Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nimefanya utafiti kuhusu wanawake wengi kwende inje ya mahusiano/ ku cheat waume zao ni kagundua kwamba sababu kubwa ni kukosa sexual satisfaction ingawaje hua hawasemi, lakini hilo ni tatizo...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
wana jf kuna kitu nakikosa kwenye huu ulimwengu wa mapenzi kutoka kwa wanawake anything i do for her but i mc the real love nimejivua gamba sasa nimeamua kuwa alone for a while
0 Reactions
28 Replies
2K Views
habarini,nampenda sana ila ananitenda sana na kumwacha nashindwa nifanyaje, ushauri tafadhali!
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Jamani mimi mwenzenu nimeamnua kuachana kabisa na mambo ya nyumba ndogo kwani sioni faida yake dhidi ya hasara. hapa chini ni sababu zilizopelekea mimi kuchukua maamuzi haya magumu. 1. Gharama -...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Ninaye gf wangu ambaye nmekuwa nae kwa takribani miezi 8 sasa, sasa shida ni kwamba yeye huwa mara nying hapendi kunipigia cm had mim nifanye hvyo sasa ikafka kipind ukipanga kuonana anatoa excuse...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
im really curious, kwanini wanaume huwachoka wake zao na kutafuta kazi za nje? kama wanawake tunaweza kuwa waaminifu kwanini nyie mshindwe? mtu anakuzalisha alafu ukisha haribika mwili, anatafute...
6 Reactions
67 Replies
10K Views
Nashindwa kuelewa kila msichana ninae do nae, cku tukiweka zana pembeni tu lazima anase mimba na hii haijalishi yupo kwenye danger au safe period. Mpaka sasa huyu msichana wa nane na wote inatokea...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Katika harakati za maisha vijana 2naanzia sehem mbalimbali,mwaka 2006 ktk kuanza maisha ya kkaz nlijkuta nmepangwa mkoani Tabora ktk wilaya flan,hko nliish kma bachela,cku zlvozdi kwnd nlpata...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Je unafikiri ni wakati gani mzuri wa mapenzi Ukiwa kijana ,kwenye ndoa au uzeeni(Ndoa au bila ndoa) ? :A S 465: Sababu na maelezo kama unayo !!
1 Reactions
10 Replies
2K Views
any one can say something about the topic
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisikia watu wanalalamika kuhusu suala la kupungukiwa na nguvu za kiume na suala hili limekuwa ni chanzo cha migogoro mingi ya mahusiano kati ya jinsia mbili kuu yaani ke na me. Waganga...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Friends, nina GF tuna muda mrefu katika mahusiano. Mwanzon alikuwa anapenda sana charting na midnight calls nyingii.. Ila baadae akabadilika katika matumiz ya cmu, kuchat kukapungua, kupigiana...
0 Reactions
75 Replies
4K Views
Hiki kiti kinaniudhi na bahati mbaya zaidi naamini kila mwanamke anacho..... ni huu ugonjwa wa kununa na kususa kwa jambo doogo..... mtu unaweza kununiwa hata mwezi mzima,mpaka ukahisi labda...
15 Reactions
296 Replies
27K Views
On board the world's biggest cruise liner that missing Briton fell from during gay and lesbian party voyage The Mexican navy and coastguard are still searching for the unnamed man, who is aged...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
jaman i nid som 1 2 b ma valentine...serious!!!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
"You can tell me anything." That's what a woman will tell you. By ‘anything', she means you can tell her what you really think of the atrocious new hairstyle that she is super excited about...
8 Reactions
56 Replies
3K Views
Jamani kwa nini usaliti umezidi katika mahusiano iwe kwa wapenzi au wanandoa kote ni the same ?
0 Reactions
3 Replies
884 Views
Hki ni kisa cha kweli kilichotokea Dar es Salaam kwenye miaka ya tisini na.... Na kilishawahi kuandikwa mahali na pengine baadhi ya wanaMMU wanakifahamu. Haya tuanze. Huyu rafiki yangu, naomba...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Nataka kujua juu ya mahusiano baina ya b na bwana.watu wawili wa jinsia mbili wanapokua ktkt mahusiano ni kweli mara nyingi mwanamke ndie anaekua mkweli katika love?naimanisha mwanamke ndie anae...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
FEBRUARI ni mwezi wa mahaba kama inavyojulikana kwa wengi. Ni kipindi cha kuonyesha upendo hasa kwa adui zetu, pia ni wakati wa suluhu na amani kuanzia kwenye familia hadi jamii. Zipo simulizi...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…