Naomba mnisaidie japo ushauri!!
Nipo na girlfriend wangu huu ni mwaka wa tatu sasa tokea nasoma mpka hivi sasa naangaika kutafuta kazi, tatizo ni kwamba huyu mwenzangu nimegundua kuwa yupo na mtu...
Yaaminika asilimia 44.77 ya wanandoa wanatunza watoto si wao..pengine wengi wameamua kukaa kimya sababu mateso yake ni bora waendelee kulea hivyo hviyo watoto wa wenzao..je wewe unalea wako ...
Kwa mujibu wa Takwimu ya mwaka 2002 Tanzania ina idadi ya watu wapatao Milioni 34, na kwa idadi hiyo, idadi ya wanawake ipo milioni 17 na ile ya wanaume ipo Milioni 16. Mpaka hapo kuna ziada ya...
Mpz wangu nimekuwa nae muda mrefu ila anatatizo la kutonionea wivu hata anikute mazingira hatarishi hii hali hainifurahishi kabisa hadi inafikia muda mwingine natunga skendo yoyote nione reaction...
Nataka kuacha pombe. nimejitahidi lakini nashindwa. hali ya maisha imekua ngumu halafu nakosa muda wa kukaa na familia. naombeni msaada wenu nifanyeje ili niache pombe?
Niko siriaz wakuu.
its no doubt kua ndoa inaugumu wake, tena sana tu...knowing that, y watu hawaachi kuoa na kuoana? maisha ya mahusiano raha tupu, mkishindwana mna bwagana. ila ndoa!!!
Habari jf.
Unapoanza uhusiano na mwanamke na mambo yakawa yanakwenda vizuri, yaani akakukubalia ombi lako, utaiona dunia kuwa mahali pazuri sana pa kuishi.
Mara nyingi katika hatua za awali kila...
A na b ni marafiki, wote ni wanaume na wameoa. A kamtamani mke wa b. Kamtongoza, mke wa b kakubali kwa masharti ya kupewa tsh 100,000/=. Lakini a hana kitu cha kumhonga mke wa b. Kwa kuwa a na b...
Jana tulikuwa na mjadala mkali juu ya mambo ya uchumba. Watu wazima walidai vigezo vya kuchagua wachumba vimebadilika sana siku hizi. Zamani, watu walikuwa wanaangalia sana tabia, uzuri, kabila...
Habar zenu wan jf..nimeridi tena..me nina miaka 25.nimeolewa na nina mtoto wa miaka 2.miaka yote niliyoishi na mume wangu tumepata mafanikio japo nimepitia matatizo mengi kwa kuwa huyu mume...
How can you escape all curses of temptations? By following the rules below, they'll never send you in the wrong direction, I promise YOU. (you can add more and more)
1* It's not about just ME (or...
Hebrews 2:18
Most gracious Lord!I come to Your throne of Grace! Have mercy on me O Lord!As the Scripture says when You were sojourning on this earth You went through the path of temptations. Hence...
Wadau nina rafiki yangu mkubwa sana ambaye nimejua kuwa kwa sasa anatoka na aliyekuwa girlfriend wangu ingawaje wenyewe wanafanya siri sana.,hii imekaaje?.,inamaanisha kuwa hata enzi zile mapenzi...
Wana wa familia ya JF mambo vipi?.Hii ni kwa jisia zote ME na KE.
Mko chumbani usiku mmepumzika kila mmoja akiwa anamuahidi mwenzie ahadi tamu tamu juu ya kulitunza na kulienzi penzi lenu na...
.
Why You Should Never Be Nice To Women! by Ross Jeffries
Many years ago, when I was first making my tv talk show rounds, someone asked me, What do women want?
I said something that nearly...
Leo nimejikuta nashangaa nikaambiwa unashangaa nini?
Men kujiweka soap, na kujipodoa usharobaro. Wanaketi mahoteli makubwa na kuvizia wanawake wawanunulie kinywaji!
Ama kweli maisha...
habarini wana jf,mwenzenu ninammisi sana mpenzi wangu kwasababu yuko mbali, naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa kukaa mbali na wapenzi wao hadi wakazoea nifanyaje,ili niweze kuzoea hii...
Hivi jamani mahusiano magumu sana,
Wakati mwingine unaona umeula your the luckiest woman,
Unaona kama dunia umeiweka mkononi,
Wakati mwingine unajiona looser tu,
kama huna thamani yoyote duniani...
Maswala ya wivu tuweke kando jamani. Swala ni hivi kwenye wallet ya mpenzi wako kuna condom tatu ambazo walipewa kazini kwenye zile training za kuhusu ukimwi,zimekaa muda kweli kila ukipiga chabo...