Mbali na kuwa zinajaa sana siku za sikukuu...kuna kitu nimegundua yani mh dunia hii
Nyingine eti zinamatundu ili kupiga chabo...sasa ngoma iko hivi! Hata kupiga chabo pia unalipia eti sh 500...
Napenda kuomba msaada wa mawazo kwenu wana jf kuhusu hili.Eti mke akikukosea, kumpiga ni uamuzi mzuri? B'se wengine wanasema kumpiga ni kumuonea kwani wao ni viumbe dhaifu,wengine ati ni njia ya...
Kule kwetu kijijini enzi zetu tulikuwa tunajua sikukuu tatu tu kwa mwaka, kulikuwa na sikukuu ya idi, Krismas na kuzaliwa kwa chama cha TANU, kwa hiyo wazazi walikuwa hawaumizi kichwa sana kuhusu...
...wanawake walioolewa lakini wanakuwa deprived of sex wanakuwa na hasira sana especially kwa wanaume?
Na ni kweli pia kuwa mwanamke ambae yupo "hopelessly in love" na mwanaume ambae haonyeshi...
JF Senior Expert Member
Posts 15,897
Thanks : 239
Thanked 1,394 Times in 767 Posts
Rep Power56
Hii ni to a frequent poster on JF nimemmiss sana siku ya leo. Akiona atajua
Kuna dada mmoja nimetokea kumpenda sana ana miaka 29 sawa na umri wangu,katika kumfuatilia akaniambia ana jamaa yake yuko nje anasoma,ukweli mie sikuamini sababu tangu nimfahamu huyu dada kama...
Kwa wakati tulionao zama hizi huwezi tembea hatua kadhaa iwe hujakutana na Mwanamke alievaa nguo inayoonyesha robo 3 ya matiti !. Mabarabarani, Maofisini, Vilabuni, Kumbini N.k.
Nianze kwa...
nimesikia mara nyingi sana sisi wanaume tunapotaka kuchagua mwanamke wa kuoa tunadai mke material.....nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu hili ,wadau naomba mnipe somo hapa.
hivi huyu mke...
Heshma kwenu woote na Merry xmass to u
Nimekaa mahali na makabila mchanganyiko tunapata mambo yetu yalee...
Tuna wachaga pia hapa wakiwemo wa Uru
Huyu mchaga wa Uru imemuwia vigumu sana...
haijalishi unampenda mke wako kiasi gani
kuna vitu unaweza kumsaidia na kuna vitu huwezi kumsaidia kwa mfano huwezi kumsaidia mke wako kubeba mimba hata kama unampenda sana - by Kamanda Lema
Kuna maneno nimeyasikia kwa wasichana na wanawake wengi juu ya aina za sura za wanaume na nayaleta kwenu wanajamvi kunisaidia kutambua ukweli zaid.
Nimesikia sura za wanaume zimegawanyika katika...
Habari toka ndani ya mji Monduli ni kwamba Mbunge wa Wilaya ya Monduli amefiwa na mdogo wake wa kuzaliwa. Na bila shaka ni hbr nzito kwani kifo jamani ni janga kubwa kwa kila awaye yote,Habari hii...
Wana JF
Habari za masiku. Kuna binti mmoja rafiki yangu ( msinishambulie sio mpenzi wangu ni rafiki tu basi) amekwisha mpata wake na wameamua kuishi pamoja. Binti ni muislamu na kijana mkatoliki...
this post was deleted by eliah kamwela
Jamani,kwa wale vijana ambao hawajaoa bado,nawatahadharisha juu ya kuoa mabinti kutoka vyuo vikuu(wasomi).
Kwa uchunguzi nilio fanya wadada wengi{si wote}...
habari! jaman wanandugu mie nilikuwa na boyfrnd wangu 2lipendana sana akanitambulisha kwao na mwakan ilikuwa tufunge ndoa, sasa kuna siku tulikorofishana nikamjibu hovyo sana later nikamwomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.