Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nimekaa bar naangalia show amekuja mwanamke na njemba wamekaa meza ya jirani wananuka harufu ya condom sijui jamaa limetafunia kwenye gari au pagale yaani hata show sifaidi nimeharibiwa utulivu.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
R.I.P Kanumba Ila umetuachia balaa, kama sio somo. Jana nimeenda kwa dogo lasi umri kama wa mtuhumiwa ila yeye ni (22), mzee akagoma. Nikajua ni uchovu wa kufuatilia mkutano wa CDM. Leo tena...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Nina mchumba wangu tunaishi sehemu tofauti tena mbali. Kuna tabia anaifanya sivutiwi nayo. Hii tabia ni ya kunibeep, kutuma tafadhali nipigie au naomba niongeze salio. Hii imekuwa ikijitokeza mara...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndg zangu wana jf. Mwenzenu nimefumaniwa na"pasaka" Yaani pasaka imenikuta nikiwa hovyo,sijui hata namna ya kutoka leo,mifuko yote imetoboka wakuu,tafadhari msaada. Situmii bia,mimi yangu soda...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
We all love to spend lot of money on buying new clothes, but never realize that the best times are enjoyed without clothes!!.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu habari za weekend,jamani nisaidieni nifanyeje ili mpenzi wangu aelewa uzuri na utamu wa mapenzi ya kidigitali maana amenichosha na penzi la analogia kila nikimwambia tujaribu basi digitali...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Hayati Dr. Betty Shabazz Malcolm Shabazz akipelekwa mahakamani Malcolm Shabazz alivyo sasa baada ya kutoka jela Malcolm Akiwa Hija Maka Wasomaji wa JF, nimelazimika kuweka makala hii leo...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Ndugu wanaJf, Nimekuwa najuliza kwa muda sasa kuhusu hii mikunjo ya usoni, wengine huita cheni au X, chanzo chake ni nini? Huwezi kuikuta kwa watoto wadongo, ila kwa vijana na watu wa umri zaidi...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Life is sweet as nothing to compare. Life is precious as nothing to compare. Life is delicate as nothing to compare. Life is sophisticated, life is complicated, and life is irreplaceable! Wish...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jaman nawatakia Easter njema na tukumbuke kutubu dhambi zetu.
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Nimekuwa na mpenzi wangu wa mwaka mmoja,siku za hivi karibuni alianza kupuuza simu zangu na nilipochimbua zaidi na kuweza kumuhoji aliniambia ananipenda ila Dini ndio tatizo.mimi ni muislamu naye...
1 Reactions
94 Replies
7K Views
East African Online Law Library learn various laws in the east african online law library
1 Reactions
0 Replies
676 Views
Wana jf,naombeni ushauri nina miaka mitatu katika mapenzi na huyu binti lakini hapo jana kuna njemba imenipigia simu na kusema kuwa imekuta meseji kwenye simu ya mpenzi wake ambaye ndiye mpenzi...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Ukweli ni jambo muhimu ambalo litanusuru mambo mengi, kwa siku kadhaa nimekuwa nikimfuatilia dada fulani ambaye kanihakikishia kuwa yuko free, si hivyo tu pia kanihakikishia kuwa yuko tayari kuwa...
2 Reactions
59 Replies
4K Views
We all love to spend lot of money on buying new clothes, but never realize that the best times era enjoyed without clothes!!!.
0 Reactions
1 Replies
687 Views
Assalamu Alaikum Admins, Moderators na members wote wa Jamiiforums Kwa masikitiko makubwa nawataarifu msiba wa baba yangu aliyefarik leo mchana msiba upo tanga makorola mi nipo iringa...
0 Reactions
66 Replies
4K Views
Nimekuwa najiuliza hili swali pia nimefanya jitihada za kusoma vitabu,tafiti,makala na baadhi ya movie. Kumekuwepo na harakati za kueneza ujumbe wa Haki na Usawa katika mahusiano. Kimtazamo wangu...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jameni kama ilivyo ada sikukuu zimeanza na watu wanaachika,wapenzi kunuiana,ndoa zinakua ndoano ati kisa sikukuu,kama kulikua na mtu anamtaka mdada anampata sikukuu,wadada nawauliza je ndio mara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
If you are SINGLE and keep on saying "I DON'T TRUST MEN/WOMEN!" remember... your mates are getting married every Saturday. Let me ask you, are they marrying spirits? Wise up! If you are MARRIED...
18 Reactions
94 Replies
5K Views
Back
Top Bottom