Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Jamani nataka nielewe, kwann wasichana wa kibongo sio waaminifu? Hii ni kwa sababu nimejaribu kulinganisha wasichana wa nchi zingine kama, Kenya, Uganda, Zambia na zinginezo. Nimebaini kuwa...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
habari zenu..jamani mimi tangu nianze kufanya mapenzi nimekua sifiki katika orgasm kama wana wake wengine wanavofika..na pia ni mara chache sana kupata hamu ya kufanya mapenzi...ila nikicheki porn...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Siku moja nikiwa na safiri kuelekea Dar esalam kutoka mbeya nikiwa kwenye kituo cha mabasi, kulikuwa na wazee wawili, walikuwa na maada ambayo walinifanya niwadadisi kwa undani zaidi ,wakidai...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
By Herieth makweta. MARA nyingi wengi tumekua tukichukulia masuala ya kiuhusiano tofauti na vile ilivyo kawaida Siku zote wanawake hujitahidi kutafuta wanaume wenye vipato vyao na wangine pia...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
wapendwa, nnatumaini mnakumbuka vizuri thread yangu hii hapo chini: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/131459-siku-30-nzito-za-maisha-yangu-ooh-glory-to-god.html kwa sasa...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
Ni kwa mara ya kwanza najitokeza katika ukurasa huu wadau naomba msaada wenu wa mawazo kwani nina rafiki ambaye tulipendana sana na tumedumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu lakini cha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilianza kumfahamu wakati huo nakwenda sana alipokuwa akifanyia kazi ambapo nilikuwa nikitaka huduma za "Internet" akaanza kuniita kaka.... Baada ya kupoteana kwa muda, wakati fulani nilikutana...
1 Reactions
33 Replies
17K Views
Natafuta marafiki jinsia zote ila wawewanajielewa na kujiheshi pia. NOTE: Sihitaji urafiki wa kimapenzi, hii ni kwa akina dada watakaoamua kuwa marafiki zangu.
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Unaamua kumuacha mpenzi wako wa sasa na kurudiana na mpenzi wako za Zamani, mme ombana misamaha na mmekubaliana kurudiana. Kwanini hivi? baada ya kuachana kwa muda mrefu mnagundua kuwa kama vile...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Upo uhusiano wa moja kwa moja kati ya harufu zetu na mahusiano na wengineo hususani wapenzi wetu. na ndiyo maana misemo ifuatayo hujitokeza kwenye jamii kuhusiana na harufu zetu:- a) Jamani...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
. . . . kwa wote waliopoteza wapendwa wao. Crossroads - Bone thugs Krayzie: Now follow me roll stroll whether it's hell or it's heaven let's come take a visit of the people that's long...
10 Reactions
40 Replies
3K Views
Pombe ina nafasi gani ktk mahaba...?
0 Reactions
25 Replies
3K Views
1. When a ship sinks, women (and children) get off first. 2. A woman can hug her best friend without worrying she'll think she's gay. 3. Women can talk to attractive members of the opposite...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Serious natafuta room mate wakike niwe na share chumba moja na mm nipo chuo, plz kama haupo seriou usijishuhulishe na hapa.. Namba yangu ni 0755243224
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wana Jf!! Nikiwa nimetoka kanisani mwenge, nikapanda gari za ubungo kupitia chuo kwani nlikuwa naelekea campus. Nikiwa kwenye gari mbele yangu alikaa mwanaume aliyekuwa amempakata mtoto...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Leo asubuhi nilikua nafikiria kitu nikajikuta naangalia mahusiano na ndoa kwa namna ambayo sikuwahi kabla. Mimi na wewe ni kama vipande vya puzzle ....you've got your share and I have got...
11 Reactions
67 Replies
5K Views
Mara chache sana huwa tunathamini nafasi ya harufu zetu katika kujenga au kubomoa mahusiano kati yetu na wale tuwapendao.......Misemo ifuatayo midomoni mwetu katika jamii yaonyesha harafu ina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yaani kuna binti mmoja wa kisukuma....................roho yangu ilimzimia sana enzi zangu zile zilipendwa....................nikashindwa kuvumilia nikamgongea hodi kuwa twende matanuzi...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Unaweza ukaona kama pengine ni changamsha genge lakini hii kitu ni kweli kuna mwanaume hili jambo linamkumba kwa muda sasa. Mwanzoni sikumuamini, lakini imebidi nifike kuamini ukweli huu. Mpenzi...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
mtu kama huyu anatufundisha nini ktk jamii..ama anawafundisha nini wakwe zake ama watoto wanaoudhuria harusi yake..anyway binfsi nimekuwa na maswali mengi nani kamweka hiyo tatuu na ukichungulia...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Back
Top Bottom