Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kama umeowa wa kuolewa lakini unae mtu wako wa pembeni (undercover lover) kwa mapenzi ya ziada ambaye hutaki mkeo au mume ajuwe (aelewe) hakikisha sabuni unayotumia nyumbani wakati wa kukoga vile...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Imekaje hii, umenyeng'anywa mpenzi wako na rafiki yako then unamwomba ahadi kumpenda kwa sababu wewe unampenda sana. Ni moyo wa kawaida kweli huu?
0 Reactions
2 Replies
767 Views
Katika utafiti wangu nimegundua kuwa kuna maneno ambayo asilimia kubwa ya Wanawake wanapendelea sana kuwaambia Wanaume. Nitataja Baadhi…. 1 Kwa kuwa umepata ulichokuwa...
0 Reactions
116 Replies
11K Views
wanajf babu yangu jirani yeye na mkewe walikua na watoto14.Tangu nakua miaka ya1992 Babu na bibi hawalali kitanda kimoja,sijawahi sikia wamegombana ila najiuliza hadi leo japo babu kafariki,na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
habari wana jf..me ni kijana wa kiume ni miezi 3 sasa imepita toka nianze mahusiano na huyu binti.kwa ufupi ilikua hivi\nilikua bukoba miezi 3 iliyopita ambako nilienda kufanya field katika kituo...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hi I'm Megaman. * "Hi Megaman!" JF members shout back in unison and Mwali, a dashing damsel, blows me a kiss* a lurker. I've thought about my life here and I have decided I want to quit this...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Heshima kwenu, nina mke ambye 2lifunga ndoa agosti 2010, tukiwa ktk tendo la ndoa mwnzangu haisi hamu ya tendo kabsa, na kuhisi maumivu. ila yeye anadai zamani alikuwa akitokewa na jini mahaba ktk...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
kuna kijana ana mpenzi, wamekuwa pamoja kwa muda wa miaka 2 katika uhusiano usio rasmi kwa maana kuwa hakuna aliyejitambulisha nyumbani kwa mwenzie, kijana alipo pata kazi akaona umefika wakati...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kiukweli mimi naogopa sana watu mida ya tea nasubiria mida ambayo hamna watu wengi mahali ambapo huwa napata tea lunch ivoivo naweza kukaa hadi saa tisa sijala ili tu wayu wapungue kabisa maana...
1 Reactions
136 Replies
8K Views
Steve Harvey Straight Talk No Chaser | Dating Advice For Men And Women - YouTube
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habarini za maisha kwa ujumla. Hivi karibuni nilipokea ujumbe kutoka kwa mtu fulani akihitaji tuwe marafiki kupitia facebook, sikusita kumkubalia kwani ndivyo urafiki unavyoenea. Siku zikaendelea...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tathimini inaonyesha kuwa wanawake wengi wanaoolewa katika miaka hii wanashindwa katiba kuwatosheleza wenzi wao na wengi hujikuta wakiachika au kukosa mapenzi ya dhati kutokana na kujibweteka...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Message deleted.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wenzangu nimekuwa nikibrowse Forum ya Mahusiano huku nikiangalia ITV ikionyesha Taarab. Kwa bahati mbaya nimekuwa nikikwazika na waimbaji wengi wa kiume kwa kipindi kirefu lakini leo kwa vile niko...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Salam Wana JF Kuna rafiki yangu wa karibu ambaye tumeshibana sana, toka ameoa sasa ni mwezi wa 5 , Jana nilikuwa naye akanieleza matatizo anayoyapata toka kwa mkewe. Aliniambia kuwa anajitahdi...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Samahanin wakuu,jana usiku kwenye mida ya saa 2 nilikua nimejibanza kwenye ukuta wa moja ya block maarufu hapa mabibo hostel ambapo watu huwa wanapenda kwenda kukaa na kupga story mbili tatu,mara...
0 Reactions
25 Replies
13K Views
Wakina dada wa jf tu kwa umakin naomba mseme wenyewe huwa mnabeba nini kwnye mipochi yenu manake, juzi namwona dada mmoja had kapinda mabega kisa beg la kila sku. Tusaidien jama.....
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Jamani nimechanganyikiwa naombeni ushauri, hivi navyopost hii thread siko sawa na demu wangu hatuongei wiki ya pili hakuliki hakulaliki nilimfuma na jamaa sehemu isyo rasmi kuanzia hapo hakuna...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wazazi wanaoishi Unguja wana mtoto alioko London walimtafutia mchumba mwana wao na wakaamua kumuagiza ndugu yake amuolee mchumba huyo kisheria hapo hapo unguja, bwana harusi wa london akaja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu. Nina Girlfriend ambae yupo mbali na mimi kiasi kwamba tunaweza kukaa almost 6 months hatujaonana ila tatizo nililonalo ni kwamba nina wivu kupita kiasi. Nimegombana nae mara nyingi sana...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…