Nawatakia usiku mwema ninyi wooooote mlio wah kutendwa katika mahusiano, laleni tu mkiwaza mambo yenu maana hao walowatenda saiv wanavuta shuka tu wala hawawazi ninyi. Usiku mwema to all JF...
Habari zenu wakubwa.
Kuna jamaa yangu amekuwa akiishi na binti mwanafunzi wa kidato cha kwanza tangu mwaka jana agost
sasa baada ya wazazi wake kugundua kuwa hajatulia,wakamwambia kuwa hawana...
Ndugu wana jf,kuna rafiki yangu ni mwanaume ana mchumba wake na ameisha mtambulisha kwao na wazazi wa pande zote wanajua uchumba wao,jamaa na mchumba wake wote ni walokole na wamekubaliana wasi do...
Habari ya weekend?
Ni matumaini yangu mmekuwa na wakati mzuri.
Nimetokea kumpenda sana kijana mmoja lakini ninaona vigumu kumwambia. Yeye anazidi kunipa wakati mgumu pale ambapo yeye haoneshi...
Kuna Binti mmoja kutokana na uzuri wake ililazimika abaki kwenye kumbu kumbu zangu
tangu mara ya kwanza tukutane Dukani Jirani na Maskani yangu. Baada ya nazani nilifanikiwa
kumuona mara ya pili...
Wapendwa,
Ebu soma kiunganishi hapo jini mjionee huma rights abuse in Africa (mimi nasema hivyo-sijui wewe unasemaje)
Kerry Kennedy: Ugandan Parliament Acts to Legalize Hate Against the LGBTI...
Wana MMU, naanzisha hii thread with tears almost dropping off my eyes. Its all about my first love, its long since we talked to each other, our relationship wasn't possible 4 years ago because of...
Kwa nini mtu mnakuwa pamoja kila siku, mnazungumza mambo mengi tu, lakini anapotaka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi anakuandikia kadi au sms. Kwa nini watu wanashindwa kuongea live!?
Jinsi ya Ku-Cheat Bila Kushikwa
Tahadhari:
Haishauriwi Kucheat kwa kuwa kuna madhara makubwa na ni dhambi kubwa. Hata hivyo information hizi ni zile ambazo zinatumiwa na Professional Cheaters...
Wakuu,kuna shori flani nlimit nae pande za feisibuku,sa katka zle chattngs za mara kwa mara,nkajikuta nimemlamba sound nae bila kuzuga nin akawa dezain flan ka kaingia line,wel kaniambia jana...
Jana katika maeneo ya mivinjeni,mwendesha pikipiki mmoja ameibiwa pikipiki na demu!!picha yenyewe ilikuwa hivi. Huyo demu alishakuwa na mazoea na huyo dreva wa bodaboda yapata wiki 2 hivi.
Na...
Aisee sisi wanaume kwa kweli ni kwele, kama hili limemfukuzia demu zaidi ya miezi miwili, limehonga weee mpaka simu ya bei mbaya limenunua. Leo limenyimwa mambo lipo ooooh kwanza demu mwenyewe...
Natanguliza shukrani zangu kwa mwenyezi mungu kwa kila jambo alilolitenda kwangu.lakini nitakuwa mkosefu wa fadhila kama sitowashukuru kaka na dada zangu wa hapa jf kwa ushauri walioutoa nilipotoa...
TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO
Hii nI huduma ya kipekee, itapatikana kipindi hiki cha valentine, wale wote mtakaokuwa busy kwa shopping, kazi na mengineyo mnaweza kuwaacha wanaume/wachumba/ boyfriend...
Ilikuwa mwezi uliopita nikitoka tabora na ndege inayo pita dar kwanza kisha mwanza ndo inakuja dar ,mwanza inakaa 3 hrs yakufaulishiwa,ghafula nikakutana na demu ambaye kuna rafiki yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.