Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

habari zenu wakuu! nina jamaa yangu anasumbuliwa na mawazo kuhusu huu mkasa!jamaa anae dem wake na hivi karibuni demu wake akasafiri kuelekea kusalimia maskani,baada kama ya siku 6 demu akampigia...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
What up jf, how waz xmas? op was ok! katika heka heka za maandalizi ya xmas nkakutana na manzi m1 mkali, nkampiga somo akalielewa kama wanafunzi wanavyoelewa reproduction katika biology! ila...
0 Reactions
119 Replies
8K Views
Hivi ni kweli kwamba binadamu huwa tunatokea kupenda mara moja tuu! katika maisha yetu na hatuwezi penda mwanamke/mwanaume kwa mara ya pili kwa kiwango kilekile?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimeenda home na mke wangu kwa mapumziko ya sikukuu, toka tuanze maisha hajawai kufika kwetu, tatizo tumekaa wiki moja tu amekasilika hataki hili wala lile hadi maza ananiuliza kulikoni...
2 Reactions
73 Replies
5K Views
mimi nna mchumba ambaye kanizidi elimu yeye ana shahada na mimi nna stashahada,wana jf naomba ushuri wenu je?kuna tatizo nikimuoa kwa kuwa amenizidi elimu?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ni wazi kuwa migongano katika ndoa hutokea , lakini tatizo huwa ni namna ya kusuruhisha migongano hiyo. Katika ndoa mnaweza kukwaruzana kitu kidogo sana lakini kisipotafutiwa utatuzi mapema...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Jamani nimekaa nikajiuliza inapotokea mtu akafungwa Jela, na alikuwa na mke/mume je hatma ya ndoa yao ikoje? Je anayebaki uraiani anatakiwa asipate unyumba hadi kifungo cha mwenzi wake kiishe...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari ya sikukuu wana Jf(MMU) Jamani mim nilikuwa naomba kujuzwa tofauti kati ya kupenda sana na kupenda kawaida au kidogo, na nimambo gani mtu akiyafanya kwa mpenz wake(wakike/kiume)...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
jamani habari zenu, nimekuwa nikijiuliza sana, maana ofisini tuna dada mmoja aged 30yrs hajaolewa, yaani yeye amekuwa gumzo kwa wateja, ana harsh language,hasira hazimuishi, pia hata akiwa na...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Thread ya Lizzy(Zawadi ya ngono) imeongeza sintofaham kwenye ubongo wangu,hasa michango ya waliochangia.Nilikua najiuliza maswali mengi sana.Hivi tutaweza kurudisha nidham kwenye mahusiano kama...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
habari wana jf,ni hivi utajuaje kuwa uliyenaye anakupenda? na ni mambo gani ya kuangalia?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimekaa ofisini mara kaja kijana mtanashati kufatilia ishu zake, kanipiga jicho na mie nikarudishia la aibu lakini akaondoka, nafika home kila nikijigeuza namwazia yeye, baada ya siku tatu anakuja...
5 Reactions
55 Replies
4K Views
mke wangu ananikaidi sana maamuzi yangu. alienda kwao kumsaidia mama yake kazi fulani, alivyomaliza hakurudi mapema kama nilivyomuagiza, mpaka sikukuu ya xmass imepita ndio anakuja, nimemzuia...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF. Ninamtafuta rafiki yangu aitwae Safiuna Msuya. Alisoma Mapambano miaka ya 1994 - 2000 na atakuwa in her early/mid twenties kwa sasa. Mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa pale...
0 Reactions
69 Replies
5K Views
Umepata soln yoyote na je kama siyo unaweza hisi njia mbadala ya kuweka hapa kusaidia ambao wako njiani kufwata mkumbo huo na kama ndio unaweza tusaidia kuelekeza njia ulizotumia kuweza kutatua...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani,makabila ya mikoa hiyo miwili ni:WAYAO,WAMAKUA,WAMWERA,WAMARABA.Nimeishi katika hiyo mikoa,nafurahia sana mapenzi ya watoto wa kike,yaani kitandani kama kuna shuka ya kuchakaa itaishia...
1 Reactions
61 Replies
27K Views
Nina rafiki yangu ambaye sasa ni kama ndugu kwa sababu nimeshikamana nae kwa takribani miaka 12 sasa. Ana dad yake (mdogo) ambaye anatumia mamna nyigni sana kunitega nimbatue. lakini ninajitahidi...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia Thread na Comment zinazotolewa na pande hizi mbili na kujaribu kuzilinganisha. Nimegundua kuwa wanaume wanaopatikana hapa JF- MMU ni Malaya ah! samahani ni...
4 Reactions
86 Replies
6K Views
Nawasilisha.
1 Reactions
46 Replies
4K Views
kuna watu waliskia hili neno baada ya miezi mitatu ama sita tu ya ndoa yao na leo wengine wana miaka kadhaa awajui neno gudnyt kwa wapenzi wao pengine ujaanza ama kumekucha chuma akikaliki jifanye...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom