When you've just gone through a breakup, there's a period of adjustment... especially if you've spent great amounts of time with that departed partner. How many of you have experienced this...
Hivi karibuni nilikuwa maeneo ya mozambique, nimetembelea maeneoa kama Aldea,
Pemba, Nangadi n.k. Huku kuna wanawake wa aina mbili, Weusi(Wenzetu) na weupe
ambao ni Half Cast (Yaani wazuri hao, si...
Habari za weekend!
Nilikuwa namind business zangu, baada ya kupata upako kutoka church baada ya mahubiri ya padre mkongoman from Uvira. Nimekula ugali wangu kwa mchuzi na mtindi huku nikisurf chit...
Ni karibu wiki tatu zimebakia ifike ile tarehe ambayo watu huambiwa waoneshane upendo(hata kama mlikua mnavurugu inabidi muache siku hiyo)Najua siku hiyo watu hujiandaa kwa mambo mengi,ila jamani...
Kuna dada nimetokea kumpenda mpaka ikanilazimu nimwambie. Ajabu yeye akadai hana hisia juu yangu, anataka tuwe marafiki tu. Kwa miaka miwili sasa wimbo ni ule ule. Anafurahia sana kampani yangu...
Naomba kuwauliza wanaume, nimekuwa nikisikia mara nyingi, eti wanawake wajawazito ni watamu sana. Yaani wanakuwagaa watamu kwenye kuduuu. Kuna ukweli wowote katika hili? Naomba kujuzwa
Kuna jamaa angu leo kanistajabisha sana,Ana dada wa kazi nyumbani kwake sasa anasema huyo dada wa kazi baada ya kukaa nae kama mwaka 1 sasa amependeza sana yaani kutanuka kila idara ya mwili...
Jaman nimekosa raha ndugu wa baba wanadai eti mama yng mchawi anamloga baba hadi amekuwa mlevi mbwa pia kama anachanganyikiwa wameniita eti wanipe dawa ili wanipe dawa waliyopewa na waganga wao...
Sijajua kama jamvini tumewahi kufikiri swala la pornography na ndoa zetu! Does it help anything? How devastating it is? Maana
hapa kwenye ndoa kuna wa aina tatu.
a) Both mume na mke...
habari wana jamii forums me ni mgen kwenye jamvi hli.mimi ni msichana nna miaka 23 nipo chuo mwaka wa pili na nina mtoto.tatizo langu mi kwamba nahisi nina shida katika mapenzi kwani kwa mwaka...
Niko mikoa ya kanda ya kaskazini kikazi, nimekutana na dada mmoja ,mumewe ni mtu wa makamo, lakini dada kidogo anaonekana bado damu inamchemka, wana duka kubwa la vyakula hapa mjini.
Kwa ajili ya...
mabinti mabinti mabinti hii ni kutoka kwa wadada wafanyakazi tanzania(wwt)
kunawimbi la vijana especially wa chuo wanapenda kushobokea wadada wanaofanya kazi.inakuwa ni kazi kwako kumlipia...
naomba kujuzwa kama umri au age different ni kigezo muhimu katika maisha ya mahusiano au ndoa and if age matters ni miaka mingapi actually mwanaume na mwanamke wanatakiwa kupishana? what about the...
niliachana najamaa m1 toka 2009 sasa toka juz ananisumbua sana et anadai bado ananipenda minkakataa ila jamaa anakuwa haelewi kiukweli mi simtaki manake alitenda isivo kawaida
Ni mwaka wa pili tangu nioe, ila mwezi wa 11 mwaka jana mke wangu kaanza mauzauza. Anatoka asubuhi kurudi ni saa sita au asubuhi ya siku inayofuyata. Kafanya hivyo kwa muda wa miezi miwili sasa na...