Kwanza nilishikwa na hacra juu yake, nikajiuliza ana matatizo gani huyu mdada? hakika niliamini kuwa either hana akili timamu au ni limbukeni wa mawazo. Yaani nikawaza miaka mi3 tangu mtengane...
Naandika kwa masikitiko. Imemtokea rafiki yangu kipenzi.
Alikua na mahusiano na kijana mmoja, wanatambulika hadi kwa wazazi. wakiwa kwenye prosess za kwenda kulipa mahari of which ilipangwa...
Habari zenu wana JF. Nina rafiki yangu na ni jirani yangu wa karibu ambaye katika story mara nyingi alipenda kumsifia mumewe kuwa ni mwaminifu kupita kiasi hawezi kumcheat. Kumbe inaonekana jamaa...
Leo nimeudhuria msiba wa mwanafunzi mwenzangu,ambaye amefiwa na mama yake mdogo,...katika msiba huo mengi yalijitokeza lakini moja kubwa ni hili la kimada wa mume wa huyo marehemu,....kimada huyo...
Kina dada, kina kaka, ipi au zipi mnakubaliana nazo na zipi mnakataliana nazo? indicate tu mfano, 'namba 2', n.k
Source = Source: About Lustability
During the months of research which have gone...
Akina Zuhura tabia zao bana hazina tofauti sana na za akina Rose,wakati akina Rose hupenda kutembea na waume za watu,akina Zuhura wengi wana watoto wa nje ya ndoa!Aidha wamezaa kabla ya kuolewa au...
NOTE : KABLA HUJASOMA HAPA ANZA NA SEHEMU YA KWANZA KUNA THREAD ILIOITANGULIA HII. Bebiy alifika ktk mji aishipo Dadaake Riza.
Wakati wa mapokezi (namnukuu Riza)
Hee...
nimetokea kumpenda sana kijana mmoja hivi kiasi cha kutamani awe mume wangu! ana qualities zote ninazozitaka na ameshika dini pia. tatizo ni kwamba nimekuwa nikimpenda muda mrefu sana lakini...
Hivi majuzi tu nilitoke kukutana na msichana mmoja ktk eneo langu la kazi, ktk kushare some ideas nikagundua huyu mdada alitokea kunipenda/kunitamani.
1day tukiwa duka la jirani na offiisini huyu...
Alikuwa na kazi yake nzuri.
Lakini nampenda sana kiasi kwamba nilikuwa namuonea huruma sasa nimemwachisha kazi ili asipate tabu.
Halafu kuna suala la wivu. Huko alikokuwa anafanyia kazi kuna...
..when i am asked "<EM>would</EM> you help me please?" it gives me an opportunity to help, <BR>and i am more than willing to support her, but when I hear "<EM>could</EM> you help me please?" I...
Tangu nimeanza mahusiano sijawahi kabisa kupenda ila nasikia watu wanalalamika kuhusiana na mpenzi wengine wanafikia hatua ya kujiua kwasaabu ya mapenzi. Huwa najiuliza nikipi hasa kinamfanya mutu...
Habari jf
.
CJUI KAMA ILISHATOLEWA AU LAAHA,BUT ELIMU HAINA MWISHO.
Napenda nizungumze na wale walio kwenye mahusiano,wapenzi.
Ni vyema Wapenzi mkawa mnazungumza kwa undani kabla mjafanya...
Vigezo vinavyo/vilivyotumiwa na wanawake kupata wanaume kuanzia miaka ya 1960: 1960s----kutafutiwa/kufosiwa na wazazi
1970s----tabia njema
1980s----family status
1990s----u-handsome na mwili...
Ni mara nyingi tumekuwa tukisikia kuwa "mwanamke akipenda huwa kapenda kweli". Je, wanaume tusubiri kupendwa ili tuepuke kuumia au tuendelee kupenda na tukubaliane na hali halisi iliyopo (maumivu)?
Naomba msaada..ni mume wangu nina miaka saba nae some how hajatulia lakini kwa kuwa me ni mwanamke mpambanaji maisha yaendelea kiubishi..yupo mkoani kikazi toka jana usiku saa tatu kazima simu...
Hivi juzi Nilikuwa napita mahali mara nikawaona wazee wawili wamesimama kimtindo kwenye kona ya nyumba (babu around 70s na bibi 60s) nikashikwa na udadisi nikabana karibu yao na kusikiliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.