Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Mi naamini 90% ni Kukosa uaminifu na kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja. Wewe je! unadhani ni nini?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana bodi! Ni hadithi ndefu sana, ila kwa ufupi wake ni kuwa mtumishi mwenzangu tunaefanya kazi ofisi moja na desk moja amemuweka kimada aliyekuwa mpenzi wangu kwa miaka 4 na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanawake mimi nawaheshimu sana lakini katika mnanikasirisha sana. Wanaume wanaojihusisha na matendo ya kishoga mara nyingi marafiki zao ni wanawake hawa wanakao nao na hivyo kuwapelekea na wao...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
from elly nziku to ladies nahitaji kumpata girl friend aliye serious tafadhali
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari Zenu wana MMU!!nimeona leo nizame pande hizi kwanza tujuzane maujanja ya Mahusiano cunajua tena mapenzi yana kimbiza dunia...au sio?..sema ndiyo basiii....!hata kujibu shida kah!haya bwana...
0 Reactions
86 Replies
12K Views
jirani yangu ana tabia ngumu sana mie huwa nina tabia moja kwa vile ni mfanyakazi ninapokuwa siendi kazini sina muda wakwenda nyumba za watu ila kama msiba au ugonjwa nashiriki vizura maana mara...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Eti wana JF wenzangu nifanyeje mana kuna msichana mmoja nataka niwe nae bt ye anataka 2we friends nikimwambia siwezi kuwa friend na ww hataki kunielewa. Je nifanyeje jamani?
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari member wa jf.natumai kwa uwezo wake mola tuwazima.nimejitokeza leo baada ya kupotea kwa muda mrefu sana kwa majukumu yaliyopo ktk dunia hii.......nina rafiki wa karibu ambae alizaa mtoto...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
habari wanajf na hongereni kwa juhudi za kuelimishana, kama miezi mitatu iliyopita nilikuta post huku jamaa moja akilalamika kuwa mpenzi wake ni wa baridi yaani wakianza ule mchezo hahisi joto...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeamshwa na hiki kipindi leo chenye mada ya "Nafasi ya baba katika malezi na makuzi ya mtoto". Nimewapenda sana hawa washiriki na hoja zao.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Jaman! Baada ya kuja na visa vyangu vingi kipindi cha nyuma,nilipata mpenz mwingine ambaye tulipendana kupita kiasi,ila kibaya alikua nimwepesi kukasirika,hata kosa dogo analikuza na mm nilikuja...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Nampenda sana,ananichukulia mimi kaka yake jamani.Mnafanyaje wenzangu kutoa hali ya ukaka na udada?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kha! mpaka inakera.....sasa...................wanawaaaaaaake wanawake.......wanawakeeeeeeeee Mie ni dume lakini kwakweli nakereka na utitiri wa hizi mada za kuhusu wanawake................kwanini...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Nilikuwa na girl friend tangu 2002 hadi 2006. Tulipendana sana ingawa hatukuwa na kipato chochote maana tulikuwa wanafunzi, tulipohitimu form six mwenzangu alianza kubadilika kitabia na...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Kumekuwa na kijitabia kichafu tena cha siku nyingi kwa baadhi ya wanaume,kijitabia hiki ni cha kuwapa mimba mabinti na kuwakataa bila sababu za msingi,kwa mfano mtu mwingine anaweza kusema eti ana...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
WanaJf ninapata utata kua ni umri gani ambao kwa mwanaume anapaswa kuoa mana me nina27 na naona nimechelewa maisha ukitegemea kwanza ndo nipo first year,naona wenzangu nimechelewa maisha,cu...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Mwanamke kuitwa muhuni,au mwanaume kuitwa playboy,siyo sifa,unajiaribia heshima yako kwa wote wakuzungukao.Kila msichana kuitwa mpenz wako ni aibu,kila mvulana kuitwa mpenz wako pia ni aibu...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna jamaa yangu alikua na girlfriend wake kipindi 2nasoma alimpenda sana lakin yule dada hakuwa mwaminifu akawa anatoka na jamaa mwingine mi nakajua ikabidi nimpe habari jamaa yangu baada ya...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari za mapumziko wakuu! kuna binti nampenda sana lakini anasema kwa sasa haitaji mwanaume yeyote kwani ndo kwanza hata maumivu ya moyo wake hayajapona kwahiyo namkumbusha machungu2 na hawaamini...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wana MMU! Kuna binti rafiki yangu nimeonana nae jana anasema ana mimba ya miezi mitatu na jamaa yake hana mpango nae na kashakimbia bongo hii. Yeye anasema hawezi kurudia makosa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom