Kuna siku nilisoma ujumbe wa mwana JF na katika maelezo yake aligusia suala zima la kukaa uchi ama kubadilisha nguo akiwa uchi mbele ya macho ya mtoto. Kwa ushauri wangu ni kuwa suala hilo...
Awali ya yote niwashukuru kwa michango yenu na kuwatakia kipindi chema cha kumalizia mwaka.
Ombi kwa wadau wa mmu:
Hebu jikunjeni hapa mmwage uzi mzito wa kufungia mwaka yaani uwe pasua kichwa...
Chukulia kuwa wewe ni miongoni mwa wanawake 'waliotendwa' tena kwa sana tu na zaidi ya mwanaume mmoja. Sasa una hamu sana ya kumpata mwanaume mwenye sifa na matendo uyapendayo na yakupayo raha...
Mapenzi ya dhati hawana.
Wewe funga tu macho ingia kwenye ndoa
utakalolikuta mshukuru mola na uvumilie
loh
sikutegemea kama yangekuwa haya? Mtu kaolewa kumbe mwanaume ana watoto 9 wa nje?
Sio...
Mrembo nimemfuatilia kwa muda mrefu sana hatimaye kaamua kunipa tunda, cha kushangaza baada ya kula tunda mrembo kaniuliza "una mpango gani na mimi? Nami nikamuuliza unataka mpango gani toka...
Unamkuta mdada amegharimiwa kila kitu na mpenziwe au mumewe; Nyumba, gari, vifaa vya ndani, pesa za matumizi ukaribu na maufundi ya kila aina. Kesho keshokutwa unamkuta anatembea na house boy au...
asalaaam. Jamani wana jf hivi mwenzi/mume/mke asiporudi au akachelewa saana zaidi ya saa sita usiku nyumbani kwa sababu ya hii mvua inayoendelea. Utamlaumu na kumshutumu? Swali la ufahamu
Kwa wale wakware..leo mmepata kisingizio cha kulala kona!
Nimepokea news kutoka kwa mashosti wakisema waume zao wanadai leo wanaweza wasirudi nyumbani kwa sababu madaraja yamevunjika na barabara...
mafuriko haya yanatokana na miundo mbinu na mipangilio mibovu ifanywayo na serikari iliyoko madarakani.Kupitia ukurasa huu nawasihi wananchi wenye mapenzi mema tusaidiane ili kuyanusuru maisha ya...
Nimeota niko na my ex gal porini,mara simba huyoo,ktk kutaka kujiokoa,me ndo nkawa napambana na yule simba lakini cha kushangaza yule simba akaniacha mimi na kumkimbilia yule mmanzi...
Naheshimu sana mafunzo na mawaidha wanayopewa wanawake katika kitchen party zao, na nampa big up sana AdhaDii (kama sijakosea kwa uzi wake wa kuwanoa wake zetu aliouweka hapa siku kadhaa...
I met my husband 3 years ago; he was introduced to me by a mutual friend. We started distance dating for 6 months as he was far away from me, although I had not met him before my instincts told me...
Juzi niliandika waraka kwa wana JF wote kuwatakia heri ya Christmas na mwaka mpya na pia kuwamkumbusha machache kuhusu maisha na mienendo ya mahusiano ikiwemo inf ...!
Leo hii, kuna ndg kani-PM...
uchunguzi nilioufanya hivi karibuni, nimegundua kuwa baadhi ya wanaume walioa hawapendi kutoka outing na wake zao na badala yake hupenda kutoka na rafiki zao wengine wa kike au marafiki wa kawaida...
Amani kwenu wadau. natumai wote mu wazima..nahitaji msaada ktk hili. Je muda
wa kuoa / kuingia kwenye ndoa ni upi?..na Je ni sahihi kuangalia kigezo cha umri
au kazi kabla ya kuamua kuingia kwenye...
A professor once said that the reason why women rejoice greatly during their weddings while the men keep a straight faces was because, the woman feels like:"oh, at last I have nailed him!" and the...
Dear Wana MMU,
Shukrani za kipekee ziwafike kwa michango yenu ambayo binafsi, naamini imemnufaisha kila mmoja wetu si tu kwa mada ziliopostiwa hata kwa comments za wadau zenye ushauri mzuri wa...
Mvulana kamtumia msichana friend request,wanajuana tangu zamani tu,kama wanafunzi waliosoma pamoja.chakushangaza kusuggestiwa awa add kama marafiki ndugu zake yule msichana wote..kuanzia mdogo mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.