Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kama ilivyo kwa watanzania wengine hususani wakazi wa dar, huyu mwanajf mwenzetu ni mmoja wa waathirika wa mafuriko ya usiku wa kuamkia leo ktk makazi yake huko Tabata. Matatizo ni sehemu ya...
9 Reactions
53 Replies
5K Views
katika ukweli kila binadamu yupo hapa duniani kwa kazi maarumu inashangaza watu wanajadili ndoa nyingi siku hizi zina vujika sababu kama nilivyo anza siwote wanawito wakuoa au kuolewa tatizo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
A driver was taking his boss to the airport, the boss noticed he’d forgotten an important document at home & went back at home. His wife was bathing with soap on her face: the husband tip-toed...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Man collapses as he discovers prostitute he hired is his own daughter A Nkulumane 5 man,Titus Ncube got the shock of his life after a commercial sex worker he allegedly called to his hotel...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau mimi ninajambo ambalo mwenzenu nashindwa kulifafanua na kulipatia ufumbuzi suala lifuatalo, Nina girl friend wangu anapenda sana kuchukua kitu chochote kizuri atakacho niona nacho, mfano...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Simu inaita, Mdada anapokea, jamaa anaongea kwa sauti ya kishamba hivi ...Haloo mpenz, ndo niko kona ya mwisho hapa... Mdada ambaye anaonekana mjanjamjanja, anajibu ....Okeeee,... nimekwisha...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Rafiki yangu akiwa ktk starehe ya dunia waswahili wanasema kukata gogo hamadi ukuta wa choo passport size ukashuka na kumkandamiza rafiki yangu huko mbagala ukuta ulivyo shuka na choo kikashuka...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Ni miaka minne (4) sasa tangu nimefahamiana na mkaka mmoja. Tulifahamiana wakati ninasoma course flani "c mnajua tena mambo ya kujiendeleza ukubwani" yeye alikuwa mwalimu wangu na ananizidi miaka...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Jamani mimi ni mwana mmu mwenzenu. Xmass mpango mzima ukoje?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
heshima yenu wana mmu!... kwanzaa kabisa natoa pole za dhati kwa watanzania wote waliokutwa na maafa ya mafuriko hapo jijini dar....!poleni sana na kimsingi watanzania wengi tupo pamoja katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi kwa nini kunako 6 kwa 6 baadhi ya watu wanakera sana? Utakuta mtu ametoka na mtu wake,halafu wameingia kutiana mshawasha kwenye nyumba za kupanga uswahilini! Halafu unakuta mdada anapiga...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Yanayo tupasa kufanya wakati wa kutongozana. Imeandikwa, Warumi 13:13 "Kama ilivyohusika na mchana na tuenende kwa adabu si kwa ulafi na ulevi si kwa ufisadi na uasherati, si kwa ugomvi na wivu."...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Jamaa alikuwa ana mke na watoto wa wawili(mmoja wa miaka saba na wengine wa miaka mitatu hivi) wakati kapanga chumba kimoja huku kwetu uswahili kama unavyoelewa tena kitanda chenyewe kimoja so...
2 Reactions
2 Replies
7K Views
Habari zenu, nimekuwa nikipita hapa kama guest for long nimepata jambo linalonitatiza nikaona nililete hapa: In short mimi ni mschana mwenye miaka 25 mpaka kufkia umri huu nimepitia mahusiano...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ivi ulivyojiunga na JF kuna watu mkawa hamfahamiani mnawasiliana hapa tu,labda mkabadilishana no za cm etc,je ulikuwa unawaza(kabla hamjaonana)huyo mtu yukoje?umbile,tabia,rangi etc mm kwa mfano...
0 Reactions
358 Replies
23K Views
Today's Relationships: You can touch each other, but not each other's phones. Hii imekaaje?
0 Reactions
187 Replies
11K Views
Mpenzi wangu,ni mara nyingi tu hutokea ndotoni anamtaja kijana ambaye ni jirani yetu. Akiwa kama anaweweseka hutaja jina kwa sauti na hata siku moja ndotoni alimwomba ampe kampani amsindikize...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Inasemekana wanaume walisoma masomo ya kujieleza na hawa waliosoma masomo magumu magumu kama engineering n.k.. Huwa wana urgue tofauti na pia hata katika ku-solve matatizo wana tofautiana...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
KAMA WAZURI SIO UONGO UMEWAZIDI NAMI NAAPA KUKUPA THAMANI YA PENZI MAPENZI SIO PESA ILA NI UKARIMU BUSARA NA IMANI NIKIKUPATA,MILELE NITAFURAHI,NITAIMBA NAKUPENDA HADI MWISHO WA UHAI NASHINDWA...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimekuwa nasikia kila kona watu wakiongelea kichinichini kuhusu siri za familia ama ukoo ambazo huwezi kuzijua hadi ukioa ama ukiolewa huko, ama mtu wa karibu sana akwambie. Je ni kweli kuwa kila...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Back
Top Bottom