Jamani natamani ningerudi kama zamani...
Mkuu 'PCM' amelalamika kuwa siku hizi nimebadilika, mpaka akadhani kuna mtu ame-hack ID yangu.
Wakati najiunga JF, takribani mwaka mmoja uliopita...
mimi naamini katika mahusiano ya mapenzi usiangalie kama mpenzi wako anakupenda bali wewe kama umemchagua mpende kwa moyo wako wote na yeye atakuchukulia hivyo
Daima muamini na si yeye akuamini...
Hi wana jf, juzi wakati nasoma my bible niligundua kitu cha ajabu kweli
Adam kwa mara ya kwanza alipoamka usingizini akakuta ameumbiwa mwanamke pembeni yake akasema huyu ni mfupa katika mifupa...
Sijui nifanyaje,yani kila nikiznguana kidogo na gelofrendi wangu,bac ye anakimbilia kuniambia tuachane,nkimbembeleza kdogo anajirudi..sa cjui hz ndo dalili za kuchokwa au vp wakuu?
Je kuna ukweli katika hili?
Nilikuwa na mahusiano na mwanamke; akawa amepata ujauzito lakini motto akampeleka kwa Mwanaume mwingine ambaye mi nilikuwa simfahamu.
Baada ya mwaka mmoja wa motto...
Nimesikia sikia tu kwamba kuna za bwawa cjui na kavu, nimekuwa nikijiuliza hapo kwenye kavu ikatokea imetota kwa maujanja ulomfanyia mwenzio mwenyewe tayari ni bwawa? Mnapenda ifikie chapachapa au...
Guys,
I was sharing some views with my neighbour.Among of his idea which at the outset Iam compelled to buy is that:
"Men usually want three qualties in wives;Economist in kitchen,artist at...
Napenda kuwafahamisha kwamba kuna raha yake kama wanandoa wakiwa wote wa wili ni wacha Mungu.Jaribuni muone kumcha Mungu na baraka tele zitafunika maisha yenu yote na watoto wenu watabarikiwa kama...
Gianni Versace
Akiwa na wanamitindo Maarufu
Hayati Princess Diana Na Sir Elton John walimlilia
Akiwa na Naomi Campbell na Cindy Crawford
Muuaji Andrew Cunanan katika mionekano tofauti...
A friend like you is like no other friend
A friend like you is a friend I'm happy to have met
A friend like you is a friend I can't scream at or fight with
A friend like you is like having no...
hi to all, ninampenzi wangu tuliachana tukarudiana lakini tangu tumerudiana mpaka leo hajawai kunitamkia nakupenda,nimekumic na maneno mengine mengi kama alivyonitamkia zamani,ila ninacho jiuliza...
Hamjambo wanajf .hivi jamani wanaume wenzangu ni sawa kwa mwanamke kumtongoza siku ya kwanza na anakubali siku hiyo hiyo. Mimi ninavyojua kwa kawaida mwanamke anatakiwa amsumbue kidogo mwanaume...
Wana MMU,
Wote mnafahamu umuhimu wa first impression especially kwenye ki date. Kipindi nina date date nilikuwa kabla sijatoka lazima nijicheki jicheki najiuliza atanionaje nikivaa hivi?
Nauliza...
ni mtoto pekee wakiume katika familia yangu...dada zangu wameolewa...
juzi kati bimkubwa ameugua na akaenda kukaa kwa mmoja wa dada zangu,..
nimebaki mm na housegirl tuuuu niko karibu nae...
Ilikua mwaka 2008 nilipokua mitaa ya nmb posta nikakutana na kimwana wa mwenge na tukajuana kama binadamu mana tulikua wote profassional moja,badae tukawa tunawasiliana na tukazoena.Alinitembelea...
KWANINI MWANAMUME AKIFA NDUGU WA MWANAMUME WANADAI MALI ZA MTOTO WAO HATA KAMA ANA WATOTO KWA NINI NDUGU WA MWANAMKE HAWANA HAKI YA KUDAI?
Mimi ni mwanamke niliyeolewa nimekuwa nikiona matukio...
Ni kitu ambacho nimesha-experience, lakini interaction na wanaume wenzangu nimagundua kuwa wengi tupo hivyo...
Wanaume hawapendi kuachwa na mwanamke. Hata kama mwanaume yupo na mwanamke na...
Hello people,
Kuna mambo mengi sana yanatokea duniani kuhusu wewe na unaye mpenda, na watu wanajaribu kukosoa sehemu unayo penda.
Huu ni mmoja wa mifano na mifano iko mingi sana.
Mfano wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.