wakuu!ile siku ya wapendanao iliyojaa mizengwe ya udanganyifu na utapeli wa kimapenzi hususani kwa walio na wapenzi wengi ndio hiyo inakuja!hebu mwaga stori yako uliyowahi kumpiga au kupigwa...
Habari zenu bandugu.
Hiki ni kisa cha kweli kabisa ambacho nimekishuhudia na ninaendelea kukishuhudia:
Ninaye jamaa yangu mmoja hivi, yeye amemuoa binamu yake yaani mtoto wa shangazi yake kabisa...
Wadau naomba nijulishwe kama siku sina pesa Bibie akanionea huruma akanipa pocket Money,Na mimi nikaenda kupiga msele nikaanza kuitumia na akaja Totoz nikamtwanga kilaji na kwenda kubanjuka naye...
Kwa wanawake wetu tz wenye kufatilia maswala ya fashion kwenye uvaaji wa lingerie watakuwa wamepata hii habari kuwa kule ufaransa wanawake wenzao wanakwepa uvaaji wa G-strings na hata madukani...
Wadau,
Tanzania ya leo ni tofauti kabisa na Tanzania ya miaka ya nyuma, hasa kwa Dar-es-salaam. Mwanamke kulala na mwanaume imekuwa ni kitu cha kawaida sana, sio kama zamani. Zamani mwanamke...
KWA KUWA NI SIKU YA UPENDO BASI ONESHA UPENDO WAKO KWA KUMTUMIA SMS NZURIIIIII!!
LINK HII HAPA CHINI INA SMS NYINGI NZURI KWA AJILI YA VALENTINE HII! CHAGUA MOJA NA UMUELEZEE HISIA ZAKO KWA SMS...
Who never find place in snobbish minds too busy to notice them
While they are playing with their intellectual marbles
Of concepts polished and syllogisms winding endlessly to no end deductions...
wana JF si vibaya kuwajuza kwamba mawasiliano ya simu yatakuwa mabaya sana jioni ya Valentine's Day (au REVELATION DAY)
Hii itatokana na simu kuishiwa chaji, na matatizo ya mitandao kama...
Mahari ni Dola milioni ishirini na sita $ 26,000,000
Bwana harusi na bibi harusi wanameremeta!
Kila mtu na mtindo wake wa maisha, hilo limedhihirishwa na tukio la ndoa ya aina yake kwa nchi...
Afisa mtendaji wa kijiji cha ufana,tarafa ya sepuka ktk halmashauri ya wilaya ya singida,aliyetambulika kwa jina la maulidi komba amepandishwa kizimbani katika mahakama ya mwanzo ipembe,mjini...
kweli nimeshndwa narudia tena nimeshndwa, mimi ni kijana wa 25-30 umri wa kuoa au kuwa na msimamo na mchumba uliye na malengo nae, mwaka 2007 nilimtongoza mdada mmoja wa maeneo ya kwe2 akakubali...
Jamani hii kitu ya ukweli; nimefuatilia nikaona ni watu wengi wanajiunga; na kwa sababu haicost
nimeona niwashirikishe wana JF mjiunge ili ifikapo hapo april tuanze kuvuna pamoja.
Nimeunganisha...
Happy new year wapendwa. Its my first thread for this year after a long dissappearance. Hata hivyo nawamiss wote hapa JF na this time nimekuja kivingine............
So Valentine day is...
:gossip: The ASIAN :gossip:
Has one Wife
Has one girlfriend
But he loves his wife the most.
The AMERICAN
Has one wife
Has one girlfriend
But he loves his girlfriend the most.
THE...
Sio lengo langu kuwafundisha wanawake namna yakuachana na wapenzi au waume zao. Lakini hebu fikiria kwamba kila wakati wanandoa au wapenzi wako kwenye vita. Hakuna amani, hakuna masikilizano...
Ladies and Gentle men, imani yangu ni kua woote wazima wa afya . Na tutashirikiana katika mada hii nyingine tena ikilenga chakula na umuhimu wake katika mahusiano.
UMUHIMU WA CHAKULA KATIKA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.