Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Watu hawaishi kuuliza kama inawezekana kuwa na mtu ambae yuko mbali nae na mahusiano yao yakasurvive. Jibu ni NDIO, ila kuna mambo ambayo mnatakiwa mzingatie ili mfanikishe mahusiano yenu...
10 Reactions
161 Replies
12K Views
Kwa vile wapo distance relationship jamaa ameambiwa na girlfriend wake kwamba amtafute wa kumpoozea hamu, halafu na huyo girl yeye pale akiwa na hamu atakuwa na mtu wa kumtuliza hamu,ila malengo...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
wana jf, juz nilikuwa jmos naliomba ushauri kuhusu ku-divert zawad kutoka kwa msichana ambae nilikuwa na mpango wa kuwa na mahusiano nae kwenda kwa kifaa kipya ambacho nimekipata hv karibuni. Wana...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wadau my ex gal wangu cjui ananitafuta uchokozi gani,ananifuatlia sana facebuk,kila nkicomment kwa msichana yeyote lazima aniulze ni nani wangu,ananitagg picha zake bila ruhusa yangu,jana kanitagg...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Jamani huyu wifi yangu amezidi dharau sana kaka angu anaumwa amelazwa Regency majirani zangu wamenisindikiza na wamemnunulia mgonjwa juice ya Azam box kubwa wifi yangu alivyo fika nakuona ile...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Unamtambulisha mchumba/mke/mume wako kwa rafiki yako wa jinsia moja na wewe na kubadlilisha mawasiliano na huyo rafiki yako. Mara baada ya muda, rafiki yako anakuwa na mawasiliano mengi kwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna watu wanaamini wakiwaambia wapenzi wao maisha ukweli wa maisha yao ya kale basi inaonyesha uaminifu na mwenzi kuridhika. Na wapo wengine wanaamini ni disaster kufanya kitendo kama hicho. Je...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Soma hapa chini yanayojiri kwenye wadada wanaochangamkia married men. Unaweza kujifunza kitu hapa kuhusu kujiepusha nao! Dating unavailable man. By Kiundu Waweru Few weeks ago, Tony M...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwezi huu ni mwezi wa furaha kwani siku chache zijazo tutaanza kusikia kila kona ya miji mbalimbali duniani kote ikitawaliwa na nyimbo na mapambo ya X-Mas na mwaka mpya. Hii inaonyesha ni jinsi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, mwenzenu nina mke na mtoto mmoja yapata miaka 6 sasa, mwanzoni tulipooana mapenzi yalikuwa moto na kila mmoja alienjoy,baadae kidogo nikawa busy na masomo (kujiendeleza...
1 Reactions
74 Replies
7K Views
How do you define a woman in all aspects??,
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Muda huu nikiwa nangoja basi ili nirudi nyumbani kutoka kazini mara nikamuona mke wa jirani yangu akija huku akiwa amenuna na kukunja sura. Alikuwa anatembea kwa mwendo wa kasi kuelekea upande...
6 Reactions
78 Replies
6K Views
du jamani mke wangu nampenda na amesaliti mara kibao lakini kumwacha nimeshindwa mana akiwa mbali nami huwa nakumbuka alivyo sexy roho inauma namrudisha,nifanyeje?
0 Reactions
30 Replies
3K Views
unakuta demu wako anajua kabisa kuwa wewe mpenzi wa mpira na anajua kabisa kuwa wakati unaangalia mechi hutakagi bugudha. chakushanga anakutumia text oh bby cn we go out oh naomba unifanyie...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
hv unaweza ukaishi vipi na mpenzi uliye mbali naye? yaani umfanyie vitu gani ili asikusaliti ktk love yenu?
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Wana jf,i have confirmed myself that nampenda na nipo tayari kuwa naye kimaisha.Huyu msichana nashindwa kumsoma anawaza nn juu yangu,hapo mwanzo niliwahi kumu-approuch ila nilimsoma hakuwa tayari...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
jamani mm natokea masomoni.ntafka kwetu ck ya jumatano....najiuliza nimpelekee zawadi gani mpenzi wangu wa kike ambayo ataiona ni nzuri kwake? nishaurini jamani......
0 Reactions
82 Replies
8K Views
Hivi ni kwanini wengi wetu tunabadilika baada ya ndoa hata kama uchumba ulidumu muda mrefu kiasi cha kutosha kujuana vyema!? mfano; mtu ulimjua kuwa ni mcheshi,muongeaji mzuri tu,mshauri wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Huwa mna maana gani pale mnapoenda kulala kwenye rums za wapenzi wenu,afu mkiondoka mnajifanya eti mmesahau kufuli{c.h.u.p.i.}zenu??
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Wewe ndiwe Adonai, kwa maana wewe ndiwe Mungu mwenye enzi yote, uliye juu ya yaote. Wewe ndiwe El- Ohinu, kwa maana wewe ndiwe Bwana Mungu wetu, sina kimbilio jingine. Wewe ndiwe El-Gibor, kwa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom