Huyu anasema hatarudia tena huu ujinga!,...Anasimulia....Walipokua wanaishi baba yake alimwomba jirani amfundishe udereva huyu dogo.....Anasema....Nakumbuka jion siku ya tukio alikua ameenda bar...
Je nikweli masister du hawapendi watu wajue kama wana watoto? kwani nimelisikia kwenye kituo kimoja cha redio nikaona niweke humu Jf ili masista du na wote mnaowajua masista du mtujuze kama kuna...
Jamani wanajf, member mwenzetu amefiwa na mama yake mdogo na sasa yuko safarini kwenda msibani Moshi. Tumuombee ktk sala zetu afike salama na marehemu apumzike mahali pema peponi, Ameen. Sisi...
Maisha yaliyofanikiwa yana mizizi imara katika Mungu, na yanashamiri kwa utukufu wake. Kupata mwelekeo sahihi, ambao utafanya maisha yako yawe ya faida,ili kufanikisha maisha haya yatupasa kuwa na...
Habari zenu mabibi! Nipo kwenye harakati za kutafuta mwanamke wa kuishi naye hapa Tanzania: Sifa za mke ninaye mtafuta ni kama ifuatavyo;
Awe na umri kati ya miaka 25 hadi 32
Asiwe amewahi...
A man is talking to his best friend about married life.
"You know," he says, "I really trust my wife, and I think she has always been faithful to me. But there's always that doubt."
His friend...
Sex or generosity? Study finds what counts most in marriageGenerosity between spouses is a key element to a happy marriage, a new study says.
In essence, generosity is the amount of giving that...
Kukata GoGo mbele ya mke wangu.
Wife wangu hana shida kabisa anaweza kukata GoGo mbele yangu, Labda mi nipo bafuni au napiga mswaki yeye hana shida anakata GoGo lake mi nampita hapo hata...
Huyu mama ananifanyia visa vingi sana na kwakweli najiskia hasira sn na kisa cha kunifanyia yote hayo ni MIMI KUKATAA KUACHA KAZI NA KUMUACHA MUME WANGU MJINI KWENDA KUKAA NAYE KIJIJINI MACHAME...
Wadau naomba kuuliza kuna kitu kina nitatiza, mimi nina mtoto mchanga wa miezi13 yaani mwaka mmoja na mwezi mmoja, tokea kazaliwa huwa nafanya jambo lolote mbele yake kama vile kubadirisha nguo...
Nimesoma siredi ya Gazeti ikiwauliza kuwa wanawake wanajisikiaje wanapoitwa DEMU.Wengi wameng'aka wakilichukia jina hilo.Kuna majina mengi sana hutumika kuwaelezea au kuwatambulisha,hebu semeni...
guys mi nina mpenzi ambaye tuliachana then tukaludiana,tena kwa kuwaacha wapenzi tuliokua nao.The problem ni kwamba nashangaa sasa ivi mwenzangu hanijali tena.nikimtumia msg ajibu,amekua mkali...
Nimepamiss sana kwetu-moshi,lakin tatzo ni wapangaji wetu ndio wanaofanya nisiwe na mzuka wa kurudi kwetu,chumba changu ninachokitumia kule home kiko uani na kimepakana na vingne vya...
nina utata wana jf..... iv ni vema kuolewa na 1 love wako afu hujui kama unachokipa ndicho icho exactly or anajua mambo kiukwel
cz hautataka kutoka nje ya ndoa au bora uonje radha tofaut ujue...
HI,
TO ALL THE SPECIAL PEOPLE IN MY LIFE
BEFORE YOU GO ON LEAVE,
Remember to pray without ceasing because
I need you in 2012 & many more years to come.
Enjoy the Festive...
Mpwa alienda kulala kinyemela ukweni na lazizi wake bahati mbaya mpwa akoloma sana usiku wkt kalala si akajisahau akaanza kukoloma dah mkwe ikabidi atoke na siraha za jadi na kupiga yowe huku...
Kamusi ya Oxford inatafsiri Kujiheshimu kama mawazo mazuri kuhusu tabia ya mtu mwenyewe Iwapo unajiheshimu sana, maana yake ni kwamba unajisikia vizuri.Unajua kwamba unayothamani - mtu...
A man is talking to his best friend about married life.
"You know," he says, "I really trust my wife, and I think she has always been faithful to me. But there's always that doubt."
His friend...
Kutokana na tatizo linalowakumba wanaume la kupungukiwa nguvu za kiume nilisikia maoni ya watu mbalimbali kupitia chombo kimojawapo cha habari.Baadhi walisema wanaume waliotahiriwa kijadi(porini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.