Samehe mara saba sabini aijalishi mmetukana mmeishi miaka mingapi kwa style ya mgongo wa nne
rekebisha sasa badilika sasa rudi kwenye mke wako wa ndoa..tunza familia yako ukuzaa mwenyewe
jali...
Kwenye maisha kuna kupata na kukosa pale tunapotaka, tunapohitaji, au tunapoomba kitu. Muhimu ni kukubaliana na hali halisi.
Linapokuja swala la mahusiano ni jambo la kawaida kijana/mwanaume...
Nawasalimu wadau wote wa MMU.
Namuuguza mama yangu mzazi sasa yapata wiki ya pili baada ya kumfanyia vipimo vya xray pale Hindu mandal majibu yameonesha kwamba anasumbuliwa na tatizo la moyo kuwa...
Ukweli ni kwamba hata Polisi walipofika katika eneo la tukio waliamini kwamba yule mama alikuwa ameuawa na majambazi. Kwani wakati mauaji yale yanafanyika mume wa yule mama alikuwa baa ya jirani...
Ndugu zanguni najua wengi wanahaingaika na hii sekta
labda tukumbushane ukweli ni muhimu kujua uzinzi ni ngumu sana kuushinda lazima
ujue src ya uzinzi na uushinde ..uwezi kushinda uzinzi wakati...
Habari za nyakati hizi wanajamvi! Nimeona niseme machache kwa wanaume wezangu. Pengine yalishasemwa, basi ni
kukumbushana tuu!
1. Mpende Mkeo wakati wa ujauzito! Ulimpenda. Ukamwoa. Ukamwita...
Habari wajameni.
Nina dadangu kaolewa na wana watoto 2, mumewe yuko kamili tu, I mean viungo vyake havina tatizo. Shule kasoma, sio sana lakini kutokusoma sio sababu ya haya afanyayo.
Kila siku...
Dears I hope wote mu wazima and had a nice weekend.
Kidogo nimechanganyikiwa hapa na ninahitaji msaada wenu bandugu......
... Currently ninasoma hiki kitabu "Men are from Space, Women Must be...
WanaJF, huwa kuna taarifa kwamba mme anaweza kutega
dawa kwa mkewe ili mwanaume yeyote atakayetaka kufanya naye mapenzi nyeti zake
zipotee kabla hajamwingilia mwanamke, au mwingine anaweza...
Yawezekana ni kweli kwa uhalisia lakini hii nimesikia kwenye kipindi cha ndoa nkaona nikuunganishe na wewe tupeane ukweli je ni kweli wanawake wengi wanatyukamata wanaume sababu wanaamini wanaume...
Umezaliwa mtoto wakike Baba yako kakuona unafanana na mamayake anaamua kukupa jina la Mamake!!umekuwa umepata mchumba mnataka kuoana madhebu yenu yanatofatuana!Mchumba anakwambia badili dini uwe...
Wakuu natafuta nyumba ndogo, yenye mvuto
Sifa:
1. Iwe tayari kutunza siri SANA SANA
2. Iwe tayari kuhamwa ikipata mpangaji wa kudumu, mimi nitakuwa tayari kuhama kwa hiari
3. Iwe na mapenzi...
HABARI ZA JIONI NDUGU ZANGU?
Wale walioguswa na mgomo wa madaktari poleni sana.
jamani hivi mnapokuwa chumbani na mke/mume wako na mnataka mfanya mambo yetu ni nani huwa anaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.