Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Jamani my love aliondoka bila kuniaga akarudi na kunieleza sababu za kuto aga na kuapolojaiz na kunieleza taka nyingi but nikamuelewa, mapenzi yakawa moto mara 3 nikasafiri na yeye akasafiri...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni demu wa mshikaji, mbaya zaidi anatembea na jamaa mwingine and kamtambulisha huyo jamaa mwingine kwa mpenz wake, and hao wanaume wamekuwa marafiki bila kujijua wanatembea na demu mmoja, sasa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakubwa wenzangu wa jukwaa hili,,,natumai tu wazima wote wa afya njema.. nakuja katika jukwaa hili nikitumaini kupata msaada na ushauri kutoka kwenu mana najua kuna watu wengi humu na...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Jamani uplayer mmbaya. Nishaplay sana na i had no pain to any woman hata anifanyeje. But sasa kuna mdada huyo duh! Tukikwaza tu kidogo ka moyo kananiuma. Yaani nampenda mwanzo mwisho ile sijawah...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa wale ndugu zangu mnaopenda kutembelea mitandao tofauti kuna huu mtandao unaitwa marafiki.com ambao host wake yupo senegal ila asilimia 100 unatumiwa na watanzania ambapo katika mtandaoo huu...
2 Reactions
38 Replies
14K Views
Habari zenu wana JF Siku zote jambo hili limekuwa likinipa maswali mengi, pale niwaonapo dada zangu unakuta amechanjwa chale nyingi mwilini hasahasa wengi nakutana nao kwenye daladala, nimekuwa...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Kwa mnaokumbuka kile kisa cha mwanamke alotaka kumuua mumewe kwa kumuwekea sumu ktk chakula leoo familia imeyamaliza ktk kikao kilichomalizika robo saa iliyopita. Kifupi ilikubaliwa na mwanamke...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
niaje wakuu,kuna kitu nimekumbukaaa ningependa to share ideas,do u remember you first kiss....achana na lilee la kwanza kabisaa kwa mamaa alie kuzaa,la kimahaba zaidi,mi nakumbukaa my first kiss...
0 Reactions
77 Replies
5K Views
Jamani salama, Kwasisi ambao tumeoa/kuolewa sometimes zile vurugu match za nyumbani kweli unahitaji mbadala ili kidogooooooooooo kushusha ka pressure kako. JE kwa wanaume mbadala ni kutafuta...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Florence Majani UTAFTI mpya umebaini kuwa nusu ya wanaume nchini ni wagumba ukipingana madai ya wengi kuwa tatizo hilo linawaathiri zaidi wanawake.Kwa mujibu wa utafiti huo, uliofanywa na Chuo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Sometime inakua ngumu sana kumwambia mtu afanye nini ili apendeze Haswa pale anapokua kajiremba na kwa mtazamo wake yuko "smart" japokua kwa mtazamo wa wengi sio. Hivi unaweza vipi kujiweka smart...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
asalaam wanajamvi. Jamani nilianza mahusiano mwezi wa tisa na mkaka mmoja ambae tulifahamiana toka 2008, alionekana ni mkaka mpole na anaejali mpk nikaamua kujitosa kwake kama mpenzi wangu. B4...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
naishukuru sana jf na zaidi zaidi jukwaa hili. Nashukuru sababu jf imenisidia kupata mke na tunatarajia kupata tunda letu la ndoa hivi kalibuni. Sasa kwa kutoa shukrani na kumbukumbu ya kumpa jina...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Inafahamika kuwa linapokuja suala la uimara na ubovu wa ndoa,kufu au kudumu kwa ndoa wanawake mara nyingi ndo wanakua na nguvu sana,sisi wanaume hapa hatuna ubavu.Hivyo basi mwanamke akiwa...
2 Reactions
75 Replies
6K Views
Dear Miss Judith, Nimesukumwa na upendo mwingi wa dhati uliojaa furaha kukuandikia waraka huu mfupi kukupongeza na kukutakia heri ktk maisha yako mapya ya ndoa unayokaribia kuyaanza hivi...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
tafakari ijumaaa kareeem wana jf
0 Reactions
21 Replies
2K Views
i couldn't forget my first love that i didn't seen for 9 years since i was child and i can't fall in love again if there is any psycologiste help me
0 Reactions
11 Replies
1K Views
male and female. Age 36-45. Just for company na kubadilishana mawazo. Pm is allowable
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Ninapoona jinsi wakina dada zetu walivyogundua jinsi ya kutuondoa stress za ugumu wa uchumi kwa kuyabana na kuachia nje machakula yaa watoto. duh mwenzenu huwa napenda sana na nikikutana na mdada...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom