Ilikuwa ni mwaka 1994 wakati nilipoingia kwenye kasheshe kubwa ambayo nusura tu inipeleke jela. Nikiwa ndio nina mwaka wa pili tangu kuanza kazi, nilimpachika binti mmoja mimba. Alikuwa ni binti...
Nawatakia mwaka mpya mwema 2012,kwa wale wenzangu wanaotarajia kuoa mwakani mwezi wa sita kama mimi,nawatakia mapenzi mema kwa wake zenu.nashukuru jf imenisaidia kidogo kudumu na mamsup though...
kitu nachofahamu mimi kuwa binadamu tunapenda na hali ya kupenda ni hisia zilizo ndani ya moyo,lakini linapokuja suala la upande wa pili wa yule uliyempenda huwa tunaamini naye anakupenda kutokana...
Wanajamvi,
Japo huenda ninahitaji kupata fasiri yakinifu ya neno nje ya ndoa na japo waswahili wanasema kitanda hakizai haramu, ningependa kushirikisha hii kadhia ya watoto wanaoitwa...
Jamani Tanzania hali si nzuri hata kidogo.
Mpenzi wangu yupo katika wakati mgumu wa kutafuta ajira,jamaa amemuahidi kazi ipo ila awe tayari kumtolea nguo za ndani.
Nimemshauri aachane nae na...
Wapo wanaosingizia kila kitu mapenzi ya mungu
mpaka jana namuuliza mama didy hivi huyu mungu ana mapenzi mangapi kila mtu akifa
kwa kujitakia mapenzi yake kwa bahati mbaya mapenzi yake ...kwa...
Toka naanza kupata ufahamu, moyo umekuwa ukihusishwa na mambo mengi kama nilivyoyaoredhesha hapo juu. Nilipoenda shule katika somo la biologia ni nikajifunza kwamba kazi ya moyo ni ku-pump damu...
Tangu tumezaliwa tumesikia neno UPENDO,mimi binafsi wazazi wala shule sikuwahi kuambiwa maana ya hili neno!Nilikuja kulitafuta mwenyewe!Nakumbuka kwenye mafundisho ya dini tulikua tunaambiwa...
Ni rahisi sana kwa baadhi ya watu kuwatumia wenzao kupata yale wanayotaka bila kujali hisia za wanaowatumia. Unakuta mtu anamwaminisha mwenzake anampenda kweli ,wengine hufikia hata hatua ya...
habarini za mchana.ni hivi kwanini asilimia nyingi ya harusi zinazofungwa sasa hivi bibi harusi anakuwa ni mjamzito?kwani wana jf nisaidieni ili swali kwani haiwezekani kusubiri mpaka muingie...
Kuna mabinti wawili, A na B.
A ana sifa zifuatazo.
1. Ni mchapakazi, anapenda sana maendeleo
2. Anajali kiasi, na ni mwaminifu sana katika mahusiano.
3. Ni mzuri kiasi. ( putting everyting...
NImepewa hii scenario na kaka yangu. Amekuwu nje ya nchi tangia 1996. aliondoka akiwa kijana mdogo hadi sasa ana 40's. Katika kipindi hicho, ladies friends zake wote wameolewa. rafiki zake wa...
Naombeni mnisaidie kidogo ili nipate kufahamu maana naona hii social network haina faida kabisa,
Mara ya kwanza tulionana fesibuku nililike picha yake hapo sasa ndo kosa baada ya hapo nikatumiwa...
Kuna vitu ambavyo ukifanyiwa unaweza ikachukua mwaka mwingine kusahau
yapo mazingira tofauti ila naomba wenye mahusiano ya jinsia tofauti tafadhali na si jinsia moja
hivi ni kipi kimekufurahisha...
Wana MMU
Natumaini mlikuwa na blessed Xmas? Sio hivyo kwa mdogo wangu, ambaye ni nurse ambaye baada ya kutoka mapema night shift alimfumania mumewe akimbaka msichana wa kazi. Amelazimika kuchukua...
Kuna rafiki yangu hayupo JF ila ameniomba nimuombee ushauri, yeye anamhisi mkewe ana mahusiano na mtu mwingine na wanawasiliana kwa simu, je akienda ofisi za vodacom watamsaidia kuchapisha meseji...
Amani ya M.Mweenyezi Mungu iwe nawe na msamaha wake na baraka sake ziwe Juu yako.
Heri ya mwaka mpya kwa wale ambao M.Mungu atawajaalia kuuufikisha.
Nimatumaini yangu kuwa utakuwa Mwaka wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.