Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

kuna rafiki yangu ameniomba ushauri juu ya hiki kisa cha ukweli : yeye umeowa miaka mitano iliyopita na wamejariwa kupata mtoto mmoja mwaka jana alienda kikazi manyara kama mwaka mmoja hivi kwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Happy new year to you all...thanx 4 oll your sopport,I'm looking foward to 2012 hope you are! I also want to wish all the armed forces man,women and their families a Happy new year keep safe...
0 Reactions
1 Replies
818 Views
Wana MMU, Heri ya Mwaka Mpya 2012! Nimepata msukumo wa ndani ya Moyo wangu kuwaandikia waraka huu, kwa upendo mwingi sana, ninyi ndugu na rafiki zangu wakubwa wa MMU nikiwashukuru kwa ushauri na...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani wana jamvi kuna hili limetokea ,bibi harusi amefumaniwa gest ndani ya room tena akiwa amevua shela{gauni la harusi} baada ya kutoroka saloon akiwa anarembwa kwa ajili ya harusi na kwenda...
0 Reactions
66 Replies
9K Views
nina mpenzi wangu nampenda sana na naamini naye anipenda sana ila siku za hivi karibuni ameanza kuwa na tabia ya kuchat sana na mwanaume mmoja nikimuuliza anadai ni rafiki lakini mimi nakuta...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Si mara moja ama mbili ni mara kadhaa hapa mkekani, nimekutana na thread kibao membars wanajiumbua kwa kutoa SIRI ZAO NYETI NA CHAFU! . Utamsikia membar anasema ; mf. > Nilitembea na na mtu na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mahusiano ya kimapenzi nafananisha na bluetooth: IT CONNECTS WHEN IT STAYS CLOSE BUT WHEN YOU ARE FAR IT FINDS FOR NEW DEVICES.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mke wangu nimedumu naye kwa miaka minne sasa, katika ndoa yetu tumebahatika kupata mtoto wa kiume mmoja, na baada ya mtoto kutimiza miaka mitatu, tuliamua tupate mtoto mwingine. Tumefanya...
2 Reactions
110 Replies
8K Views
Nilikoswakoswa kufumaniwa na mama mkwe nikiwa na demu mwingine na siyo binti yake. Nimekoma japo binti yake aniridhishi. Wadau niambieni nifanyeje 2012?
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Rafiki zangu ukiona binaadam anajiona imara mbele ujuwe nyuma ni dhaifu,na ukiona anajiona upande wake wa kulia ni imara ujue kushoto kwake ni dhaifu,pia ukiona amejiimarisha kila sehemu jua...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Binafsi,hali haikua nzuri hata kidogo zaid i miez ya Feb na June. Msichana ambaye tulikubaliana alipoamua kunisaliti na kuolewa na mwanaume mwingine kipindi cha mwezi wa kumi na moja ndipo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau na anaendelea kukupenda!!! ... UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia...
10 Reactions
115 Replies
7K Views
Wanajf me ni kijana nasoma chuo kuna msichana nimempenda, kwa ss nko mwaka wa 3,huyu msichana nko nae grp disc tangu frst yr, mpaka naingia 3rd yr ndo nkagundua nampenda kiasi gan, lifestyle yake...
0 Reactions
79 Replies
8K Views
The wife came home early and found her husband in their bedroom making love to a very attractive young woman. And she was somewhat upset. 'You are a disrespectful pig!' she cried. 'How dare you...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ni mwaka mbaya nilijikuta namkosa nimpendae...... kanfanya nichukie ngono!!!!! Mazuriii.. nimeipata gamba langu, shahada ya uhasibu na fedha. Je wew???
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jaman mke ni mtu wa pekee katika maisha yetu, Nikiwa namaliza mwaka ndani ya jiji la mafuriko...hapa nimepg kambi viwanja vya manzese huku nikishuhudia wadada warembo wakijiuza kwa 300,500,1000...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii ni siku maalumu kwako. Tumia siku hizi kumshukuru Mungu na kumwomba Mungu kuhusu 2012. Mweleze Yeye mikakati yako yote uliyoipanga na umwombe akufanikishe katika hiyo. Omba kama Mungu...
1 Reactions
1 Replies
941 Views
Nimesoma post kibao.. tena zilizo na maana na nimejaeribu zi apply..... My Lurv wangu ndo kila kukicha bora jana.... Boresha Mapenzi... Nimetumia lugha za kimahaba..... I was there whenever she...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Hii ni siku maalumu kwako. Tumia siku hizi kumshukuru Mungu na kumwomba Mungu kuhusu 2012. Mweleze Yeye mikakati yako yote uliyoipanga na umwombe akufanikishe katika hiyo. Omba kama Mungu...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Natumai wote mu wazima wanaJF. Jamani kuna kitu chaniogopesha bado niko njia panda nahitaji kujua kwa kina. Nakaribia kuingia kwenye ndoa,ninampenda huyu husband to be ila kila...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…