Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Jamani kuna malalamiko miongoni mwa wanaume waliooa wanawake wafanyakazi kuhusu mchango wa mishahara yao ktk matumizi ya familia. Nina marafiki wangu kadhaa (waliooa wake wafanyakazi) wote wanadai...
2 Reactions
74 Replies
6K Views
Jamani naomba msaada juu ya hili Kuna watu wanajiita wachungaji/manabii ambao maombi yao siku zote yanalenga kuondoa mapepo,kuondoa mikosi,kuhusisha kila tatizo la kiafya na shetani/mapepo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
I love you!I love you so much wanajamii!Have a good time
2 Reactions
37 Replies
38K Views
Wakuu niko chuo kikuu ninasoma na dada fulani ambaye nimekuwa nikimpenda sana!wiki iliyopita nikamwambia nina mazungumzo na yeye akaniambia yuko bizze kidogo na akawa ameniambia tukutane ijumaa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Ndugu zangu wapendwa,niko mbali na familia yangu kutokana na shughuli za kikazi,mke wangu yupo nyumbani pamoja na watoto wangu 2 ,shemeji zangu wa kike na wakiume,nilikuwa home kwa pasaka,so...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
habari zenu na poleni na majukumu ya kila siku ya kujenga na kubomoa taifa hili la mdanganyika. swali langu ni kama ifuatavyo:- kuna misiba mingi ambayo imetokea na hao wafu kwa namna moja au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Enzi za Mwalimu ilikuwa ukimtaka demu inakubidi uandike barua uchore na maua mazuri afu unampatia rafiki yake (baada ya kununulia fanta) ampelekee. Kuanzia hapo kazi ishakuwa rahisi, mkikutana...
0 Reactions
52 Replies
15K Views
Wataalamu wa saikolojia wanalielezea tatizo hili kama tatizo la kiakili. Mtu mwenye tatizo au ugonjwa huu huwa anashindwa kujizuia au kuzuia kishawishi kitokacho ndani mwake cha kuiba, tatizo hili...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Baada ya makuzi mema yanayopingana na mfumo dume sasa ni wakati wa kuuangalia upande wa pili wa shilingi. Kwanza kabisa tafsiri ya neno patriarchy ambalo wanaharakati wa jinsia wanadai ni mfumo...
3 Reactions
188 Replies
11K Views
za asubuh jaman, kunajambo nalo linautata etii my ex boyfrend niliamua kuachana nae coz halikua ananichukulia poa sasa baada ya miaka miwil kupita eti anakuja anasema ananihitaj niwe mpenz wake...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nasikia tetesi mitaa ya sinza,,kwamba marehemu alikuwa anakula mzigo bafuni ghafla ndo simu ya Lulu ikaita chumbani,,baada ya lulu kustop kwenda kuikimbilia simu yake,,marehemu the great naye...
1 Reactions
54 Replies
15K Views
Ndugu zangu hiv hii imekaaje Mpenzi/mke wako kuzimia kwenye msiba wa jamaa flan jirani!
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Dear JF members I thought I know women believe me now I'm back to squre one, I think I hardly no women to be honesty if you think you know them you must be telling lies to your self. I'm not...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Jamani wana JF,Japo mtasema ni umbea ila ndo hvo tena. Jana Jumatatu majira ya saa 9 alasiri,nimemshuhudia baba wa rafiki yangu kipenzi,ameshikwa kiuno na dume mwenzie wanaingia The A***UM...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Hivi karibuni nilimsindikiza mfanyakazi mwenzangu kwenye sherehe ya miaka 5 ya ndoa ya rafiki wa karibu wa mumewe sababu mumewe alisafiri hakweza kuhudhuria hivyo tukaenda wote.Sherehe ilikuwa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
She needs you to provide for her education, her upkeep, her family and her everything all in the name of LOVE. And should you marry her and then divorce her, she will take you to court and even...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Wapi baba yake the great jamani?
0 Reactions
31 Replies
6K Views
MAMBO VIPI WADAU!! Ndugu yenu nipo ktk michakato ya kutafuta Permanent GF,maana nimechoka kuchakachua na umri nao unasogea kwa kasi ya kimondo. Nimefanikiwa kupata Kibinti Kimoja toka Kaskazini...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nikuye naye namiye Yamtimani yakuye Niseme namsikiye Ya penzi lilozamiye Aa! nyonda, nyonda 'angu! Ya guso nitamaniye Baridi 'ako nsikiye Na busu unipatiye 'lo tamu nisimuliye Aa! nyonda, nyonda...
3 Reactions
14 Replies
6K Views
Sikuzote huwa najiaminisha kuwa Jambo au kitu chochote kimleteacho mtu furaha katika maisha ndicho kimleteacho pia uchungu! tujifunze katika mambo haya mawili: 1. Mtoto azaliwapo familia yote...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…