Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

"Mwambie yule rafiki yako asipende kunizoea, mwambie mimi siyo Malaya. Yaani mtu anajidai wewe ni rafiki yake, halafu anakuja kunitongoza…………!" Hebu tuchukulie kwamba...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
:) INFO: A solid product that focuses on ways to use humor to become attractive to women. Filled with good material and examples, "Make Women Laugh" can be helpful if you are interested in...
13 Reactions
18 Replies
676 Views
nilikua na girlfriend ambaye wakati wowote ambao yeye alinihitaji kwa ajili ya sex alikuwa anasafiri kutoka mkoa anaoishi kunifuata nilipo na kupeana malavi davi. Aidha mm nikimuhitaji alikua...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
jaman nawasalim kwanz habar z nyie ! nahtaji msaada wen ju y hili nna miak 25 nnampenz wangu lakn anampenz mwngne nje y mkoa nilijua hli baada ya kumchunguza sana nilpomuulz alinihakkshia n kwel...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
jamani samahani kidogo wanaJF ila tu ni katika hali ya kujuzana mambo 2 ma3 ya kijamii,hivi kwa mfano mtu akaenda kusex kwa kutumia kinga(condom) na tahadhari zote za ziada kama vile kutoingia...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
For me its was when I saw The only girl I loved and wanted, reconnect with her ex bf and rekindled their love. How about you?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mchumba anapochumbiwa hiyo nayo huwa ni ahadi..... Ahadi inapoota mbawa aliyeahidiwa huachiwa maumivu....... Mwaahidi aweza kuwa na sababu za kigugumizi lakini... Mwathirika wake hataki kusikia...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
Salut wana jf, katika maisha ya kila siku swala la kupenda na kupenda ni jambo la kawaida na ni mingmi mwa mahitaji muhimu ya mwanadamu. Katika kumpenda mtu au kitu naamini kabisa lazima kuwe na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Closed
Mamboz?, leonataka kushare nanyi changamoto nilizokumbana nazo tangu nimejoin jf. Binafsi naaminichangamoto zinasaidia kutujenga kiakili na binadamu wote tunapitia challengestofautitofauti...
18 Reactions
446 Replies
23K Views
Nimejaliwa miguu lakini hips sina, nina mpango wa kununua spandex yenye sponji za kuongeza hips. Nimejaliwa macho makubwa na mazuri, shughuli ipo kwenye kope, ka vile hazipo, nina mpango wa...
4 Reactions
280 Replies
34K Views
Jaman nina gal wangu ambae anapenda pochi balaa,nimeshasex nae bado nampenda na ctak kumwacha.nifanye nn ili aache hii tabia yake ya kupenda hela?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Iwe umeoa/umeolewa, iwe ni wachumba wa muda mfupi au mrefu, yanapotokea baadhi ya mambo haya (na mengine), ujuwe kuwa uhusiano wenu uko matatani na iko haja ya kutafuta ufumbuzi haraka. 1...
2 Reactions
23 Replies
8K Views
Msiniite mbea na sipigi chuku wala sifanyi fitna…………………. Week end hii, nilimtembelea mzee mmoja ambaye nilitambulishwa na rafiki yangu anayeishi mkoani...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Sijui ndo utandawazi kwan naona ck hz unakuta njemba imepaka kucha rangi sasa cjui ndo utanashati au?
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Natumai wote tu wazima kwa uwezo wa mola.....:wave: Kuna jambo huwa nikikumbuka linanifurahisha sana japo siku ya kwanza nilipata mshituko kidogo. Home kulikuwa na housegirl aliezaliwa 1994,katika...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi, Leo mchumba wangu wangu amenifanyia suprise ambayo nimejuta kumfahamu! Mchumba wangu (yuleyule tuliyekuwa na problem naye back then-sasa hivi mambo supa) ni graduate wa...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Salaam wana JF! Kwa sasa tatizo la "mpango wa kando/nyumba ndogo" limekuwa likiota mizizi kiasi kwamba linaonekana kama ni tabia ya kawaida kwa wanandoa na watu walio kwenye mahusiano. Tatizo...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Mwanadamu alivyoumbwa ni mwepesi kughafilika na kupagawa... Hupenda vya mvunguni lakini masharti yake hayawezi........ Hupenda vya kunyonga lakini vya kuchinja huvikwepa....... Hupenda vya...
18 Reactions
47 Replies
17K Views
kuwa na msichana anae kuomba omba pesa au sijui umuongezee salio kwenye simu yake!!utadhan wee ndio mzazi wake bana..badilikeni wote wenye hako katabia,kama mtu anajisikia kukupa,atakupa mwenyewe...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Ama kwa hakika kweli kufa ni kufaana kikabisa-kabisa Yawaje haya yawasibu wajane ambao kilio chao ni kanisa lao? Nilifikiri wajane ni wa kuwaangalia kwa jicho la huruma.,. Kumbe huyu Baba Askofu...
16 Reactions
50 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…