Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Naombeni ushauri wenu..alikuwa b.friend wangu kwa miaka 2 iliyopita kutokana na kale katabia nilikowaelezeni,siku za nyuma nikamwambia kama anataka kuoa atafute mke me bado nipo nipo..muda si...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
juzi Nilikwenda kenya kutembea nikaalikwa chakula chajion ikulu kuna msichana kanipenda na mimi sijampenda coz hana mvuto
0 Reactions
33 Replies
4K Views
..kicheche.. ..mcharuko yule.. ..mwizi tu yule.. etc Tofauti sana na kwetu.. Nahisi kama Wanaume twaheshimiana..
0 Reactions
27 Replies
3K Views
watanzania tumekuwa kama wanyama leo kafumaniwa mke wa mtu anapigwa miti kwenya gari
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Mambo mawili na makubwa hapa duniani kwetu wanadamu na yanakungoja kwa busara zako ili uchague. Kuna MAOVU na MEMA hayo yote ni kwa ajili yako ila kumbuka WEMA hauozi na UBAYA haulipi kwa hiyo...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
what should I do mke wafisadi mzuri ana figure nzuri na anajua kukata kiuno
1 Reactions
69 Replies
4K Views
Kama ilivyo matumizi ya simu yalivyo badili mahusiano sasa kuna hili la matumizi ya kutumiana pesa kwa njia ya simu m-pesa,tigo-pesa..airtel money,z pesa na kadhalika....... je unafikiri...
4 Reactions
108 Replies
7K Views
Msifanye mambo kwa pupa mjiepeshe na tamaa za dunia, fanyeni mambo kwa mipango sio mbio mbio, kama uwezo wako ni mdogo kwanini watamani mambo makubwa ambayo yako nje kabisa ya uwezo wako, Maovu...
3 Reactions
28 Replies
8K Views
Ivi huwa mnapenda wanaume wenye sauti zipi?swali la nyongez,eti ni kweli huwa hampendi wakaka ambao hawana sauti yenye besi?
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Huduma za saluni (wanaume na wanawake) zimekua sana Tanzania. Ila kwa kweli zinaweza zikakuharibia pendo usipokuwa makini. Tazama 1. Huyu dada kaenda kutengeneza nywele, jilulize atakuwa...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
utafiti uliofanywa unathibitisha kwamba asilimia 70 ya akina baba wengi wanalea watoto ambao sio wa kwao. kwasababu wenye uhakika wa watoto hao ni mama zao tu. sasa kama hali ndio hii nashauri...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
*Proof That The World Is Nuts! In Lebanon, men are legally allowed to have sex with animals, but the animals must be female. Having sexual relations with a male animal is punishable by death...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Nasoma mara nyingi kwenye hill jukwaa la MMU namna watu wanavyolizwa na mapenzi.Karibia kila siku kuna kuna misiba ya mapenzi: 'Ameniacha wakati nampenda'.... ‘Kaniahidi kunioa lakini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari za masiku, Juzi nilipokuwa nasinzia sinzia , hafla nikasikia njemba 2 zikimtumia email Dj wa show kwenye station ya radio kumuomba ampigie g/f kum-wish happy birthday. Kumbe na...
2 Reactions
16 Replies
6K Views
Washikaji jana nimeanza weeknd na kimeo balaaa ,Katika sehem niliyo kuwa nimetulia nilishare meza na mama moja ukimuona utazani bibi hivi,basi alipokolea kinwaji nilishangaa sana kuniambia kuwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau wa jukwaa tukufu la MMU, upweke ni kitu kibaya sana wapendwa! Pamoja na uzuri niliobarikiwa na Mungu lkn sijabahatika kupata wa kuniondolea upweke,natamani nipate mtu anipende nami...
5 Reactions
219 Replies
12K Views
valentine day ndo imekaribia, ikiwa ni siku ya wapendanao,ndugu jamaa na marafiki kukaa pamoja, natoa nafasi kwa atakayejisikia kuwa pamoja nami siku hiyo, kukaa,kula,kunywa kuongea na ku dance
0 Reactions
9 Replies
2K Views
I do not know you well, but what I know Enchants me, like a song sung far away. I cannot hear the words, but what they say Hangs softly on the hills where I must go. I see you furtively and note...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Kuna rafiki yangu nasoma naye chuo wote tuko mwaka wa mwisho chuo flan hapa dodoma. Sasa kuna kijana flan ni askari polisi wanafahamiana kwa kuwa wote wametokea musoma, hivyo basi jamaa uwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Jambo mojawapo lililotokea kwa mwanadamu dhambi ilipoingia ni kuishi maisha ya umaskini na kupungukiwa. Dhambi pia iliweka matabaka ya matajiri na maskini. Toka mwanzo na hata sasa na siku zote...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…