katika jamii nyingi msichana anapokutwa na bikira hueshimiwa sana pia kwa upande mwingine niulize swali kama ukimkuta msichana na bikira na ukaiondoa yaani ukamubikiri kabla ya ndoa anaweza...
Tupo msibani! Kijana kafiwa na baba yake. Katikati ya maombolezo anafika binti mmoja hivi mtanashati ingawa tumbo kubwa lakini huachi kuona uzuri wake, anajiunga upande wa wamama asalimiana...
jamani maadili ya ndoa yameenda wapi kiapo cha kuishi pamoja kwa shida na raha mbona vyawashinda wanandoa. Tatizo nini hasa? Ndoa zavunjika kila kukicha kwanini?
Zamani saana nilikuwa natazama sana filam za kihindi.....
filam hizi zilikuwa na mambo meengi mno yanayofanana na maisha yetu ya kitanzania
na mafunzo tele....
sasa kuna filam moja naikumbuka...
Mimi najiulizaga hivi mwanamke asipofanyiwa sherehe kitchen party hawezi kuwa mke mwema kwa mmewe. Maana siku hizi kwenye kitchen party kuna misemo kama vile ''sufuria haikai kwenye figa moja'' au...
Unapoingia kwenye mahusiano "BEING INLOVE" pekee haitoshi kufanya mahusiano yaendelee kuwepo huku wote mkiyafurahia. Kuna vitu ambavyo ni muhimu viwepo ili mtu asiboreke na wewe, asikuchoke...
Hiki kituko kimetokea juzi Kiteto.
Eti walimkamata mwenzao wakataka kwenda nae porini kumuadhibu, kisa kawatahiri watoto wake hospitali kwa kutumia ganzi, badala ya ile mila yao-ambayo ni kama...
Mamboz wanajamvi... Huu uzi nimeupata kwenye forum moja hivi nikaona ni bora tushee wote ili tuone imekaaje. Kuna walicomment kwamba kuwa na mtoto kabla ndoa ni u.m.a.l.a.y.a. Samahani kwa...
Wapendwa...yani nashindwa hata nielezeje. Ni furaha na faraja iliyoje mliyonipatia leo. Yani nimefurahi na kufarijika saaanaa tena saaanaa...... Mungu awabariki na kuwalipa mbadala.
ushawahi kupigwa na mkeo/gf wako? How did you react? Ulilipiza?uliuchuna? Ulimfungulia RB?uliita kikao cha wazazi? Ulifanya nini?
Ninalogoff maana leo nimetendwa and i just can't take it na...
Kuoa na kuacha au kuolewa na kuachwa ni mambo yasiyoweza kwenda kimya ndani ya nyumba. Mme anapoacha na kuoa tena, na mke anapoachwa au kuolewa tena, mara nyingi huwa na maneno au kauli...
Kuna watu wengi wamekosa amani kutokana na kusubiri kuombewa ama kusaidiwa katika mbali mbali
kuna wakati akuna kitu kizuri kama kujua adui wako anakupiga silaha hii na mie lazima nitumie silahaa...
Wadau nimeongea na baadhi ya wanandoa na kwa kiwango kikubwa wanawake wamekuwa wakiwatupia lawama wanaume kwamba si wavumilivu na waelewa inapokuja suala la KUJAMIANA,wanaume wakihitaji ngono...
Kudeka ni tabia ya mtu kutaka kupata kila anachokitaka kwa wakati anaotaka, kufanyiwa kila kitu bila kujishughulisha sana, kubembelezwa kila wakati na kutoambiwa kwamba amekosea. Mtu anayedeka pia...
Wanajamvi naomba kuelimishwa/fahamishwa juu ya hili.
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 26.Nimekaa zaidi ya 8 yrs bila kufanya mapenzi.Lakin kwa sasa ninampango wa kutafuta msicha wa kuoa.Mim...
Nimegundua kuwa "magwiji" wa mmu wana id zaidi ya moja...wengine mbili, tatu, nne hata tano na kuendelea.
Na kila moja ina matumizi yake.
Kuna ile ya "ugwiji" hii wanaitumia pale wanapoona wana...
Hali zenyu bhana! Hope hamjambo wanajamii wenzangu. mimi ni ke nina b/f wangu yupo mkoani. To be honestly ninampenda jamani. Tatizo ni kwamba yeye haoneshi kama ananipenda. Naweza m-call hata cku...
Inanisumbua kichwa wadau ;ni kipindi cha zaidi ya miezi tisa nimefahamiana na dada mmoja. Tulikutana arusha nilikenda kumtembelea mama yangu mdogo maeneo ya njiro karibu na chuo.kilicho pelekea...
Habar wapenz, jaman nina mpenzi tena tuna miaka 4,ambaye kwa wazaz wangu anafahamika na kwe2 pia anafahamika, umezuka ugomvi bila sababu eti anataka password za email yangu kwa nguvu kwa lazima...