Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hakika hakuna anayewahi kubadilika maumbile km mwanamke,wadau hii imemkuta jamaa yangu ndani ya facebook baada ya kuchat na sana na binti mwisho wa siku wakabadilishana no ktk maongezi jamaa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau hii nimeipata mahali, nikaona si vibaya kushea na wanaJF. Ndugu zangu, maisha ya kimapenzi yanahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana kwani kuna changamoto nyingi zinazoweza kujitokeza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sijui kama ni sawa au si sawa, msaidizi wangu wa kazi ameniambia kuwa anataka likizo ili aende kwao, hilo kwa roho za kibinaadamu naona ni jambo zuri sana, lakini anataka na mshahara wa mwezi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alikuwa Uarabuni kikazi. Alipokuwa anakaribia kumaliza mkataba wa kazi, huku kwao wakamfanyia utaratibu wa kumpata mwenza. Ndoa ikafanyika akiwakilishwa na mtu mwingine. Siku iliwadia...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Bofloooooo
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Majuzi hapa kuna mdada nilimsimamia ndoa yake kwa bahati mbaya nikapata habari kuwa kafiwa na baba mkwe kilichonisikitisha ni kuwa yule binti na mmewe walisafiri kwenda msibani siku ya kuzika na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Attraction. Mwenzi wako uliyenae anakuvutia kiasi gani?!Akikushika kwa hisia unatamani ukaribu wake au ni kama gari inayohitaji kusukumwa ndo iwake?! Katika vitu ambavyo naamini vinaweza...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Jamani tuwalinde vijana wetu miaka inavyo zidi kwenda ndo wanazidi kuharibikiwa. Mtoto wa mwenzio ni wako jamani mnaona milegezo hiyo?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
50 Things That Girls Should Know About Guys 1. Guys aren’t psychic, mind telling them what you mean? 2. Guys don’t like to be used as pawns in trying to make your friends jealous. 3. Guys tend...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Closed
Wadau kunadada mmoja toka Arusha kabila ni muiraq, namkubali sana sana sana, lakini sijajua wasifu wa kabila hili, nawaombeni mnisaidie tabia na tamaduni la kabila hili kwa wale wanaolifahamu...
0 Reactions
98 Replies
34K Views
Umezaa watoto wako wawili ukiamini wanatosha kwa maisha ya sasa. Mmeo kwa sasa ndio mkubwa kwao na pia wanakaka yao ambaye alikuwa ni mkubwa kwake akafariki na kuacha mototo mmoja wa kuime jina...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukitaka mwanamke siku hizi ni wengi nabidhaa ipo kila sehemu wa buree kabisa ama bei sawa na bure kama vile bidhaa ya maji ya kunywa katika jiji la Dar! Ukimsalimia tu kalainika, contacts anatoa...
2 Reactions
146 Replies
9K Views
Happy workers day jana wana JF naamini wengi wetu hapa tumeajiriwa kwenye ofisi mbalimbali na wachache wamejiajiri.........ni sawa! tukirudi kwenye uhalisia wa maisha ya kila siku;pamoja na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tukubali tukatae wapo ambao wanatamani dunia irudi nyuma ili ndoa zao zife,kwani wanashindwa kufanya hivyo sasa kwa sababu ya kidini au za kutokujiamini!Ngoja nikwambie kitu,hakuna Mungu...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
..,Nampenz nimekaa nayesasa nimiaka miwili na miez kadhaa lakin sijawah kusex nayehatasiku moja kila kimchombeza anasema wakati badohujafika..,ananipenda kwel au anazingua? nampango wakumpiga...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Habari za hapa ndani wadau, katika kuchagua mchumba je ni yupi kati ya wanaofanya kazi hizi ukioa hakutakuwa na shida? 1:Bar maid 2:Mwalimu 3:Msusi 4:Secretary 5:Fundi wa kushona NB: NAMBA...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
jaman nawasalim kwanz habar z nyie ! nahtaji msaada wen ju y hili nna miak 25 nnampenz wangu lakn anampenz mwngne nje y mkoa nilijua hli baada ya kumchunguza sana nilpomuulz alinihakkshia n kwel...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Sintarudia tena kupiga busu la kwenye ndimi za mtu nimekoma,haya mambo ya kugeuzana mswaki hapana tena baada ya kumkiss ulimi unawasha namna hii siku ya tatu mfululuzo!
0 Reactions
38 Replies
10K Views
Hamjamboooooo wanduguuuuu
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Je ni haki mwanamke(mke) aamue kuletewa mke mwenza (mwanaume kupata ruhusa kuoa mke wa pili)?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…