Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kachimbe kisima wewe mwenyewe ndugu yangu na unywe maji yako peke yako. Usishiriki na mwingine,Ni hatari kubwa sana. Hakika,maji ya kisima cha watu wengi yameingiliwa na mdudu, ukiwa na kiu...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Mimi ni mmoja kati ya watu wasioamini kama kuna uhusiano kati ya kabila na tabia za mtu. Kuna rafiki yangu ana mpenzi ambaye ni Mpare na wamedumu naye kwa miaka kadhaa sasa. Sasa huyu jamaa...
0 Reactions
65 Replies
29K Views
Bila kuvunja Ibara ya ...... Kanuni na masharti ya JF AAA = Mara nyingi ni raha ya ukweli EEE = Mara nyingi ni maumivu ya ukweli III = Mara nyingi wanajifanyisha, anataka kukuibia OOO=...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
A woman needs love Just like you do Don't kid yourself Into thinking that she don't She can fool around Just like do, oh Unless you give her All the lovin' she wants Don't make the mistake Of...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna kibinti kimoja hapa mtaani kwangu kimesikika kikiapa kuwa lazima kitembee na mvulana mmoja ambaye husifika kwa mabinti kumgombania.....................sababu hazieleweki kwa uwazi...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Mkeo amepata nafasi ya kwenda kusoma, Pale nyumbani mna watoto wawli, mnaamua kuagiza mfanyakazi kutoka kwenu kijijni kuja kuwasaidia kazi, na siku ya kuja mfanyakazi unaenda wewe mwenyewe...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Marriage is a social obligation as well as something two individuals would like to get into after courtship. Although, many single women prefer to avoid marriage, yet marriage continues to be...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Ebana mwenzenu j3 ndo naanza UE,ka vp niombeeni for best results in my coming exams.asanten
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Why do women cheat? There are three types of affairs they could be involved in. The first and biggest is the physical affair where there is sex involved. Then there is the emotional affair...
1 Reactions
48 Replies
9K Views
My first girlfriend used to pull out the 'lets break up' card to intimidate or scare me since she knew she was my all..Until one day i told her there is no more me and her since i couldn't stand...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Top Two Reasons Why Your Husband Will Cheat on You One of the most devastating events to occur in life is when a husband has an affair. In addition to the physical concerns of disease, being...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
"Yaani mnanishangaza na kisha nawahurumia sana! Eti msichana unaenda kulala na mwanaume jana na leo tena una hamu unarudi kulala na mwanaume ? Kweli wanaume wa sasa hawajiwezi." Hayo ni baadhi ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
wakuu mpo kesho naenda zanzibar kwa ajili ya kufanya utalii wa ndani sio tu watalii wa nje wanakuja kufanya utalii na sisi watanzania tuko hapa hapa sasa basi nimeamua kesho niende zangu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Sijisifu lakini najijua jinsi nilivyo na moyo wa uvumilivu pamoja na kubembeleza. Wasichana wote niliotumia muda{3} mrefu kuwapata, niligundua kwamba walinikubali kwasababu ya kuwaganda sana...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Naamini kw uwezo wa mungu wote mu wazima.wana jf..happy new yeah!!me siyo mgen humu ila huwa napita tu na mwaka jana nlileta matatizo yangu hapa mkanishaur vzr tu..maisha haijabadilika mume bdo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya majonzi ya takriban wiki nzima ya mpendwa wetu RM, ndugu yenu mitishamba nimerudi tena. Huwa siishiwa mikasa, na mara nyingi huwa naongelea mambo yaliyonikuta ama kuyashuhudia. Mimi na...
2 Reactions
79 Replies
5K Views
wapendwa, poleni sana na msiba mkubwa wa mh. Regia. siku niliyofunga ndoa ndiyo siku aliyofariki na nilipata habari nikiwa salon nikiandaliwa kwa ajili ya harusi yangu, niliumia, lakini sikuwa na...
12 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF,naleta kwenu story yangu ili nipate ushauri:2005 nilipata mpnz 2kapendana sana ndugu zake wakanifahamu na wangu pia...jamaa akawa anang'ang'ania anivishe pete ya uchumba wkt...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Naombezi mawazo yenu wadau wote mtakaosoma hii thred. Nimekuwa na mpenzi wangu kwa muda mrefu kama miaka 2 hivi, nimekua nikijihishemu kwa muda mrefu sijawahi cheat hata siku moja kwa vile...
1 Reactions
127 Replies
9K Views
hi
hey guys am jonal rashidi from Rap city am looking 4 friends in order 2 chat my mobile no iz:0764339400.dont beep just call or send msg 2 me ok?kisses gd day
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom