Ndugu zangu nimekoma. Juzi nilikula supu ya pweza, basi Bwana Mdogo wangu karibu achomoke kwenye makazi yake nikingali kufika nyumbani. Yaani mpaka alivunja kufuli, tena Solex original!
Sirudii...
Habari wana Jf,Ndugu zangu mim ni kijana wa miaka 23 nina kakayangu ameoa na ana watoto wawili,chakushangaza mke wake ananitaka kimapenzi,akisema kakayangu cku izi hana nguvu za kiume anazaidi ya...
Habari za Pasaka wandugu, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24. Nilitokea kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti mmoja tuliyesoma naye shule ya Msingi mwaka 2001, kwa bahati nzuri kwake...
Ilikuwa ni tar 01/03/12 siku niliyokutana nae rasmi hapo jf,nilifurahi sana na yeye vilevile kwan tuliona kama ni ndoto.
Malengo yetu yalikuwa ni kuoana na alisisitiza sana tusifanye mapenzi...
wana jf wenzangu naombeni ushauri nilimpenda kijana ambaye hakunipenda, alinipotezea muda wangu na kunifanya shuleni nisifanye vizuri. kwa kifupi alinitesa sana alikuwa akiongea na mpenzi wake...
In the 1950s, more women aspired to marry their bosses. Photograph: Lambert/Getty Images
Karrne ya 20 na kabla ya hapo njozi ya wanawake wengi ilikuwa kuolewa na mwanaumme mwenye kipato kikubwa...
Kuna Bidada nimehangaika naye kwa takribani mwaka mmoja sasa. Usishangae kwanini mwaka Mmoja ni kwa sababu imefika bei na mrembo wa haja.Juzi kati amenichanganya kidogo kwa maswali aliyokuwa...
Leo siku ya Pasaka na Ujumbe wangu ndo huo,Ukipendwa Nawe Pendeka,na Ukiitwa itika ili ucje ukaitika usipoitwa na kupenda usipo pendwa.
Mytake.kuweni waangalifu.
Hi! wana JF!
Hivi kuna uwezekano wa mwanaume na mwanamke kuwa ktk uhusiano wa kawaida kabisa kama marafiki tu bila kuwa wapenzi?
Kuna mkasa mmoja ambao naufahamu wa mwanaume na mwanamke ambao...
I would probably never get a single piercing on myself but I love them on women (both ears pierced)
It makes the women look hot.
Sipendi watoge pua au sehemu nyingine ya mwili
Wadada...
Nionavyo mimi mwanamke mwolewaji anasifa zifuatazo. (zingatia: mapenzi hayana formula only use this as a rough guide).
Huruhusu mapenzi yawe wazi.hivyo mara nyingi atakutambulisha kwa ngudu na...
Rafik yangu amekuwa akinisaidia mambo mengi sana, sasa ananipa mtihan anataka nimle tigo. Ckujua kama anatabia hiyo. Nina vitu vyake ving natumia. Sa nifanyeje?
Unakuta kijana kaanza kazi
Miezi michache tuanachukua mkopo wa gari hapo anaishi nyumba ya kupanga
20% ya mshahara nyumba ya kupanga maana hawezi kuishi uswahilini
50% marejesho yamkopo wa...
Muindi wa kwanza
Nilifanya kazi kwake miezi miwili tu.daah kweli mzee Yule alikuwa na visa
Nilikuwa receptionist,secretary,administration.accountant,kilakitu
Saa moja keshanifata nyumbani...
wakuu mimi nina girl frend wangu ambaye alikuwa virgin na mpka sahv nimefanya naye mapenzi mara 5.tatizo ni kwamba mara zote 5 amekuwa akitokwa na damu kwenye uke wakati wa lile tendo na mara...
Kifo cha Rais wa Malawi, Bwana Bingu wa Mutharika na Msanii wa filamu wa Tanzania Bawa Kanumba (The great) vinaonyesha jinsi gani Afrika tunavyokabiliwa na changamoto ya ukosefu wa Huduma za...
Jamani habari zenu?nianze na historia fupi,miezi 8 nyuma nilipata kuunga urafiki na binti m1 kwenye mtandao wa fb,maongezi yalikuwa yenye kusisimua pmj na matani ya hapa na pale,miezi 4 nyuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.