Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja mkoani Mbeya amejikuta anaamka asubuhi huku nyeti zake zikiwa hazipo na kumfanya achanganyikiwe na kuhaha huku na huku mahospitalini bila kupata ufumbuzi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
habarini, jamani ninapata kila ki2 kwenye maisha but cjapata mapenzi ya ukweli nifanyaje?:shock:
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna binti anatoka na babaye, anadai "dingiye" aliomba aonje malezi yake eti naye alikubali. Sasa hivi analelewa na"dingiye" kama nyumba ndogo. Baada ya watu kumsema sana anaomba ushauri mimi...
0 Reactions
119 Replies
12K Views
Habari wana jf,kuna jambo natatizwa nalo khs mahari,wengine wanasema mahari huwezi kulipa yote unapolipa lazima ubakishe na wengine husema mahari unaweza kulipa yote uliyopangiwa na hakuna...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nina mchumba ambaye tunamuda mrefu kidogo kwa sasa, mwanzo tulipokutana tukawa tunawasiliana kama marafiki wa kawaida lakini cku moja akanitamkia kuwa ananipenda na anataka tuwe wachumba ambao...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
wazee nimetuma message ya nyumba ndogo kwa wife kwa bahati mbaya. Nilikuwa nachati nao wote kupitia yahoo messenger sasa nikajikuta namtumia msg wife badala ya nyumba ndogo. wife alisha log out...
0 Reactions
86 Replies
12K Views
Ni hali ya kawaida mvulana kumtongoza msichana, wakikubaliana, mvulana hutenga fedha kwa ajili ya: kununua chakula, vinywaji, nauli, gharama ya chumba (for action), kutoa hela ya vocha ya simu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
wakuu nina umri wa miaka 32 male, na mwenzangu ana miaka 27: mwenzangu ni mpare mi mnyakyusa. tulianza mahusiano mwaka 2006; kabla hatujaanza mikakati ya ndoa nikaenda masomoni mwaka 2008. ikawa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwanini watu wanaamini kuwa kuna baadhi ya makabila ukioa au kuolewa nayo ni taabu tupu. Mfano watu wengi wanaamini ukiolewa na mkurya au ukioa mkurya kipigo kwao huwa ni chakufikia yaani ni kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A contestant on the Brazilian version of ‘Big Brother’ has allegedly been raped on live TV. Police in Brazil have confirmed that they have started an investigation and carried out a search of the...
0 Reactions
3 Replies
801 Views
Nina rafiki yangu ameoa na anawatoto wawili. Tatizo mke wake anamdharau sana hamsikilizi kwa lolote lile. Wakati mmewake anawatunza yeye pamoja na ndugu zake. Ukiangalia kaka huyu hana ndugu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwenye ndoa kuna matatizo mengi sana yanayotukuta eitha sisi wenyewe, marafiki zetu, ndugu zetu na watu mbalimbali. Tunayasikia matatizo hayo kila siku kwenye mazungumzo tunayoyafanya, kupitia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni dhahiri wazazi wengi ambao ni wafanyakazi waishio mijini watoto wetu wanakuzwa na madada wa kazi ama chekechea. Hali hii ni tete sana, hasa katika makuzi na maadili - pia ni kumnyima mtoto...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Rafiki yangu aliyefunga ndoa mwaka 2006 amekuwa akijitahidi kupata mtoto bila mafanikio, Mke wake hubeba mimba kama kawaida na punde siku zinapokaribia kujifungua kiumbe hupoteza uhai! Amekwisha...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Miaka kadhaa nyuma, nilimpata binti mmoja wa kunifaa kwenye maisha nikaamua kufunga naye ndoa. Tukio hili lilitokea takriban miaka kumi na mbili iliyopita nyuma. Harusi yetu, haikuwa ndogo kwa...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Hi everybody; Naomba kum-vote Mh. Regia Mtema (RIP) kama mmojawapo wa wabunge waliokuwa wanaopendwa sana na jamii ya watanzania. Hii haimaanishi kuwa wabunge wetu wengine hatuwapendi, la hasha ila...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni takriban miezi miwili sasa mgogoro huu umekuwa ukifukuta chini kwa chini na sasa imefikia mahali humu ndani hapakaliki wala hapaliki, ilimradi tafrani kila kitu vululu vululu. Nimelinyamazia...
4 Reactions
92 Replies
6K Views
Hivi ni sahihi kweli ukamtapika mtu jana ukidai mapigo hayakujitosheleza au haniridhishi au sikuridhika naye.........halafu kesho ukadai umesikia hamu ya kulamba matapishi yako...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Yaan utakuta mwanaume kaangaika sana, kimaisha, wengine mpaka wanapata majeraha makubwa, au wananusurika na vifo wakiahangaikia maisha. mungu si athumani anawajalia hawa waangaikaji vijipesa...
0 Reactions
73 Replies
5K Views
jamani mm nina mchumba angu ambaye tuko karibu hatua za mwisho sasa alicho nifanya jana nashindwa huelewa niko njia panda.... ilikuwa ivi nilipiga sm usiku wa manane yaani saa 8 usiku bahati...
0 Reactions
52 Replies
3K Views
Back
Top Bottom