Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Leo kuna baadhi ya magazeti ya memripoti daimond kuwa ana mganga wa mapenzi hapana naweza kulikataa swala zima la kusema kuwa diamondi anadawa ya mapenzi bali baadhi ya watu wamenukuu vibaya...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wana Jukwaa, Mimi ndugu yenu napenda kuchukua muda na fursa hii kuwaombeni msaada wa mawazo/ushauri. Mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 22 na bado sijahamua kuingia kwenye ulimwengu wa...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
wana mmu wa mbeya!nimeingia mbeya sekunde hii,nipo hapa fm guest house! naomba mwenyeji ajitokeze atupeleke sehemu yenye kitimoto ya ukweli ya kuchoma!nasisitiza kitimoto ya kuchoma first...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Ktk maisha tulio nayo, vijana wengi tumekosa muelekeo kwa sababu ya kujihusisha ktk masuala ya kimapenzi hali hatujajianda na hatima yake tumekuwa ni watu akulalamika kwamba tatupendwi wengine...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
......ndipo ilipo furaha yangu. Kuna msichana mmoja kusema ukweli nampenda sana na nshawahi kumwambia ila bado hajanijibu. Kiukweli nshawahi kuwa na uhusiano wa muda mfupi na rafiki yake wa damu...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
No matter what you've been through, no matter what happened into your life, just know that.. Have a lovely weekend Kazin's..!
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Najua Above 18 mtanielewa tu. Nimepata kuisikia kwa wanaume kadhaa kuwa pale wanapokuwa na magari yao wanapoendesha kuelekea kileleni huwa wanajenga fikra za kuendesha magari mengine. Yaani...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
mapema ni Sawa na kutafuta kitu cheus titi ndani ya giza jeusi totoro so my yangest star they should save there energy and store it still the appropriate time
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninapoandika waraka huu ni dakika moja baada ya kumalizika birthday yako.Hongera. Binafsi nimekuwa memba yapata muda sasa ndani ya jamvi hili la jf.Kama ni kuona nimeona mengi humu.Kwa kifupi i...
9 Reactions
84 Replies
5K Views
hii kitu nimekuwa nikijiuliza sana 1. kwanini inakuwa ngumu kuacha kufuatilia anayofanya ex wako though mlishabreak up.... tena wataka kujua anatoka na nani na yakoje mahusiano yao 2. kwanini...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
...kina dada hunishangaza, pamoja na kutaabika kujibebesha mizigo kama hii, kwanini Khanga haikosekani kwenye mikoba yenu??? Eti watu wazima wenzangu, nini siri ya Khanga hizo, wanaenda nazo...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
Je! Mke kuwafukuza nyumbani ndugu wa mme wake wakati huo anakaribisha ndugu zake ni halali? Dawa yake ni nini?
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Nina mpnz wangu nampenda sana,nampatia kila kitu anachotaka ila nashindwa kuamini kama ananipenda kweli kwani tabia zake hazieleweki! kwangu anakuja akiwa na shida 2,wakati mwingne anaongea na...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Pilau ale yeye tena kwa kificho huku akjijua ni mwizi tu.............akiwa kwenye chumba alichokishindilia komeo tena la viro ili asije kubambwa na mwenye mlo wake.............baada ya uporaji wa...
23 Reactions
62 Replies
5K Views
kumpenda nilimpenda sana mpaka nilifikia hatua ya kumtorea barua ili awe wangu wa kufa na kuzikana,ila tatizo likaja baada ya kutoa barua kwao binti kawa na kiburi kama nini sijui,tofauti kabisa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wastara alipata ajali na kupata ulemavu kipindi yuko na sajuki.je Sajuki angemuacha kipindi kile leo tungekua tunaongea nn?Mungu mponye Sajuki na endelelea kumpa moyo wa ujasiri na ushujaa Wastara...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nimetoswaa wee mpaka nimechoka . Kuna dada nimetokea kumpenda saaaana hapa chuo lkn nikiangalia level zetu economically tofauti kabisa ,hata sijui nifanyeje .....aaargh
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kusababisha ndoa zivunjike? Ndugu wa mke au Ndugu wa mume? Na unahisi kwa nini? Kama hauko kwenye ndoa; kumbuka ulivyokuwa kwa wazazi, ni kina nani walikuwa wanahatarisha/waliosababisha...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kitu kinachonikera kazini kwangu,ninaona wafanyakazi wenzangu chini ya Mkurugenzi wanajikomba komba kwa boss.HIVI KWA NIN?nikutafta cheo? Je huwezi pata bila kujipendekeza?Akijependekeza ujue...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
mm ni dada wa tz, yaani mbongo mwenzenu nina matatizo kwenye mahusiano yangu naomba ushauri.......... niko na guy 1 2likua na relation nzur kias miaka 3 iliyopita then 2kawa apart az i went far...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom