Katika mahusiano zile nafasi watu wanazokua nazo (mchumba,mpenzi,mke,mume) hua zina kutambulika ama kutotambulika, kukubalika ama kutokubalika, kupendwa ama kutokupendwa n.k Hayo ndio hua...
Wakuu, heshima mbele,
Najuta sana kumtafuta partner humu JF yani pamejaa usanii hapa usipokuwa mjanja kama mimi unalizwa hivi hivi unajiona.
Kipindi kile nilikuja na swala la kutafuta mchumba...
Najua mwezi uliopita ulikua ni mwezi wa majukumu_kwa maana hiyo mifuko kidogo imepwaya,...ila si vibaya tukitakiana week end safi.
Week_end njema wakuu.
Wakati huu wa sikukuu ya wapendanao mambo mengi hutokea. Mapenzi mapya huzaliwa, wapenzi wa zamani hugombana ma wengine husameheana. Kwa siku kumi na tano TAYOA itakuwa ikikupa namna nzuri na...
I want to delete this man permanently in my heart and my life. Nipeni ushauri, nifanyeje? Nikutanapo na ndugu, jamaa na rafiki zake ambao tulizoeana nao sana, nashindwa kumsahau na ninatonesha...
Kumbe ukiondoa style ya mzungu wa tatu, kuna mitindo mingine nayo ina maana nyingi katika mahusiano. Hebu jionee mwenyewe pamoja na maelezo yake ktk link hii: What your sleeping position says...
watu wengi wamekalili kukiss ndio moja wapo ya kukuamasisha kufanya mapenzi,lakini si kweli unaweza ukakaa na mpz wako mkakiss bila kufanya mapenzi.lakini kwa baadhi ya wabongo hawawezi.
Ni wiki ya tatu sasa tangu aende kwao kuwaona wazazi wake hajarudi, na nikimpigia simu ananipiga saundi. Mimi uzalendo utanishinda nitamfuate huko huko maana hawa wanaonitega na Skin Jinzi...
Wana JF,
Kuna jamaa yangu mmoja anaomba ushauri wa kiafya na kisaikolojia.
Yeye ni mwanafunzi wa Masters, na analalamika kwamba mwalimu wake anamsumbua sana.
Siku za hivi karibuni anadai amekuwa...
Mkuu wa kituo cha Polisi Kiteto, amempatia kipigo mwanaume hadi kumvunja mkono mwanaume huyo. Kituoko hicho kilitokea wakati mke alipoenda kumuona mkuu wa kituo, eti kushtaki mumewe hataki kumpa...
UTAFTI mpya umebaini kuwa nusu ya wanaume nchini ni wagumba ukipingana madai ya wengi kuwa tatizo hilo linawaathiri zaidi wanawake.
Kwa mujibu wa utafiti huo, uliofanywa na Chuo Kikuu cha Tiba...
Ni ni Binti ambaye niko naye muda kiasi,lakini toka jana simuelewielewi! Kapotea bila kunipigia wala kunibeep kutwa nzima! kwa madai anaenda ktk sendoff! Cha ajabu kaja kufunguka saa moja na nusu...
Mtu kujiua kwa ajili ya mapenzi sio jambo geni masikioni mwetu! Nimeamua kutuma huu uzi baada ya best friend wangu kujiua kisa gf wake amemsaliti!
Je kujiua kwa ajili ya kusalitiwa ktk mapenzi ni...
Wana JF, heshima mbele.
Nina rafiki yangu wa karibu mno kiasi cha kuitana ndugu. Alifunga ndoa mwaka jana october. Mwisho wa mwezi December mkewe akapata ujauzito. Kazini kwake ni Mikoani lakini...
Hivi kuna ambao wanafanikiwa kuwa best friends au just friends
huku ni jinsia tofauti bila kutokea matatizo ya
wivu,mapenzi,sex na kadhalika?????
kwa upande wangu naona ni ngumu saana
siku zote...
Hi Alter,
I am sorry that you are not feeling well... I pray that you recover promptly.
Nimefurahi kujua unahudumiwa na madaktari despite mgomo (You are AshaDii! au vipi?)
I miss you jamvini na...
si kila msichana unayekutana naye kimwili kwa mara ya kwanza ukakuta hana bikra ukadhani alikuwa kicheche. kuna tofauti wa maumbile.
1. kuna wale wenye kiwambo (ngozi ya uke) chembamba chenye...
Jamaninaomba kujuzwa, kuna tofauti gani ya kimaisha na kimaadili kati ya mke ambaeunamuoa wakati umeshafanya nae mapenzi ama alikua mpenzi wako kwa miaka kadhaahuko nyuma na mwanamke ambaye...