Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Asilimia 95 ya wanawake walioko kwenye ndoa na mahusiano hawafiki kilele wakati wa tendo la ndoa,lakini robo tatu ya asilimia hiyo hawajui kama mwanamke naye hufika kilele!Wakati huohuo asilimia...
1 Reactions
64 Replies
5K Views
Natumaini weekend ilikuwa nzuri kwa wengi wetu. Naomba tu-share uzoefu katika hili jamani kwani nafikiri inawezekana tunayaona haya mambo kwa ndugu,jamaa,rafiki au sisi wenyewe tunayafanya...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
I am not a writer, But I have written our love story. ♥ I am not a poet, But I wrote for you a poem. ♥ I am not a singer, But I sing a love song for you. &#9829...
1 Reactions
0 Replies
632 Views
...0762052850 email...sashkisula@gmail.com
0 Reactions
27 Replies
2K Views
my good friends the reason am asking this is i have witnessed that there are many Kenyans and tanzanians marrying each other nowadays. not that it did not exist but now its like the rate is so...
1 Reactions
53 Replies
7K Views
Kuna demu kaniambia kuwa shostito wake amemuulizia kama ana namba ya mganga wa kienyeki ili "akamshughulikie" jamaa yake aliyemtenda juzi. Sijui anataka kummaliza au kumlainisha. Siku hizi (may...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa miaka 26, mara nyingi nakuwa na urafiki na watu wazima wenye umri wa kuanzia miaka 35. Hata wao nawaona wana enjoy kuwa na mie kwa kubadilishana mawazo na masualaya kirafiki...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21. Nimekuwa na mvuto kwa wanawake wengi ila kati ya hao wanawake ninaowavutia ni wachache sana walionivutia tena kwa asilimia ndogo sana like 5% only. Na pia...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Jf naomba maoni kidogo. Eti demu wako anakuomba hela na hali yako iko vibaya ; lakini unajipigapiga unamtumia ka elfu 20. Eti ana sema mbona kidogo hivyo? Hata bila kushukuru. Is it fair?
1 Reactions
35 Replies
3K Views
yaani we acha tu........
2 Reactions
169 Replies
10K Views
Jaman mie naomba kufahamishwa kwamba ukiwa na miaka kuanZia 20 na uko chuo uwez kupata mchumba wa kukuliwaza?kama jb n ndio me natafta NO:0719474102
0 Reactions
6 Replies
889 Views
Kwamba wanaume wanahitaji kuagana na wake zao kwa tendo la ndoa ndani ya masaa sita baada ya mke kufariki! imekaaje hii? Mwanamke akihitaji haki hiyo itakuwaje?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Q: I recently went on a date with a young woman who said she doesn't date men her age because they "don't have a lot to offer." I took this as a very shallow and materialistic response. Because of...
1 Reactions
57 Replies
4K Views
Guys have you come across/or are you "The Girl Next Door"?. My personal definition of "The Girl Next Door"would be your typical evarage girl yet a rare one amongst the thousands.She is the girl...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani mi nlifiwa na girlfriend wangu mwaka jana mwezi wa 10 kwa ugonjwa wa moyo. Tangu amefariki sijisikii hata kuingia kwenye uhusiano tena manake naona kama namsaliti vle. Naombeni msaada...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wataalamu wamebaini kwamba, sikio la kushoto ndilo likilishwa kauli ya upendo hushika sana kauli hiyo na aliyeambiwa kauli hiyo huwa hawezi kuisahau kirahisi. Uwezekano wa jambo hili siyo suala la...
0 Reactions
21 Replies
14K Views
Lets take a bit of our time with a few tips on how to Love unconditionally Think of love as an action, not a feeling. A feeling is something we get from someone, and when we stop getting it, we...
0 Reactions
12 Replies
930 Views
Inafahamika kwamba mwanaume anamfikisha kilele ni mwanaume "anaefaa" kwa dunia yetu ya leo.Tatizo linakuja namna ya kumfikisha kilele mwanamke!Wataam wa masuala hayo wamejaribu kuainisha namna ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimegundua vijana wengi sana walio kwenye ndoa (wanaume) asilimia kubwa zimu zao zina pasword? Kama huamini mchunguze rafiki yako hapo ulipo! Tatizo ni nini hasa?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wanajukwaa wenzangu mm ni mwanafunzi ktk chuo kikuu kimoja hapa nchini tatizo langu ni kwamba nina soma chuo kimoja na mama MTU mzimza na ni mke wa mtu tatizo lake haishi kuja chumbani kwangu eti...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…