly.
2. Guys may be flirting around all
day but
before they go to...
Juzi my fiancee kanifuata ofisini akaniaanza kunihubiria makosa yangu ya kuwa 'too close'
na one of my female frends(ambaye tulishakuwa na problem naye tena hapo nyuma), akanihukumu hukohuko...
Imagine mpenzi wako awe ana cheat kama wewe au zaidi yako.
kuna watu wanajipa moyo kuwa wapenzi wao ni waaminifu wakati yawezekana akawa ana cheat zaidi yako.
Kuwa na wapenzi wengi sio jambo la...
Siyo rahisi kujua kilichoko ndani ya moyo wa mwanadamu
Mara nyingi kauli hupimika lakini kamwe siyo dira ya ukweli
Jicho laweza kurashiarashia nia lakini siyo kisemea moyo
Tabasamu laweza...
Hizi mbinu ni muarobaini wa wake/ma-GF korofi na utawashikisha adabu...............nimeifupisha kutoka kwenye hii makala ya
Donts for husbands
1) Usifue nguo zako hata siku moja hakikisha...
Nakumbuka nilipokuwa primary school tena darasa la pili tulikuwa na kale ka tabia ka kiume ka sijui ni kupenda au what ist called but ni kwamba unaweza kuwa una "wachumba" kumi ambao ni wewe peke...
HALOO MABIBI NA MABWANA MABACHELA WENYE WACHUMBA ZAO NA KAZALIKA NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUWAKARIBISHA KATIKA HARUSI YA KIJANA MAZOGOLA ITAKAYO FANYIKA TAREHE 2/6/2012 KATIKA UKUMBI WA...
Mtoto ni mkali kweli kweli..nampenda kweli kweli..lakini ..its two weeks now since i started dating her..all my deals that were to happen this week and last week zooote zimeharibika..naanza kuhisi...
Familia yetu iliwahi kuishi jirani na familia ya mama na bibi mmoja miaka ya 90.Mama yule alikuwa na mtoto mwenye ulemavu wa akili (zamani tunaita kichaa)......Kwa kuwa tulikuwa wadogo tulikuwa...
Yupo kijana ameniletea hii changamoto. Mke anadai talaka baada ya ndoa (ya Kiislamu) isiyozidi miaka miwili. Hiyo kwake si hoja kwa sababu mke ameamua hata baada ya vikao vitatu vya usuluhishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.