... Najua kina AshaDii and the like (Lizzy ni binti yangu jamani so siwezi kumhusisha) wataipenda hii!
Meghalaya, India: Where women rule, and men are suffragettes...
Naombeni ushauri au msaada wenu mim ni jinsia ME nina 25yrs nina kama 7 yrs hivi sija fanya mapenzi.
Hivi karibun baada ya watu kunishauri japo nitafute hata kadem niwe nakamua kuondoa...
Unrealistic expectations are planned resentments.
Kila mtu anapoingia kwenye mahusiano/ndoa anakua na matarajio yake. Wapo wenye matarajio ambayo napenda kuyaita "reasonable/realistic" na...
mim ni kijana wa miaka 24 naish apa apa dar.tatizo langu ni moja kama c mawili kila nifanyapo tendo la ndoa na mdada hudiliki kutoniacha kabisa na kuniganda kama ruba kiasi kila niombacho napewa...
Dear Wana MMU
Heri ya Mwaka Mpya
Namshukuru MUNGU kwa kutufikisha mwaka huu hali ambayo wengi wetu walitamani lakini MUNGU alikuwa na mipango myema zaidi kwao. Ashukuriwe kwa kila jambo...
Habari zenu wanajamii forum,mwenze niliachana na mpenz wangu kipindi fulan kutokana na vijimambo fulan ila nika jipa moyo ntapata mwingine,na kweli cku zkapita nikapata mwingine ili huyu mpya ni...
She is like an angel, amejawa na nidhamu
Her smile is special, maneno yake matamu
Highest above level, hakika hanishi hamu
Sticked her my label, awe wangu wa kudumu.
Akiwa karibu yangu, nothing...
Sometimes love is not enough being involved to a relationship there should a time,understanding,and communication......thats why...we broke up......and its too hard for me...................
Kuna rafiki yangu tunamesoma naye. ameniomba ushauri afanye nini baada ya kugundua kuwa rafiki yake wanaefanya naye kazi anatembea na mpenzi wake. Huyo jamaa anajua kila kitu kuwa huyo ni demu...
Hivi tuseme umepata mpenzi wako.Ukagundua kuwa anamiliki mali kama nyumba na magari na wewe huna kitu. Mkakubaliana kuoana. Ukahamia kwake wewe na Rambo yako. Hali huwaje baadae? Tunaweza rejea...
habari, mimi ni kaka yangu ambae ni pacha yangu, yeye alitokea kumpenda kabinti chetu cha kazi ana miaka 2O elimu yake ni darasa la 7, baada ya kuwa na uhusiano wa siri kwa miaka miwili osidai...
Yohana Mwatebela mwenye makazi yake mjini mbeya ni jina linalofahamika na wengi. Ameaga dunia usiku wa juzi kuamkia jana kwa shinikizo la damu kwa kadiri ya vyanzo muhimu vya habari. Alizaliwa...
Poleni sana na huu msiba mkubwa uliotupa wana JF
Naomba msaada wenu kimawazo, Nimeolewa na nina watoto wawili...Mtoto wangu wa kwanza wa kiume nilimzaa nikiwa form two ,nikamrudisha home kwa bibi...
Wenzangu wa MMU,
Wengi wenu sikuwasikiliza lakini sikio la kufa .......... Nikawasikiliza wachache na nikajikuta nimejaribu kwa mke wa wa mtu,utamu nikaupata na sasa jamaa-mumewe amenijua na...
Waungwana hizi social network tuwe makini nazo binti mrembo ameuwa baada ya kukutana na rafiki wa facebook ambae amekuwa mpenzi wake, wakiwa hotelini jamaa mwengine ambae alikuwa x wa huyo dem...
KADA WA UVCCM IRINGA ALIVYOFUMANIWA AKISALITI NDOA YAKE
Ni vigumu kuamini ila inapotokea huwa ni vigumu kuvumilia.
"Je ndo chama au ni kichaka cha umalaya" na kauli ya mume wa kada huyu...
naitwa jonal rashidi nipo the rock city nna miaka 21 nasoma kidato cha 5 in mwz sec school natafuta marafiki wa kuchat nao namba yangu ni 0764339400.usibip nicall or ni2mie msg ok? kisses
Hellow wana-mmu. hali inamwumiza sana alikuwa na mpenzi alimsomesha mpaka form six na kumgharamikia kila kitu na alipomaliza alimfungulia duka la vipodozi akalifilisi kwa kuwahonga wanaume ndipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.