naombeni msaada wenu wanajamii. Kuna demu hapa kitaa nampenda naye ananipenda. hivi karibuni wakati bado tunaendelea kufahamiana zaidi wakaachana na boyfriend yake lkn nashangaa nikimkaribisha...
Why Black Women Are So Attractive
By
Zeus (Web source)
Growing up, I lived in the city all my life, and went to a public school. This was a blessing, because it
allowed me to be around...
wengi wameshaur ntupie sifa zangu binafsi.age angu 24 yrs,mchaga,busnesman, present location-Ta,home town-k'njaro-tarakea,ndoto yangu ni kupata girlfrend through social networks.nimeblock...
Wakuu JF.
Hii imetokea maeneo ya Kijitonyama Dar es Salaam Hongera Bar.
Jamaa mmoja alikuwa kalewa na kuanza kuwatolea maneno ya dharau na kejeli vijana wawili waliokuwa wamekaa nae meza...
habarini wanajf, kuna tatizo ambalo nahisi linasumbua wa2 wengi, ni hivi mnapoanza relation mpk level nyingine ni nani anatakiwa awe wa kwanza kumtamkia mwenzake kuwa wakajitambulishe au kufunga...
Natumai tukianzisha mapenzi ya aina hiyo tataheshimiana sana.Kwamba leo naanzisha mahusiano na wewe lakini tambua kuwa ifikapo tarehe xx/x/xxxx ujue uthamani wako kwangu umekwisha lakini kwa...
.
hii ni kwale wanandoa wote mnaoooana leo hiii
hata ufanyeje usijlinganishe na mwenzako hata siku moja ndoa nyingi zimeugua na zingine kufia hata azijafika ICU sababu ya kutaka kuishi maisha siyo...
Wadau mwenzenu nimejaaliwa kuwa na marafiki wengi sana ukiachilia mbali wale niliofahamiana nao katika maisha ya shule na nika-maintain urafiki nao, lakini bado katika mazingira ya kazi na maisha...
Ndugu zangu,habari zenu.
Ni matumaini yangu kuwa sote tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila siku.
Ndugu yenu nimepata namasaibu yanayonitatiza na sijapata ufumbuzi. Ni hivi,nimejigundua...
MUHIMU SOMENI YOTE WAPENDWA............MANENO MENGI YANATIA UVIVU BUT ''U WILL GRASP SOMETHING OUT FROM IT''
I agree with Dan Allendar when he says that, Sex is volatile and it was meant...
Wadau, ukiacha maswala ya kuajiriwa mimi pia ni mwanafunzi wa chuo hivyo hua nabebaga madaftari, vitabu, past papers, notisi na makaratasi mengine kibao tu siti ya nyuma kwenye gari. Last time...
Ukiachana na mpz wako,not kwa mabaya,may be kampa mtoto wa watu mimba,na kalazimika kuoa,au anakuwa na gal mwingine,hivyo mnatengana.Pindi unapomsalimia,utamwita nani?,huyu xboy wangu...
Hodi humu ndani! Salamu wote wana Jamii Forum. Nianaomba msaada jamani.
MM nina Boyfriend wangu tumedumu kwa mwaka mmoja, tunapendana sana, na anaonyesha jitihada za kuwa na mm kama mke na mume...
There are three (3) types of women according to men's perspective.
1. HOUSEWIFE'S
Advantages
* She stays home and takes care of kids and household chores.
* She is always good in bed...
Msaada wana jamvi,mara nyingi kwa watumishi wa kike inakua rahisi kuhama kamfuta mume wake,kama wapo mbali kikazi.Je kama mume anataka kuhama amfuate mke wake je hizo taratibu zinasemaje??Naomba...
waswahili husema majuto ni mjukuu...hili ni kweli kabisa.......
utafiti wangu umebaini yafuatayo:-
1) Mapenzi hayana subira................ukishikwa shikamana.............kwa sababu chelea...
Unapimaje kuwa mwenzio anakupenda?
a) tabasamu lake
b) kicheko chake?
c)kauli zake motomoto?
d) mapochopocho yake kwako?
Hivi unapimaje penzi na kujua huyu mtu kweli anakupenda na wala siyo...
Una mpango wa kuoa/kuolewa?
Kama jibu ni HAPANA . . kwanini?
Kama ni NDIO. . . je ni VIGEZO gani ambavyo vikifikiwa na mkaka/mdada utashawishika/penda kuingia ndoani?
Na ni MASHARTI...
Jamani m a girl n nina mpenzi na ninampenda sana but hanijali kiukweli mimi ndiye ninayemcal kila cku wakati nasoma,kama mnavyojua hali ya uanafunzi na yeye amepata temporary work ya civil...