Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

1.) Fine : This is the word women use to end an argument when they are right and you need to shut up. 2.) Five Minutes : If she is getting dressed, this means a half an hour. Five minutes is...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wewe kaka Benard umeoa ila mkeo anasoma chuo kimoja mkoani. Nyumba unayoishi ni apartment ambayo upande wa pili unashea na dada mmoja ambaye kama bahati mnafanya kazi pamoja na hata wakati wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jana ilikuwa ni siku ya mwisho kwa dada yetu mpendwa kuwa naye hapa Ulimwenguni baada ya miaka zaidi ya 20 ya mateso makubwa ya kimwili na kisaikolojia. Miaka zaidi 20 iliyopita dada huyu alikuwa...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Jamani wana JF hivi mnalizungumziaje swala la wapendanao kuwa na dini tofauti?linamadhara gani?faida yake je?vipi kuhusu wazazi kama hawabariki swala hilo ni uamuzi gani unafaa?dini je? nisaidieni...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Kuna mwanamke nimemuowa ananiumiza kichwa sana , eti anataka kwa kila jambo afanyalo kwangu antaka apewe pesa hiyo achilia mbalin malupu lupu mengi ne mbali na mshahara wa mwezi. nimejitahidi...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Leo nawaletea wenye majina William(Bill ni kifupi chake)Peter na Robert(Bob ni kifupi chake)Watu wenye majina haya wana sifa kuu zifuatazo,kwanza ni watu wenye mafanikio,pia wengi wao ni...
2 Reactions
66 Replies
5K Views
Mwenzenu sijui nini mimi nikiona Wamama hakili inahama!mimi watoto chini ya miaka20 sina hobi nao, mimi mijimama wawe umri wa 40 na amezaa kama mara 3 basi kwangu brudani.
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Paranoia ni kitendo cha mtu kuwa na tabia ya kuwa na wasiwasi,hofu, shaka, na kutoamini mtu mwingine bila sababu ya msingi/ushahidi. Na mara nyingi hua inasukumwa na wivu uliopitiliza kiasi pia...
10 Reactions
55 Replies
5K Views
habari wana jf ,jamani kuna issue imemtokea my friend ila kaniomba ushauri afanyaje nikaamua kuleta jamvini kabla cjampa ushauri.Ni hivi huyo rafiki yangu ana BF ambae walianza uhusiano ka miezi...
0 Reactions
77 Replies
7K Views
Some of the most significant messages people deliver to one another often come in just three words. When spoken or conveyed, those statements have the power to forge new friendships, deepen old...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Heshima yenu wakuu. Mimi nmechunguza sana tabia za hawa wakina mama wa kitanzania, hawapendi kujulikana kama wamezaa. unakuta hata akitaka kutoka hawezi kubeba mwanae sana sana atambebesha...
0 Reactions
43 Replies
9K Views
Wengine hunyoa wengine hufuga..........je zina umuhimu wowote ule? Hizi ni baadhi ya styles
0 Reactions
87 Replies
15K Views
This is my true story, Nina familia. Nilipokuwa mtoto nilikulia maisha ya matatizo sana, sababu mojawapo ikiwa kufiwa na wazazi wangu na hivyo kusoma kwa tabu sana. Lakini namshukuru Mungu...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Mkitaka wanaume zenu wawapende, wachieni wanaume zenu waowe wanawake wengine....Lazima mfahamu haya hakuna mwanaume amekuwa programmed afanye sex na mwanamke mmoja tu hapa duniani. Najua wengi...
5 Reactions
206 Replies
19K Views
Wapendwa wana MMU Heri ya Mwaka mpya. Jamani naomba mnijuze hapa Dar Mauwa ya Rose naweza Nunua wapi nimpe Mzenji wangu siku ya kuzaliwa kwake wiki ijayo! Walau mwaka Huu nimsurprise! Mch
4 Reactions
77 Replies
8K Views
Heshima mbele wakuu..ebana leo ni cku yangu ya kuzaliwa,ndo nimetimiza miaka 24,namshukuru mungu na me kwa kufikisha idadi ya miaka hyo coz ni wengi walitaman kuifikia bt waliishia njiani.lakni...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
mi ni kijana wa kiume sijaooa. Ila kuna dada namzimia naomba mbinu za kumtokea. ni sista duu ile mbaya
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Inasikitisha,mke na mume walikua wanaishi maisha yao mazuri tu.Wiki mbili zilizoisha,mke alihamisha kila kitu kwenye nyumba waliyokua wanakaa.Ilimuuma sana mwanaume kufanyiwa kitendo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kulikuwa na mdada mmoja mwenye jamaa yake mwanajeshi'huyo jamaa alihamishwa akaenda kufanya kazi mbali na anapoishi yule dada'siku anamsindikiza yule dada alimpa jamaa picha yake akamwambia kila...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Deleted
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…