Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Tunapoelekea mwishoni mwa mwaka huu wa 2011 ni lazima tufanye tafakari ya yaliyojiri kwenye mwaka huu. Kwangu mimi kama kuna thread bomba ndani ya MMU basi ni hii iliyoanzishwa na Finest, "What...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari JF peoples! Je ni lazima kumuandika mme/mke wako kwenye simu yako iwapo namba yake unaijua kwa kichwa? Yaani ukitaka kuwasiliana nae una dial tu namba zake kutoka kichwani? Kama kuna...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Utafiti wa hivi karibuni umebaini kwamba, wanawake huwazidi wanaume katika kiwango cha kujilimbikizia vijidudu vya maradhi kwenye maeneo yanayowazunguka, ikiwa ni pamoja na meza zao za kazi...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa kifupi nina familia ya mke mmoja ninayempenda sana na watoto wawili. Miezi kama tisa iliyopita nilipata matatizo ya kupunguzwa kazini baada ya Ka-NGO nilikokuwa nafanyia kazi kukosa wafadhili...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
naomba nisaidiwe kwa hili, ni process zipi unatakiwa kuzifuata ukitaka ku adopt mtoto Tanzania? nipo nje, nataka nirudi home ni adopt mtoto.(mtoto wa ndugu yangu) nahitaji kujua process za mtu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekua najiuliza siku zote kwanini relationship nyingi zinavunjika eti kwa kuwa mwanaume ame have sex na mwanamke mwingine? Ndugu zetu wa kike eti wanaamini kuwa uki sex na mwanamke mwingine ni...
0 Reactions
146 Replies
26K Views
ANAVYOTAZAMA Mwanasaikolojia Zick Rubin kutoka Chuo cha Havard nchini Marekani aliwahi kusema kwamba watu wanaopendana hutumia asilimia 75 kutazamana kuliko wasiopendana, ambao kiwango chao ni...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Wana Jf Nimeanza safari mpya ya urafiki na mtu mmoja hivi,na natamani tufike mbali. Naomba maombi yenu katika hili ili lengo tunalokusudia liweze kutimia,kwani nimesaumizwa sna na naamin kuwa...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Tangu nifunge ndoa na mke wangu, yeye amekuwa akisisitiza kuwa na house girl, kila anayekuja anakuwa na vituko vya jabu, na wa mwisho ambaye tumemfukuza jana alikuwa eti ana majini tukisali na...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
NI siku nyingine tena tunakutana katika safu yetu bora ambayo inazungumzia mambo ya mapenzi. Inapanua uelewa na kujenga kujiamini zaidi katika uwanja wa mapenzi. Wengi wamenufaika kupitia hapa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za masiku wana-MMU? Katika hali ya maisha ya kutafuta mpenzi nilikutana na msichana mmoja na tukakubaliana kufunga ndoa ila kinachonitatiza katika mazungumzo yetu kuna siku alidai kuwa...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Namtafuta. sijuwi nitamuona wapi na vipi, nikiwa msichana wa miaka 16 tulikutana kariakoo ZANZIBAR kwenye viwanja vya sikukuu, siku ya pili tulikutana hapo hapo na kuelekea alikokuwa akiishi...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Jamani mi ni kijana ninamiaka 30(umri)nimebahatika kupata mchumba wa kikinga,nategemea kumuoa mwakani,katikati ya mwaka,sasa naomba mniambie tamaduni zao kuhusu mahari,huwa wanahitaji nin(mnyama...
1 Reactions
65 Replies
16K Views
Jamani nisaidieni wapi hapa Bongo naweza kupata hii kitu, cause kuna demu mmoja huwa mara zote nikimmega hana mzuka kabisa, mimi kila nikikukukuruka yeye huwa katulia tu tuli! huenda nikimpa hii...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
za jumapili ndugu zangu! naomba tusaidiane mawazo katika hili,ninapenda sana kukaa peke yangu ninapokuwa home, yani napenda personal space yangu,kwa sababu kazini nakutana na watu wengi, napenda...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Sex according to Pastor Khathide (Ugandan) A lot of people don't associate sex with God - they associate it with Satan and darkness, as if sex weren't holy... The bible is explicit when it...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Utakuta mtu kakuona siku 2 au 3 mkisalimiana na bf wake au muwe wake bs kesho yake anakuja kukuattach et una nn na bf wangu we ni nan kwake! yan inaboa afu kisa anakuona uko competent zaid yake bs...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwanza ifahamike mapema ninapozungumza dalili za asiyekupenda kwa dhati, sina maana nachonganisha watu katika ndoa zao, ila kuwatanabahisha kaka zangu kugutuka katika maisha yao ya kila siku...
2 Reactions
47 Replies
37K Views
the advantages are endless, here are a few ones: - no lack of intimate activity (if one has a headache, just go to another one) - a great way to keep women on their toes (if they know that you are...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna wakati inatokea ukawa na mpenzi iwe mpenzi wako wa kike ama wa kiume. Kama ilivyo kawaida mapenzi kati ya mtu na mtu mara kadhaa hua yanakuja kwa misimu au awamu (seasonal). Nikimaanisha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom